Putin kakosa usingizi wiki nzima sababu ya ishu ya kijana Tarimo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,488
20,443
Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.

Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa kitanzania anapigania upande wao.

Kila akishika simu kutaka kuongea na mama Samia anairudisha mezani maana anakuwa Hana maneno sahihi ya kumfariji.

Hamna nchi duniani ambayo Urusi inaiheshimu Kama Tanzania, hili janga linataka kuivunja hii heshima lkn Putin anajaribu kuokoa jahazi lakini wasiwasi bado ni mkubwa Sana uko Urusi.

Bakini hapa hapa nitawajuza.
 
 Tanzania hiii kila mtu anachanzo chake cha habari

kuna mwingine atakuja na story zake et kabla ya uhuru tulikuwa sambamba na china kiteknolojia
 chanzo kilochosema Tanzania ndio nchi inayoogopwa kijeshi Afrika ndio hichohicho kilichompa taarifa muanzisha mada

wabongo tunapenda kujisifia sana kama kweli tungekuwa na hela basi hii dunia tungeikomesha dadadeki
 
Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa kitanzania anapigania upande wao.
Kila akishika simu kutaka kuongea na mama Samia anairudisha mezani maana anakuwa Hana maneno sahihi ya kumfariji.
Hamna nchi duniani ambayo Urusi inaiheshimu Kama Tanzania, hili janga linataka kuivunja hii heshima lkn Putin anajaribu kuokoa jahazi lakini wasiwasi bado ni mkubwa Sana uko Urusi .
Bakini hapa hapa nitawajuza.
Si Chawa wa Urusi wanasema ana Jeshi kubwa? Ana Uwezo, Sasa ilitokeaje Jeshi kubwa limtumie hadi Kijana wa Nchi Maskini kupigana Kwa Ajili Yao?
 
Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa kitanzania anapigania upande wao.
Kila akishika simu kutaka kuongea na mama Samia anairudisha mezani maana anakuwa Hana maneno sahihi ya kumfariji.
Hamna nchi duniani ambayo Urusi inaiheshimu Kama Tanzania, hili janga linataka kuivunja hii heshima lkn Putin anajaribu kuokoa jahazi lakini wasiwasi bado ni mkubwa Sana uko Urusi .
Bakini hapa hapa nitawajuza.

Uje na picha
 
Vijana wengi mtaani wako njiani kuelekea uwanja wa vita
 
Back
Top Bottom