Tetesi: Pukutiko linaendelea...

Tetesi: Pukutiko linaendelea...

1787674937128.png
 
Mizizi yake was deep!

Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon

Naiona Kesho Yenye matumaini,

naanza Kushusha makala ndefu,
Soon

Britanicca
Tuendelee kupiga goti kwa wote tuaminio,natamani kupata neno la faraja kutokea kwa Mzee kalikawe,na father aliyeponea makucha ya hawa viumbe wenye kushupaza shingo,🤔
 
Mizizi yake was deep!

Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon

Naiona Kesho Yenye matumaini,

naanza Kushusha makala ndefu,
Soon

Britanicca
Nilikuwa najiuliza wakoloni waliwezaje kutawala Africa, kumbe walikuwa wanasaidiwa na wenyeji wenye tamaa ya maslahi binafsi. Ndicho nakiona leo, watanganyika wenzetu wameamua kutuuza kwa wapemba wa zanzibar. Inaumiza sana.
 
Huo Bado Ila nyingine ya moto ni kwamba hata waziri Mkuu naye anatolewa soon, Huyu Huyu Nchemba

Keep waiting
Kuna kauli kaitoa Mwigulu leo walati anahutubia Baraza la Maulidi ilinifikirisha sana nikajiuliza bahati mbaya au?
""Wakati fulani nilikua waziri wa mambo ya ndani,nilipobadilishwa nikaita mkutano jimbani,watu walifikiri nitaenda kutoa kauli ngumu,nilivyofika nikasema sisi watoto wa wafugaji ukijiandaa kwenda kuchunga halafu baba akakuambia usiende wewe leo ni zamu ya huyu haukasiriki bali unavua viatu na kufanya kazi nyingine uliyopangiwa,hivi ndivyo ilivyo haya kwenye uongozi".

Hapa lipo jambo sio bure.
 
Back
Top Bottom