Tetesi: Pukutiko linaendelea...

""Ehee wameanza kujichanganya makamu mteule anasema atakuwa ni makamu atakayemsaidia zaidi na si kumpinga"" Kwani ni nani aliyekuwa makamu aliyempinga rais. Mama Samia ruhusu michakato wa kumpata mgombea kupitia Ccm kwani tuna utaratibu kila baada ya miaka 10 tunaweka ingizo jipya wewe na Magufuli mmekamilisha awamu yenu. Japo si kwausahihi sana lakini nakiri HHP alikuwa mbele ya wakati sana. Aendelee kupumzika kwa amani kokote aliko awe walimuua au hata kama bado wako naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…