Tetesi: Pukutiko linaendelea...

Tetesi: Pukutiko linaendelea...

FB_IMG_1783539362243.jpg
 
Kinachotakiwa nchi iwe imara na irudie hadhi yake imebagazwa na kubanangwa sana huku rasilimali za nchi zikihomondolewa na kikundi kidogo cha wahuni.

Taifa kwanza mtu baadaye ni wakati wa wazelendo wachache walioko kwenye vyombo kufanya maamuzi kwa mstakabali mpana wa taifa.
 
Back
Top Bottom