Prophet IPM anahubiri injili gani?

Wanaume bana.
Huyu IPM anaweza akawa sio mtumishi wa Mungu na ingependeza sana kama angejiita mwalimu. Lakini anayoongea mengi yana make sense ni vile tu wanaume siku zote ni vichwa ngumu.
 
Sasahivi ukiwa motivational speaker tu tayari umeukaribia unabiiπŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uanaume siku hizi validation yake iko hatiani,
Maana wahusika hawajiamini kabisa, Lol
 
Wanaume bana.
Huyu IPM anaweza akawa sio mtumishi wa Mungu na ingependeza sana kama angejiita mwalimu. Lakini anayoongea mengi yana make sense ni vile tu wanaume siku zote ni vichwa ngumu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata wewe pia umo, ni vile hukwenda huko kwa kitchen party kufundwa kuwa mwanaume..
Polenii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi sihitaji kukumbushwa kuhusu uanaume wangu
 
sema AMina
 
Haya maisha ukijua kufanya mambo yako bila kuangalia fulani kafanya nini /kufuatilia maisha ya watu utaishi kwa amani sana bila mihemko yoyote.
Ukianza kufatilia mambo ya watu na kuanza kukosoa tambua wewe ndio tatizo.
 
Ila wee kuwakumbusha wenzio ndio unaweza?
Sasa utofauti kati yako na huyo mchungaji fake uko wapi?
Sorry sijasoma ID
Ni dhambi kubwa kwangu ku argue jambo lolote na wewe
Wewe niwakupuuza tu
 
Haya maisha ukijua kufanya mambo yako bila kuangalia fulani kafanya nini /kufuatilia maisha ya watu utaishi kwa amani sana bila mihemko yoyote.
Ukianza kufatilia mambo ya watu na kuanza kukosoa tambua wewe ndio tatizo.
Ongeza Sauti.
Umepiga kwenye mshono, πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…