Putin atinga Kremlin ghafla

Biden akisikia jina Putin, anaanza kulia lia macho yanajaa machozi na uso unajaa simanzi, sbb urais wake ndio basi tena, Urusi imemharibia sana, yaani rating yake imekuwa chini sana, Putin kawanyoosha sana aisee
Ndivyo ilivyo demokrasia ila kwa madikteta kama putin hata afanye upuuzi gani ana uhakika na kiti chake!
 
Mbona Estonia na Latvia ni majirani wa Russia walio NATO na hajawavamia mpaka sasa??

Mbona Finland imeomba kujiunga na NATO na hajaivamia mpaka sasa??

Kwa nini Ukraine ambayo haijawahi hata kusema inataka kujiunga NATO??
Lengo lilikuwa kuiba ngano[emoji23][emoji23]
 
Kuipasua UKRAINE nizaidi ya msaada MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kremlin si ndiyo ikulu ya rais, makazi yake. Kwani yeye anaishi wapi?
 
Sasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon
Sasa ww babu zako walivaa magamba ya miti wakati babu za kina putin walikuwa wanagundua mabomu ya nuclear..kenge kama ww jeusi kaa mkaa unaongea pumba tuu..putin anawapuuza tuu watu kama nyie..mana hata simu ulionayo imetoka kwao..huna la kujisifia. Nyie zenu ni kushabikia harmonize akiona..mara kupaka mkongo..mara nguvu za kiumee..mavi matupu mijitu mieusii
 
Long range missiles walizopelekewa Ukraine kazi imeanza walidhani ile miji Ukraine walioondoa vikosi vyao kwamba Ukraine wame-sarender kumbe ilikuwa ni technic kuondosha vikosi vyao ili atakae baki ale cha moto., lazima Putin achanganyikiwe, kazi imeanza jana rasmi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…