and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,226
- 39,713
1. Huyo kijana alikua Jela (mjelajela),Duuh ila kwel Tz na urusi
2. Kaambiwa tukutoe ukapigane ukimaliza na kifungo kwisha na hela juu,
3. Kaingia tamaa wakamtanguliza chambo, kaleta ujuaji, wakampa za kichwa
NB: ndugu wanasubiria mafao ya 300,000 USD toka Russia.