Nikisema kuwa kwa maandishi yako unaandika kwa sababu una wivu nitakuwa sahihi kwa sababu naweza kusoma kwenye maandishi yako? Au kwamba naweza kuona una chuki ya aina fulani hivi? utasema ni kweli kwa sababu mimi naamini hivyo?
Utakuwa right only if utaoina huo wivu kwenye maandishi yake kupitia "graphology". Na akiandika kwa chuki, utaiona hiyo chuki!. Ili uweze kuiona hiyo graphology lazima uwe na uwezo wa uoni huo, ndio maana sio kila mtu asnaweza kumsoma mtu in between the lines kama utetezi wa kwa EL asimamishwe kugombea kupitia CCM!. Nicholas anao huo uoni wa graphology na aliona ulikasirika, mimi pia niliona na aliye kurekebisha nae aliona akifikiri ulikosea kwa bahati mbaya, na wewe ukakubali kurekebishe ili ionekane kweli ulikosea, ila wewe ndani ya moyo wako unajua wazi kuwa hukukosea uliintend, Nico aliona na mimi niliona!.
Binadamu wote tunazo zile five senses, lakini pia wote tuna sixth sense ya "intuition", mtu akikudanyanya utajua unadanganywa!. Ist date zatu nyingi sisi ngozi nyeusi huwa tunataka kumaliza kila kitu, hivyo wasichana weak, hutumia kinga ya kisingizio kuwa wako ... na kuvaa kabisa ... just incase utalazimisha!. Ukiwa na sharp intuition, utajua tuu unafungwa kamba hivyo baada tuu ya date you just kiss good bye bila kudemand anything!. Mara kibao unapatwa na shida, unakwenda kwa a friend/ndugu/jamaa au rafiki kukopa, anakujibu hana hela, intuition inakuambia anamekutolea tuu nje, you just go!.
Kupitia post yako fulani niliwahi kukueleza wewe Mkuu Mzee Mwanakijiji jinsi ulivyo "powerfull" kwenye some of your writings na nikakuambia it all works of powers to make things happen!, Hivyo naamini ukidanganywa, utajua unadanganywa, pale ulikasirika na tulijua umekasirika na kuna wakati huwa unasusa na tunajua umesusa!.
Ukienda mahali kwenye kundi la watu wanaongea ongea issues, miongoni mwao kuna watu watatu, wamenyamaza kimya kabisa bila kuchangia chochote!, mmoja amekaa kimya kwa sababu yeye ni mkimya tuu, mwingine amekaa kimya kwa sababu hana kabisa cha kuchangia, na mwingine ni mkimya kwa sababu kaamua kujikalia kimya tuu!, ukiwaangalia utawajua tuu, au kama mtu a hide someting kukuambia utamjua tuu!.
Watu wengi wanadhani wale sniff dogs wanatumia harufu kunusa ndipo kutambua!, no!, wanatumia intuition!.
Kwani kukasirika ni kosa?. kukasirika ni human, ila kutukana baada ya kukasirika ndilo kosa na uliliona na kulifuta!.
Tuendelee!.
P.