Tetesi: Pukutiko linaendelea...

Tetesi: Pukutiko linaendelea...

Kinachotakiwa nchi iwe imara na irudie hadhi yake imebagazwa na kubanangwa sana huku rasilimali za nchi zikihomondolewa na kikundi kidogo cha wahuni.

Taifa kwanza mtu baadaye ni wakati wa wazelendo wachache walioko kwenye vyombo kufanya maamuzi kwa mstakabali mpana wa taifa.
Unatafuta WAZALENDO kwenye mfumo? Umechelewa sana
 
Back
Top Bottom