Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

Ujinga wetu ni nini basi? Je unaathari zaidi ya upuuzi wako na wa wenzako ambao mnataka watu wote waimbe sifa za CDM bila kukosoa au wakosoe sirini kana kwamba ni chama kisichostahili kukosolewa? Ujinga wetu ni nini kudai na kuonesha bila kuwiwa na mtu kuwa CDM kama ilivyo sasa ikishika madaraka tutakuwa na tatizo lile lile ambalo tunalo ndani ya CCM yaani siasa zenye kufuata watu, sera zisizoangaliwa na kuandaliwa vizuri na mfumo mzuri wa kutawala? Ama ujinga wetu nini hasa kulinganisha na upumbavu wa kushabikia chama ilimradi ni chama? Ama ujinga wetu hasa ni nini? Kwamba tunapenda CDM na tunaamini inahitaji kujengwa kujiandaa kushika madaraka ya kuliongoza taifa siyo kutawala? Au ni ujinga gani unaozungumzia ule wa kusema uongozi wa CDM ulivyo sasa umenata kwenye watu kiasi kwamba fikra za kutoka nje zinakutna na ukuta wa kukwamisha ambao ni mgumu kubadilika kama vile ilivyo CCM?

Ama ni ujinga gani ambao tumeudhihirisha zaidi ya kusema kile ambacho tunaamini na kukiweka bayana kwa kila mtu kukiona? Kwamba hatuamini umati wa watu; kwamba kwa vile watu wengi wanajitokeza kwenye mikutano na kuvaa nguo za rangi ya CDM haina maana ni wingi wa kura? Au ni ujinga upi huu?

Au ni huu wakusema kuwa miaka miwili baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 na mitatu kabla ya ule wa 2015 CDM bado ni chama kile kile? Kina katiba ile ile, kina mifumo ile ile, kina mwelekeo ule ule na dhana zile zile? Kwamba hakijajionesha kuwa kiko adaptive na adoptive wa siasa mamboleo (modern politics) na badala yake kimeendelea kutumia mifumo ile ile iliyoundwa na CCM. Leo hii bado Kamati Kuu ya CDM ina nguvu za kuinfluence local politics kama vile ilivyo kamati kuu ya CCM? Ama ni ujinga wa watu kusema CDM inahitaji kujipnga, kuboresha miundo mbinu yake, kusasaisha sera na mwelekeo wake, na kutengeneza taasisi zake ambazo zitahakikisha kinatoka kuwa chama cha upinzani wa kuduma na kuwa chama kinachoweza kushika utawala wa nchi.

Wakati mwingine ujinga wetu una hekima zaidi kuliko werevu wenu.
MM umeonyesha kweli wewe ni mkomavu. Hizi ndiyo changamoto za kudanya mambo yasonge mbele. Naamini kabisa kwa mada hii ni darasa kwa wengi lakini zaidi ni kwa viongozi wa CDM.
 
I wouldn't be so sure. It is screaming louder like a thunderbolt on a summer day.
Unajua unachekesha sana. Sasa naona umeanza kubali kuwa katika maandishi unaweza pata tone. Ingawa umesikia loudness mahali isipokuonyesha jinsi ulivyo tarai kufa ukitetea self esteem. Unanifurahisha kwa kuyarudia matapishi. Tumekufundisha sana humu ndani kuhusu hili ukawa mbishi kama kawa sasa unaota utafute resort.
You are losing control and it scares you. Inaonekana umezoea kupata, kukubaliwa na kutokupingwa. Bahati nzuri I'm used katika kupingwa sana. But, my friends the level of your desperation to maintain self control while recogning it is fleeing you inakutisha.
Niwe scared? Kwa lipi? Mimi sijulikani popote nje ya JF. Niogope nini? Umepanic nini? Ningekuwa napoteza control tusingefika hapa kwani nimekuburuza sana wakati ulikuwa ukideka, ukisusa, ukitishia mtu mzima kwa doll etc. Nimekuwa nikushtua kila mara kuwa unaleta uvivu kwa kususa. Embu rudia wapi ulinikumbusha na wapi nimekukumbusha halafu uone nani alikuwa in control. Hivi analysis zako unafanya vipi? Mbona unazidi thibitisha kuwa CDM walikuwa makini sana. Hii ndio raja ya maandishi hakuna wahuni wa kupiga makelele wakikushabikia.
Inaonekana unapata shida kucollect mawazo yako taratibu na kuyapanga; what is this? I can easily see some other familial issues. Mtoto wa katikati possibly but may be something more profound. Nazidi kujifunza.
Kwanini ufanye gueswork ktk invalid issue? Kwanza si valid kungalia position ya mtoto, na ulivyoreason ni kitoto.Kama ulidhani nataka control wengine angalau unge guess mtoto wa kwanza kama alilelewa akiwa na wadogo zake na hivyo kujifunza waongoza. Sasa katikati? Unanishangaza mutu mukubwa.
A radical you are not. Kukatalia au kujaribu kucontrol watu wengine siyo radicalism kabisa. Radicalism is principle driven not loyalty driven.
Do you think nilikuwa nataka ku control? So now you mean you are the one who is scared and fighting to be free? Kwanini uanze jiweka under controll kabla hata mtu kukuweka? Au kwanini unania accuse kwa hilo?ina maana hiyo ya fartherly issue inakuhusu.Una shida ya esteem ndio maana unahisi njia pekee ya kuw ahuru ni kutaka watu wengine wote wakusikilize. Ndio unalia sana kuwa CDM hawakusikii ukiuliza nini hawakusikii unaanza kulia, kususa etc. Kama yule jamaa aliyeleta story kuwa wewe ni mtoto mama siwezi shangaa kwanini unadeka sana,unasusa sana, unataka elimu uliyosotea na kuitamani sana sasa na wengine waitamani hata kama mpangilio wake kichwani na jinsi ya kumanipulate information na principles bado si sawa.

Umesikia wapi nimekwambia radicalism ni loyalty? Mimi nimekuambia sipo tayari kumpromise chochote sahihi kwa ajili ya kudeka kwako, au kususa na mabo mengine ya kublack mail watu. We jifanye victim ila mimi si give in katika huo ulegevu. Mara kibao nilikuwa nakushtua kuwa mbona unakimbilia kirahisi ktk issue ndogo na kuach amajibu ya msingi.
Nakutisha tena? sijatumia neno la kutisha hata moja na siwezi kukutisha kwani sina sababu. Najaribu kuelewa motivations zako na especially the underlying psychological traits ambazo zinekufanya uwe ulivyo.

Sasa wewe huku unasema wengine wanataka ku control huku unasema wanalalamika kutishwa? Mbona huwezi soma kitu mzistari yote na kupata literal na contextual picture. Unatia huruma sana, na mbaya upo katika fani ya uandishi na tayari umeshajiweka ktk class ya masuper star. Ndio maana sikupenda sana hii tabia ya kufanya watu masuperstar kirahisi halafu baadaye wanakuja tulisha kasa, kwa vizazi vingi.

Logic gani sasa unayojivunia ktk hii session?au hata utambuzi upi unao ktk maandishi kama wewe mwenyewe umeshakiri kuwa huwezi tambua hizo tone?
kwani unadhani Nyerere hakupata upinzani zaidi ya CDM toka kwa makundi kama ya leo? Aliyapata ila alikwenda nao hivyo hivyo na kuna kipindi alisimamia ukweli hadi wakajificha wenyewe, wengine walifikia pa kumuogopa kwa vile walimwona kama light na wao ni giza. Sasa ndio wanachomoza.

Irrelevant.
Well, wala sian haja ya kukuambia ulete relevant kwani tutapotelea mno nje ya thread. Wenye akili wanaona na watakuwa na majibu yao.
Ni wewe unazileta; ukizeleta nitazijibu. Nilisema mwanzoni tufanye mjadala wa kistaarabu lakini mwenzangu inaonekana ustaarabu na heshima vinakukimbia. Ukitaka tuendelee na mjadalaa vizuri na kuulizana maswali tunaweza kufanya hivyo; ukileta psychoanalysis of first grade, well I do that for a living.
Yaani hukumbuki ahat nilikuambia siwezi rudiarudia kwani tutajaza database junks, n apia kuwafanya wafuatiliaji wapate kazi kutrack issue ndogo kabla ya kurudi ktk flow tena.

Nimekuambia mimi ni radical n akazi yangu hapa si ku appease watu. Sasa huo ustaarabu unaoutaka hapa kama wa muuza chumvi anayataka umsalimie kwa adabu halafu umwambia unataka dawa ya mboga. Sidhani kama ndicho ulichojifunza USA ktk soko huria ili ufanye biashara? Unless unaenda omba kazi ktk nchi ya kijamaa.

Kwa mtaji huu kama hiyo psychoanalysis yako for a living utakuwa umeajiriwa permanently kwani ungekuwa soko huria ungekufa njaa. Au pengine unawatreat wateja wako kama unavyojaribu cheza kamikaze humu ndani.

Well sipendi komaa na wewe kwa kutaka ubishi na ushindi. Na ningependa kuambia sema unachotaka nifanye hapa ili kukuachia self-esteem unayoilinda kwa nguvu zote. Ila sipendi susa kama wewe wala ku appease au hata kukufanya wewe kama kilema na kukubalina na mawazo yako hata kama si sahihi. Jikaze tuu uje na ushawishi wa kisomi tutakubalina na wewe. Umepoteza ku clarify jinsi usivyoelewa mambo, jinsi ulivyo na hasira na hasira ikipanda zaidi hutoweza someka, umeonyesha jinsi ulivyoifuata CDM baada ya kuiona ina ishara kuu, umetoa clue ulivyo na shida ya kisaikologia n.k sasa ndio unakuja mezani kulazisha watu wakubali fikra zako kama CCM wanavyopenda kulazimisha matokeo siku ya uchaguzi.
 
Yaani hukumbuki ahat nilikuambia siwezi rudiarudia kwani tutajaza database junks, n apia kuwafanya wafuatiliaji wapate kazi kutrack issue ndogo kabla ya kurudi ktk flow tena.

Nimekuambia mimi ni radical n akazi yangu hapa si ku appease watu.Sasa huo ustaarabu unaoutaka hapa kama wa muuza chumvi anayataka umsalimie kwa adabu halafu umwambia unataka dawa ya mboga.Sidhani kama ndicho ulichojifunza USA ktk soko huria ili ufanye biashara?Unless unaenda omba kazi ktk nchi ya kijamaa.

Kwa mtaji huu kama hiyo psychoanalysis yako fo a living utakuw aumeajiriwa permanently kwani ungekuwa soko huria ungekufa njaa.Au pengine unawatreat wateja wako kama unavyojaribu cheza kamikaze humu ndani.

Oh boy; u have lost control of yourself; ni vile unavyojitahidi kuonesha kuwa una control and composure ndivyo unavyojionesha kuwa you have lost both. Bila ya shaka unapenda sana kusikilizwa.
 
Oh boy; u have lost control of yourself; ni vile unavyojitahidi kuonesha kuwa una control and composure ndivyo unavyojionesha kuwa you have lost both. Bila ya shaka unapenda sana kusikilizwa.
Sasa unaona fahari gani hapa? Hujui kuwa database inabeba hizi postings, na display yake ipo ordered na kwa msomaji kufuatilia vizuri tunahitaji jibu vitu ktk session moja ili pasiwe na postings nyingi in between na hivyo kumuwia ngumu msomaji kuunganisha idea? Au ndivyo upendavyo ili watu wapotee ujione kuwa mjuaji? Kwanini usirudi thread kadhaa nyuma ujibu ambacho hujajibu halafu kitasogezwa automatically mbele? Sasa hata ktk profile yako ukirudi utaona reply zangu na ukajibu. Sasa nayo ni shida? Ndio unajaribu tena kuchukua escape nyepesi kama hivi? Bado unahitaji tena nianze kukumbusha kuwa visababu vidogo visi ku distract? Sasa composure impoteza wapi wakati bado nahitaji control kudeka kwako, kususa, kukasirika, na mara nyingine kuleta kebehi za kukimbia issue na si kebehi za kubaki na kumaliza session tukiwa tume tick kila kitu?

Mbona unajiyeyusha zaidi ya unavyodhani unawayeyusha wengine? Wewe si huwa unawaambia watu warudi wakasome magazeti yako marefu kama mzalendo na daily news vile ktk thread nyingi, sasa inakuweje wewe unashindwa rudi soma za thread moja? Kumbuka nilikuambia mwanzoni uispende wapa watu vipimo ambavyo hata wewe mwenyewe huwiwezi.

Huwa unajua wenzine wanachoka kusoma posting ndefu halafu zina mpangilio mbaya wa kuweza eleweka, hapo ndipo unapoburuza watu kwa kuwaambia wafuate au wasubiri ukaandike. Hufai kupewa project ambazo ni time stamped.
 
Mbona nilishajibu yote ya msingi? Unataka nikujibu kila kitu kwa sababu hutaki kutokujibiwa? Kwamba ukiuliza ni lazima ujibiwe na usipojibiwa unajisikia vipi hasa? Mimi kutokujibu baadhi ya maswali yako ambayo naweza kujibu kunakukera sana kwanini? Najibu maswali ambayo naamua kujibua au ambayo naona umuhimu wake kujibu; mengine ni maswali ambayo nayaacha kuyajibu kwa sababu sitaki kuyajibu au nayapuuzia tu kwa sababu hayajaulizwa vizuri au hayana msingi. Uliza mengine, nitaamua kujibu au kutokujibu kutokana na vigezo vyangu mwenyewe vya nini nijibu na nini nisijibu.
 
Hapa WOWOWO nipo na wewe 100%. kwenye red hapo political scientists wanaita cooptation, na inakubalika kabisa kisiasa, na kinachofanyika ni kujaribu kuvunja nguvu ya upinzani kwa kuiga mipango mikakati na mawazo yao yenye mashiko na kwasababu wao bado wananguvu ya miundombinu na rasilimali inakua rahisi kuhalalisha mbele ya umma kwamba ni initiative zao!! sio tu mawazo hata watu (i mean potential leaders) wanakua coopted!! that how system works...

Bado naamini cdm hawajafanya vibaya kwa kutumia precautious publicity tactic maana wanajua upande wa pili kuna njaa kubwa ya ideas na mipango!! na mfano ndio huo wa V4C!!!!

kiukweli vita ndio hii... kuendeleza mapambano ya kukosoa na kuonyesha dhahiri namna sera na mifumo ya upande wa pili zilivyoshindwa na zinavyodidimiza azimio la kuondoa umasikini, ujinga na maradhi kwa mtz!! while at the same time wakiconstruct a model yanamna watakavyoweza kubadili na kuleta maendeleo. (without disclosing the contents)

Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kila kilichoandikwa kwenye uzi huu.. Huwezi kuweka hadharani Silaha zako za kivita!.
 
Mbona nilishajibu yote ya msingi? Unataka nikujibu kila kitu kwa sababu hutaki kutokujibiwa? Kwamba ukiuliza ni lazima ujibiwe na usipojibiwa unajisikia vipi hasa? Mimi kutokujibu baadhi ya maswali yako ambayo naweza kujibu kunakukera sana kwanini? Najibu maswali ambayo naamua kujibua au ambayo naona umuhimu wake kujibu; mengine ni maswali ambayo nayaacha kuyajibu kwa sababu sitaki kuyajibu au nayapuuzia tu kwa sababu hayajaulizwa vizuri au hayana msingi. Uliza mengine, nitaamua kujibu au kutokujibu kutokana na vigezo vyangu mwenyewe vya nini nijibu na nini nisijibu.
Kweli haya majibu na sabau zako undhani wasomaji wote wataya buy? Pengine inabidi nisikuulize vitu au kuambia kwani inakuwa kama vile nakulaani au upo uchi sana. Nilikupa wazo la kufanya utafiti katika familia yako"ili uweze jua wapi hawaridhiki" bahati mbaya kidogo ilionekana natukana hadi nika clarify ila hapa umethibitisha kuwa unahitaji soma mwitikio wa watu.

Sasa naona unataka jua feelings zangu na si kuendeleza mjadala. Sasa kama hukuweza soma feelings zangu ktk postings zangu basi una shida, ni kama katika interview unaulizia mtu kabila lake wakati ungeweza pata ktk interview bila kuuliza. Napata picture kwanini wanasiasa wa bongo wanawapenda waandishi kama nyie na kuona ni bora wakuze majina yenu ili mkubalike halafu wawatumie kama madaraja. Mnakuwa rahisi sana kuwa manipulated. Sasa hapa JF na mtu nisiye chohcote kama mimi tayari unatota hivi, je ukiwa laive na Mafisadi huku ukiwa na maafisa za usalama si utauliza maswali yao huku ukitakiwa ujichekeshe na kuuliza kwa heshima.

Mimi kujibiwa si kuwa sitaki ila nakuonea huruma kwa vile vile usipojibu ni kuwa unaruhusu aliyekuuliza au aliyeshuhudia kuchagua jibu kwa kwa niaba yako. Umesusa, umechemsha, au bado slow processor inafanya kazi.

Wewe ungependa nijisikiaje usipojibu maswali? Nijisikie naongea na mtu wa kususa. Wewe kweli una usingizi! Ukiingia ktk maswali huwezi chagua swali la kujibu halafu ukategemea kuwa linaondolewa ktk list ya maswali,sanasana unategemea kukosa marks. Nani kakuambia msingi wa maswali unaouona unayeulizwa? Msingi wake upo kwa anayeuliza na msingi upo kataka majibu amabyo yanakwenda kwa waulizaji.

Sasa wewe mwandishi wa dot.com haya majibu yako na maswali yako ya kuchekesha. Embu jiulize, km JK angekujibu au kukuliza hivyo ulivyoandika; kesho yake ungeandika vitabu vingapi huku vingine vikiwa havipo katika order?
 
. Nani kakuambia msingi wa maswali unaouona unayeulizwa? Msingi wake upo kwa anayeuliza na msingi upo kataka majibu amabyo yanakwenda kwa waulizaji.

Sasa wewe mwandishi wa dot.com haya majibu yako na maswali yako ya kuchekesha. Embu jiulize, km JK angekujibu au kukuliza hivyo ulivyoandika; kesho yake ungeandika vitabu vingapi huku vingine vikiwa havipo katika order?

Inaonekana umezoea kupata mno; nakunyima kitua ambacho unaamini unastahili kupewa. Sijaona maswali ambayo kwa kweli yanahitaji kujibiwa hadi unakosa raha hivyo. Usingizi siwezi kuwa nao bado mapema kwangu labda upande wako. Unajua ukiuliza swali muulizaji anaweza kuona kaulia jambo la msingi sana lakini ni yule anayeulizwa anaamua kama hilo jibu linastahili kujibi, na kama kujibiwa lijibiwe vipi na kwa kiwango gani na kama si la kujibu kulibrush aside.

Una maswali mengine mapya? labda yatakuwa more interesting.
 
Kwa vile umeshaonyesha uliyakimbia makusudi na si honest player ktk hii discussion basi nikupe vitu rahisi:

-Unajithaminishaje baada ya hi session?

-Je unadhani wewe unafiti wapi linapokuja suala la CDM? Kuwa consultant or critic? Weka sababu za msingi.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Ukimaliza, fanya mambo mengine uliyoulizwa ktk thread. Mengine wasomaji na wachangiaji wataangalia wenyewe.Nategemea kusoma umahiri wako hapa.Ni hayo tuu.Pia nadhani yatakuwa interesting kama hutakula kona.
 
Kwa vile umeshaonyesha uliyakimbia makusudi na si honest player ktk hii discussion basi nikupe vitu rahisi:

-Unajithaminishaje baada ya hi session?

Sidhani kama hii session in any way, shape or form nilikuwa naitumia kujithaminisha. Ni mada kama mada nyingine tu.

-Je unadhani wewe unafiti wapi linapokuja suala la CDM? Kuwa consultant or critic? Weka sababu za msingi.

Why only two choices? na kwanin iwe a au b why not both? In short kutegemeana na mambo yanavyokwenda I could either of them, both or more. Kama mshauri nikiulizwa naweza kutoa ushauri, nisipoulizwa bado naweza kutoa ushauri na wakati mwingine naweza kuwa mkosoaji. Vyovyote itakavyokuwa ni makusudio yangu kuisaidia CDM kushika madaraka kwanza kabisa kwa kuhamasisha ijipange na kufanya necessary internal reforms.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Ukimaliza, fanya mambo mengine uliyoulizwa ktk thread. Mengine wasomaji na wachangiaji wataangalia wenyewe.Nategemea kusoma umahiri wako hapa.Ni hayo tuu.Pia nadhani yatakuwa interesting kama hutakula kona.

Nilishapitia mengi jana ambayo watu wameuliza; mengine sijayajibu kwa sababu mbalimbali.
 
Kwa vile umeshaonyesha uliyakimbia makusudi na si honest player ktk hii discussion basi nikupe vitu rahisi:

-Unajithaminishaje baada ya hi session?

-Je unadhani wewe unafiti wapi linapokuja suala la CDM? Kuwa consultant or critic? Weka sababu za msingi.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Ukimaliza, fanya mambo mengine uliyoulizwa ktk thread. Mengine wasomaji na wachangiaji wataangalia wenyewe.Nategemea kusoma umahiri wako hapa.Ni hayo tuu.Pia nadhani yatakuwa interesting kama hutakula kona.

mkuu nimependa maswali yako, kiukweli yananiongezea upeo wa kufikiri, hasa issue ya kususa, kudeka na kulia lia
 
Nicholas na Mzee Mwanakijiji someni post ya kwanza ya WOWOWO pia reply ya kwanza ya MM, zilikua zimekaa vizuri sana, naona kama sasa hivi imekua tu sushambuliana watu wawili.

Mmoja anaweza kuamua tu kukaa kimya yaishe na wala hatokuwa dhaifu au kuhesabika kwamba ni dhaifu.

Nicholas na Mzee Mwanakijiji wana misimamo tofauti.Mzee Mwanakijiji tayari kashauweka wazi lakini Nicholas anaonekana haliziki nao. Kinachoendelea sasa ni vita ya kushawishiana na kurekebishana katika misimamo waliyonayo. Swali ni Je inawezekana kila unachokiamini kiaminiwe na kila mtu bila kukosolewa?
 
Tatizo la wanasiasa wa Afrika ni woga mno wa kukosolewa. Tatizo la wafuasi wa wanasiasa wa Afrika nao ni kuogopa mno kuwakosoa viongozi wao, hasa kuwakosoa hadharani. Ukiwa mkosoaji unaanza kukwepwa na kukimbiwa. It's incredible.
 
Hebu tupanue mjadala kidogo: Je, ni muhimu kuiondoa CCM madarakani na maovu yake sasa hivi au muhimu kwanza ni kuiondoa CCM madarakani na mengine yatafuata baadaye? Kama lengo ni kuiondoa CCM madarakani na sio lazima kuondoa na maovu yake mara moja, then MMM is right. Otherwise, he is missing the point.

Mimi msimamo wangu siku zote ni wazi kabisa: cha muhimu kwa sasa hivi ni kuiondoa CCM madarakani. Kwa maneno mengine, madamu CCM ipo madarakani itakuwa vigumu kwa sisi kupiga hatua ya maana katika jambo lolote. Kuyaondoa maovu yote iliyoyazalisha inapaswa kuwa agenda ya muda mrefu kwa sababu ni jambo litakalochukua muda.

Kwa hiyo tunapaswa kuiangalia CDM kama jahazi la kutuvusha katika gharika.
 
Natamani Dr. Mkumbo na wengine ndani ya CDM muanze mchakato wa mapitio ya Manifesto ya chama kuelekea 2015.

Kuna masuala ya Nishati, Miundombinu, Elimu, Afya, Ardhi, Madini, Utalii,Uchumi kwa ujumla nk yanahitaji kuwekwa sawa kabla ya kitimtim cha 2015. Kila mtanzania anapaswa kutambua namna Chadema itakavyofanya tofauti na ccm. Kila mwanachama lazima ajue muelekeo wa chama katika kusimamia utekelezaji wa sera za nchi ili kuinua uchumi. Naomba muweke namna ya kukusanya maoni ya wananchi katika kuandaa manifesto hiyo, namna ambayo haitaacha mwanya kwa wapinzani wetu kuiba sera hizo. Panel ya wataalamu inapaswa kuandaliwa ili kuandaa manifesto kamilifu.
 
heshima kwako Kitila Mkumbo,

Nafikiri ninamuelewa sana Mzee Mwanakijiji, mimi pia nina mawazo kama yake, bottom line ni kuleta mabadiliko, CCM inabidi iondoke kwa sababu imeshindwa kuwa chombo cha kuleta hayo mabadiliko, na kama tutaipa nafasi CDM ni kwa sababu tunaamini kitaleta mabadiliko (sio suala la CCM itoke CDM itawale tu kwa sababu hatuipendi ccm na tunaipenda CDM, kama hakuna mabadiliko tunayoweza kuyaona leo kuna haja gani ya sisi kupigana kwa nguvu zote kuhakikisha CDM inachukua nchi? nikiazima lugha ya obama hiyo ni sketchy deal)

Tukilenga kuondoa kwanza CCM afu mengine yafuate tutakua tunafanya kosa la msingi, kama kosa la rais wetu ambaye alipigana miaka mingi ili afike magogoni, alidhani akifika mengine yatafuata, hadi leo hakuna kilichofuata na inajidhihirisha leo hakujiandaa kuwa rais ila alijiandaa tu kushinda uchaguzi .

MM anasema CDM ijiandae kutawala, siku tumekabidhiwa nchi tuwe na mipango, sasa mimi ni CDM kama walivyo wengine wengi humu, lakini tunajua mipango yetu ya 2010 kwa kiasi kikubwa ni ileile sasa, labda ni call nzuri kwamba tutathmini na tu-strategise upya kulingana na wakati, tusije tukawa tunatumia mbinu zilezile zilizoasisiwa na ccm.

hatuwezi kupita njia ileile ya ccm afu tunategemea kufika sehemu tofauti!
 
Back
Top Bottom