Na walijaa kwelikweli😁
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Unauza papa?
Vikao vya wanaumeNaona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Wa kuristo mna shida kubwa mpaka mnaanza kulumbana wenyewe kwa wenyewe, hivi biblia haiwapi muongozo kipi halali na kipi haramu, wengi mmesha kua kondo hamhoji ma nabii kazi mliobakia ni kutowa sadaka tu.Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Madalali wa imani
Una hojaWa kuristo mna shida kubwa mpaka mnaanza kulumbana wenyewe kwa wenyewe, hivi biblia haiwapi muongozo kipi halali na kipi haramu, wengi mmesha kua kondo hamhoji ma nabii kazi mliobakia ni kutowa sadaka tu.
Wapiga diliNaona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Huyu wa upande wa kulia ndio yule akisema watu wakitoka 29 watavunjwa miguu?
Na yanayoenda kulisikiliza hili pumbavu nao ni mataahira!Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Kuna mipumbavu inalipia elfu 50 kwenda kusikiliza ujinga kama huo? Wanaume wa Dar kuna shida mahali!