Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Hahahaaa kweli we chiboko, sio mambo ya kuitwa tu na kukurupuka...lol

Kwa hiyo Ngabu ndo atakuwa dadiye eeh?

Yaani humu ndani kila shetani na mbuyu wake. Queen na Ngabu, Gee na ...., Bee na ....

Tunaombwa tusindikize kwa burudani.
 
Mike, kumtanguliza Mungu kwa yote ni jambo jema sana.

Umekuja kwa heshima na uadilifu na sishangazwi kabisa na responce unayopata
Kila la kheri kaka!

nawashukuru sana aisee,ujue ukiwa serious na jambo lazima utumie heshima na uadilifu.Hata hivyo lazima nije kwa heshima sababu nawaheshimu sana mkuu.
 
la msingi mkuu baada ya bodi ya viwango kukupasisha ni kuamini ile nadharia ya CCM kuwa ushindi ni lazima. Usipoteze u gentlemanly wako, lkn unahakikisha hapindui

asante kwa ushauri,utazingatiwa mkuu.
 
Yaani humu ndani kila shetani na mbuyu wake. Queen na Ngabu, Gee na ...., Bee na ....

Tunaombwa tusindikize kwa burudani.
Eeh na alokosa mbuyu basi huyo Arudi motoni...lol!
Sweetlady upo hapo....

Achia kitu cha burdani basi, unabana sana siku hizi!
 
anakuja jamani qeen jiandaeni!!

jeez im nervous but its normal though lol
natamani aje sometimes natamani asije hasa nikiwaza kuwa anaweza kunitoa nishai lkn ndo ukishazaliwa mwanaume ni kukabiliana na yote.
 
nawashukuru sana aisee,ujue ukiwa serious na jambo lazima utumie heshima na uadilifu.Hata hivyo lazima nije kwa heshima sababu nawaheshimu sana mkuu.

Hamna shaka mkuu! Heshima kitu cha hiyari lakini tena cha muhimu sana kwenye maisha yetu.

Si unaona Malkia mwenyewe kakuvutia tu kwa heshima na upole wake! Mtoto staha, hana papara.
 
Eeh na alokosa mbuyu basi huyo Arudi motoni...lol!
Sweetlady upo hapo....

Achia kitu cha burdani basi, unabana sana siku hizi!

Mi nilitaka kuja na cha long time kinaitwa "nnapenda kwa ishara, mwenzenu nishadhurika" lol lakini hii haionywshi ushindi so late me change to

Watu wananiuliza kipi nimependa kwako
Laiti ningeliweza kupata ridhaa yako
Wao ningewaeleza wakajua siri yako
 
Eeh na alokosa mbuyu basi huyo Arudi motoni...lol!
Sweetlady upo hapo....

Achia kitu cha burdani basi, unabana sana siku hizi!
Nipo mpendwa, mwambie bana aache uchoyo huyu Gee, mda wote mgeni anamwaga sera hajapata hata burudani ya kuzisindikiza sera zake!

Gee uchoyo kakufunza nani?
 
Hapana, Malkia lazima kwanza amsome Mr. anavyo interact na watu. Anasoma hulka taratibu, baadae atajichomoza

Ikiwa time tayari, Ngabu atakuja nae 🙂)

nimeamini ukitaka dhahabu lazima uhangaike sana.Mwache anisome bana mana na mim nilimsoma sana ndo hadi kufikia huu uamuzi.
 
Eee special dedication nitaweka mchiriku wa Ferooz "Ndege mtini"
 
Hahahaaa kweli we chiboko, sio mambo ya kuitwa tu na kukurupuka...lol

Kwa hiyo Ngabu ndo atakuwa dadiye eeh?

umeona mkuu bht,hii nayo inafanya azidi kunivutia,sio mbaya mtoto wa kike akiwa na mapozi kidogo
 
Back
Top Bottom