Tetesi: Pukutiko linaendelea...

Tetesi: Pukutiko linaendelea...

Huo Bado Ila nyingine ya moto ni kwamba hata waziri Mkuu naye anatolewa soon, Huyu Huyu Nchemba

Keep waiting
Hofu yangu ni kupitia mvurugano huu wasije pita na Lissu tu ili kuchochea moto.
Nahofia sana sijui kwa nini toka nimeona ema ze boy kupigwa barua akili yangu inawaza gerezani tu kuna usalama kweli?
 
Mizizi yake was deep!

Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon

Naiona Kesho Yenye matumaini,

naanza Kushusha makala ndefu,
Soon

Britanicca
Na nguchiro wa bavicha weengi eti wanaona yeye ni hero...!!

Teh teh teh

JF ina vituko
Mizizi yake was deep!

Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon

Naiona Kesho Yenye matumaini,

naanza Kushusha makala ndefu,
Soon

Britanicca
“Kila kilichoko juu yake (ardhini) kitafikwa na maangamivu yaani kitafika mwisho wake. Na utabaki uso wa Mola wako, Mwenye utukufu na heshima.”
Qur’an 55:26–27
 
Back
Top Bottom