Kwa hiyo NATO ni tishio kwa Putin na sio Russia? Kwa maana hiyo Ukraine inabidi avumilie putin atoke madarakani ndo ajiunge NATO?Kwa akili zako Estonia, Lativia na Lithunia wana ardhi kubwa kama ilivyo Ukraine? By the way wale walijiunga NATO Putin aliwa hayuko madarakani na kwa taarifa yako 1997 Putin angekuwa madarakani wale wapuuzi wasingejoin NATO
Hao bc ndio wale wanaojiita Wana degree ,ndio maana mimi sina degree Ila hawa wenye degree za mchongo sawa wamepoteza mda tu tukija mtaani ktk kuplan kupata pesa. Yani mtu anamwambia Putin hajui hesabu Putin ambae amesoma mpaka kiwango cha kua nguli wa upelelezi mpaka kuliongoza shilika la upelelezi la Urusi !! Na kuijenga Urusi kidogo kidogo bira ya Nato kujua mpaka kufika Urusi yenye nguvu kuliko USSR alafu mpumbavu mmoja hawezi hata kujilisha au kusaidia majukumu ya wazazi wake anakwambia vita ya kipumbavu[emoji3][emoji3]. Jf ndio mtandao pekee duniani uliojaa wapumbavukwahiyo unahisi USA angeweza kukubali jirani yake Mexico au Cuba kujiunga na Warsaw pact enzi ya Cold war au hata sahizi Russia waweke kambi ya kijeshi Cuba !
mambo mengine mnaongea yanashangaza sana
kwahiyo unahisi USA angeweza kukubali jirani yake Mexico au Cuba kujiunga na Warsaw pact enzi ya Cold war au hata sahizi Russia waweke kambi ya kijeshi Cuba !
mambo mengine mnaongea yanashangaza sana
Ukielewa kama RUSSIA imepakana na POLAND bila yashaka utaielewa hio KOMENTMkuu kwamba Tanzania imepakana na Zimbabwe, Somalia na Sudan? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Never knew about that
Hapa bongo Kuna watu Wana connection mpaka Na Putin 😃😃Za chinikwachini 😃
USA Akatae Kwa msingi upi?kwahiyo unahisi USA angeweza kukubali jirani yake Mexico au Cuba kujiunga na Warsaw pact enzi ya Cold war au hata sahizi Russia waweke kambi ya kijeshi Cuba !
mambo mengine mnaongea yanashangaza sana
Hayo ndo mambo ya kupata vijiweni na elimu kiduchu, Labda anadhani Russia ni ukrein inayopakana na Poland.Poland unaijua?? Au unahisi ni karibu na URUSI???
Muhuni kala Casual akiwacheki vijana wake wa Wagner wakichapa kazi tu na kuendelea kuninyooshea mandezivwa UkraineMwamba kama mwamba👍🏻👍🏻
Check hiyo salute😅😅Muhuni kala Casual akiwacheki vijana wake wa Wagner wakichapa kazi tu na kuendelea kuninyooshea mandezivwa Ukraine
huyu jamaa ni choko aisee, atakuwa alikuwa anaguswa manta na hao viongozi wa EU maana haishi kushikana shikana nao kibwabwaNafuta hiyo, naweka hii😅😅
Nani vile mwenye akili aongelei vita ya Russia vs Ukraine?Vita ya kipumbavu, wenye akili wame mpuuza ndio maana sasa hivi hakuna anae iongelea
Mpuuze aisee🤣🤣Nani vile mwenye akili aongelei vita ya Russia vs Ukraine?
Man and a half (Put-in)Check hiyo salute😅😅
Hehehe,Atatapatapa sana huyo, jamaa amekua frustrated zaidi ya balaa...
Historia ipi? Kwamba Ukraine ilikuwepo kabla ya Russia?Mimi naona wwe ndio kiazi kwasababu hujui historian kati ya Urus na Ukraine ila umekuwa mpumbavu was kujifanya unajua.
Biden akisikia jina Putin, anaanza kulia lia macho yanajaa machozi na uso unajaa simanzi, sbb urais wake ndio basi tena, Urusi imemharibia sana, yaani rating yake imekuwa chini sana, Putin kawanyoosha sana aiseeKama namuona Biden akichungulia kwenye shuka kinachoendelea kwenye TV huku roho inamdunda balaa....
kwahiyo unahisi USA angeweza kukubali jirani yake Mexico au Cuba kujiunga na Warsaw pact enzi ya Cold war au hata sahizi Russia waweke kambi ya kijeshi Cuba !
mambo mengine mnaongea yanashangaza sana
Hakuna Cha ajabu! Yuko kwenye shughuli zake za kikazi kama Rais!
Labda anataka kutangaza kuwa Donbas imekombolewa rasmi.
UkraineImekombolewa kutoka kwa nani?