Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

Sidhani kama hii session in any way, shape or form nilikuwa naitumia kujithaminisha. Ni mada kama mada nyingine tu.
Unaweza ukawa hukuwa unaitumia hivyo kwa sababu lengo halikuwa kujidhaminisha,ila baada ya kujadili unapaswa jiuliza mswali ya msingi ya ulichokuwa ukifanya na umefanya vipi.Sidhani evaluation ya ulichofanya kama ni ombi.Hilo ni jukumu kwa mtu makini.Naona bado unapambana na self esteem ndio maana hujaona km unaweza jibu kirahisi sana kwa moyo mwema tuu,na biashara ikawa imekuwisha upande huu.
Why only two choices? na kwanin iwe a au b why not both? In short kutegemeana na mambo yanavyokwenda I could either of them, both or more. Kama mshauri nikiulizwa naweza kutoa ushauri, nisipoulizwa bado naweza kutoa ushauri na wakati mwingine naweza kuwa mkosoaji. Vyovyote itakavyokuwa ni makusudio yangu kuisaidia CDM kushika madaraka kwanza kabisa kwa kuhamasisha ijipange na kufanya necessary internal reforms.
Kwa sababu tukienda to the extremes hivi ni vitu tofauti visivyoweza kuwa kwa mtu mmoja kwa kazi moja.Pia majibu yako ,kauli zako nyingi hazikusupport kuwa mmojawapo wa critics wenye positive contributions kwa CDM.Somewhere nilimention Kaskazini ukang`aka sana na kwenda upande wa wanaopenda wapa CDM sifa ya ukanda.Kwa ujumla umenipa kazi kukurudisha kwenye discussion zaidi ya moja ili ujikita kwenye hoja.Sijui kwanini unashindwa jibu hayo maswali ambayo yangeturudisha katik mada haraka.Yaani yangekupambanua kuhsu msimamo wako.
Nilishapitia mengi jana ambayo watu wameuliza; mengine sijayajibu kwa sababu mbalimbali.

te teh..sababu zipi sasa ambazo hazirmridhisi muulizaji?Sasa kama CDM wangekualika katk panel wakakuuliza maswali makali na mengine ambayo unaweza dhani ni ya hovyo ila yanawapa picture halis na uelewa wa malengo yako na applicability ya unachokililia sana.Ungewajibu kwa namna hii?
 
Hebu tupanue mjadala kidogo: Je, ni muhimu kuiondoa CCM madarakani na maovu yake sasa hivi au muhimu kwanza ni kuiondoa CCM madarakani na mengine yatafuata baadaye? Kama lengo ni kuiondoa CCM madarakani na sio lazima kuondoa na maovu yake mara moja, then MMM is right. Otherwise, he is missing the point.

Mimi msimamo wangu siku zote ni wazi kabisa: cha muhimu kwa sasa hivi ni kuiondoa CCM madarakani. Kwa maneno mengine, madamu CCM ipo madarakani itakuwa vigumu kwa sisi kupiga hatua ya maana katika jambo lolote. Kuyaondoa maovu yote iliyoyazalisha inapaswa kuwa agenda ya muda mrefu kwa sababu ni jambo litakalochukua muda.

Kwa hiyo tunapaswa kuiangalia CDM kama jahazi la kutuvusha katika gharika.
Niliwahi mwambia kwa sasa CCM ni kikwazo kwa maisha ya mtanzania kuliko kitu kingine chochote.Bila kuiondoa CCM hakuna stage nyingine itakayokwenda kwa ufanisi kama si kutofanyika kabisa.Nikampa mfano wa Mtu mwenye minyoo sugu,huweza poteza resources kumlisha huyu mtu kabla ya kufikiria kuindoa hii minyoo ili magonjwa yaletwayo na hawa minyoo yaondoke,pia lishe ipotezwayo kuwalisha hawa parasite nayo iokolewe.Ndipo mhanga aweze kuwa huru kuamua ni vipi anaweza rutubisha mwili.Otherwise virutubisho vyote vitakuwa vinanenepesha minyoo tuu.Hakutaka pata concept kwa vile nia yake si njema.

CCM ikiwekwa bench kwanza na watanzania wawe huru,ni rahisi watanzania wakapanga mambo yao kwa uhuru na jinsi wapendavyo.Kwa akili yake anataka CDM itoe silaha zake na iwe dictator wa kuwapangia watanzania kila kitu.Hajui kuna neno Democrasia ktk CDM.

Wala sikua na nia ya kushindana naye.Yeye ktk masuala ya habari ne heavyweight mimi ni mzalendo tuu kama mzalendo mwingine anayeganga maisha kama wengine.Tatizo lake limejionyesha mara nyingi sana ktk volatile behaviour aliyoonyesha.Ndio maana sipendi sana kuwafanya akina shivji masupea star hadi tunashindwa ongea nao tukiwa na fikra tofauti.
 
Nicholas na Mzee Mwanakijiji wana misimamo tofauti.Mzee Mwanakijiji tayari kashauweka wazi lakini Nicholas anaonekana haliziki nao. Kinachoendelea sasa ni vita ya kushawishiana na kurekebishana katika misimamo waliyonayo. Swali ni Je inawezekana kila unachokiamini kiaminiwe na kila mtu bila kukosolewa?

well, kwa jinsi nilivyomuona na kumsoma MMK humu ndani msimamo wake ni kutaka potosha watu kuhusu CDM na kupinga kila kitu basi.Anchoweza fanya ni kuayongea hayo kwa maneno zaidi ya million+vitabu vingi+posting ndeefu nyingi sana.Ila ukimsubiri ktk point moja atarudi forever palepale ktk circle anayozunguka.

Ki ukweli sitaki wala sijajaribu mshawishi ktk masuala yahusuyo CDM ila nilitaka athibitishe claims zake,na theory zake.Nilitaka mshawishi ktk mambo yaliyoibuka ktk side discussions tuu.Nayo ni katika vionjo vinavyoweza bebwa katk maandiko.

Wala sijataka lazimisha mtu akiamini nikisemacho ila aamini misingi sahihi iliyopo ndani yake.Pia sipendi mtu nayekosoa for funny au just kw avile hataki kubali tuu.MMK ndiye ana fight to death kulinda self-esteem+maslahi yake kwa position aliyojijengea ya kuweza attack CDM kiholela.

Hembu tazama alichokua akijitetea nacho ."Kuwa hakuipenda CDM kwa umaarufu wake na wingi wa wafuasi" na sehemu nyingine akasema" Alianza taka isaidia CDM kwa vile ina potential(something) ya kuweza chukua madaraka ya nchi" .Nikamchomekea tofauti ya msingi ya hizo sababu ambazo zinanifanya nimwone kama ooprortunistic wengine.Hakuona hatari yake. Sasa huyu ana msimamo gani ambao anasimamia?mimi nina msimamo siwezi lazimishwa kitu kwa nguvu,kudeka,kebehi au kingine kisichokuwa na ushawishi wa hoja.Ndicho ninachotaka ajikaze kiume na kukifanya hapa.Sasa amekuwa vey volatile anakimbilia vitu vya nje ya mada na visivyopanua mawazi zaidi ya kutafuta loophole ya kususa,kudeka na mengine.
 
Nicholas na Mzee Mwanakijiji wana misimamo tofauti.Mzee Mwanakijiji tayari kashauweka wazi lakini Nicholas anaonekana haliziki nao. Kinachoendelea sasa ni vita ya kushawishiana na kurekebishana katika misimamo waliyonayo. Swali ni Je inawezekana kila unachokiamini kiaminiwe na kila mtu bila kukosolewa?

well, kwa jinsi nilivyomuona na kumsoma MMK humu ndani msimamo wake ni kutaka potosha watu kuhusu CDM na kupinga kila kitu basi.Anchoweza fanya ni kuyaongea mambo hayohayo kwa kubadili maneno zaidi ya million+vitabu vingi+posting ndeefu nyingi sana,ili yaonekane kuwa kweli.Ila ukimsubiri ktk point moja atarudi forever palepale ktk circle anayozunguka.

Ki ukweli sitaki wala sijajaribu mshawishi ktk masuala yahusuyo CDM ila nilitaka athibitishe claims zake,na theory zake.Nilitaka mshawishi ktk mambo yaliyoibuka ktk side discussions tuu.Nayo ni katika vionjo vinavyoweza bebwa katk maandiko.

Wala sijataka lazimisha mtu akiamini nikisemacho ila aamini misingi sahihi iliyopo ndani yake.Pia sipendi mtu nayekosoa for funny au just kw avile hataki kubali tuu.MMK ndiye ana fight to death kulinda self-esteem+maslahi yake kwa position aliyojijengea ya kuweza attack CDM kiholela.

Hembu tazama alichokua akijitetea nacho ."Kuwa hakuipenda CDM kwa umaarufu wake na wingi wa wafuasi" na sehemu nyingine akasema" Alianza taka isaidia CDM kwa vile ina potential(something) ya kuweza chukua madaraka ya nchi" .Nikamchomekea tofauti ya msingi ya hizo sababu ambazo zinanifanya nimwone kama ooprortunistic wengine.Hakuona hatari yake. Sasa huyu ana msimamo gani ambao anasimamia?mimi nina msimamo siwezi lazimishwa kitu kwa nguvu,kudeka,kebehi au kingine kisichokuwa na ushawishi wa hoja.Ndicho ninachotaka ajikaze kiume na kukifanya hapa.Sasa amekuwa vey volatile anakimbilia vitu vya nje ya mada na visivyopanua mawazi zaidi ya kutafuta loophole ya kususa,kudeka na mengine.
 
heshima kwako Kitila Mkumbo,

Nafikiri ninamuelewa sana Mzee Mwanakijiji, mimi pia nina mawazo kama yake, bottom line ni kuleta mabadiliko, CCM inabidi iondoke kwa sababu imeshindwa kuwa chombo cha kuleta hayo mabadiliko, na kama tutaipa nafasi CDM ni kwa sababu tunaamini kitaleta mabadiliko (sio suala la CCM itoke CDM itawale tu kwa sababu hatuipendi ccm na tunaipenda CDM, kama hakuna mabadiliko tunayoweza kuyaona leo kuna haja gani ya sisi kupigana kwa nguvu zote kuhakikisha CDM inachukua nchi? nikiazima lugha ya obama hiyo ni sketchy deal)

Tukilenga kuondoa kwanza CCM afu mengine yafuate tutakua tunafanya kosa la msingi, kama kosa la rais wetu ambaye alipigana miaka mingi ili afike magogoni, alidhani akifika mengine yatafuata, hadi leo hakuna kilichofuata na inajidhihirisha leo hakujiandaa kuwa rais ila alijiandaa tu kushinda uchaguzi .

MM anasema CDM ijiandae kutawala, siku tumekabidhiwa nchi tuwe na mipango, sasa mimi ni CDM kama walivyo wengine wengi humu, lakini tunajua mipango yetu ya 2010 kwa kiasi kikubwa ni ileile sasa, labda ni call nzuri kwamba tutathmini na tu-strategise upya kulingana na wakati, tusije tukawa tunatumia mbinu zilezile zilizoasisiwa na ccm.

hatuwezi kupita njia ileile ya ccm afu tunategemea kufika sehemu tofauti!

Basically changes ni core ya CDM ndio maana hata M4C ikaanza.Kwenye Bold MMK, pengine ukifuatia kwa makini ktk posting na uteteziwa MMK ni kwamba ushauri wake ni wa kuisaidia CDM kuingia madarakani otherwise watabakai kuwa wingi wa mashabiki na si kura.Kwa kiasi fulani mnatofautiana kwani wewe unaongelea after taking over,while yey anaongelea kabla kwa kupata backup ya ahadi za vitu wanatakavyofanya CDM.

Hapa panaibuka camp tofauti za thought.Wanaodhani kuwa CDM inahitaji panga kuanzia njia ya ushindi hadi kipindi cha uongozi in advance na wanaoona kuwa CDM inayo mipango na haihitaji itoa hadharani ili CCM ambao wapo disperate wasiibe na kuitumia,pia CDM wanahitaji panga kw akiasi fulani halafu mengine yaje pangwa kipindi cha kurekebisha system.Na hii ya pili ni ya kidemocrasia zaidi kwani kuna makundi mengi sana ambayo hadi sasa hivi hayana nafasi ya kushiriki katika ujenzi wa nchi.Na hii ni kwa vile CDM haipo ktk madaraka huku CCM si sikivu wala tendaji.

Mimi nipo kambi ya pili,na nilimpinga MMK ktk sababu zake kuwa CDM waweke miango yao kwa usalama wataifa, elimu ya juu na mengine.NIkamwambia taasisi zote hizo haziwezi wapa CDM full access ya informatiom wanazohitaji ili kupanga mambo bila kupitia njia za nyuma ya mgongo na si salama ku-expose.Tofauti ya Tanzania na marekani ni kwamba congressmen/women wana access ya information zote za nchi na hivyo vyama vyao pia kuwao na huo ufahamu.haya yapo ktk sheria na wadau wote wanawajibika kutunza hizo siri kwa kutotoa hadharani au hata kuwapati access watu watakaohatarisha usalama wa taifa na raia wao waliopo nje.

Unless CDm wanaingia madarakani na kutoka kuna vitu vingi hawatapewa ushirikiani na hizi taasisi.So hii inafanya hoja nyingi MMK kuwa hazina msingi na zinaweza mezwa na dhan ya kuindoa CCM ambayo itaondoka na maradhi ynayohusiana nayo ili raia wawe huru kuwajibka kujenga nchi.
 
Hebu tupanue mjadala kidogo: Je, ni muhimu kuiondoa CCM madarakani na maovu yake sasa hivi au muhimu kwanza ni kuiondoa CCM madarakani na mengine yatafuata baadaye? Kama lengo ni kuiondoa CCM madarakani na sio lazima kuondoa na maovu yake mara moja, then MMM is right. Otherwise, he is missing the point.

Mimi msimamo wangu siku zote ni wazi kabisa: cha muhimu kwa sasa hivi ni kuiondoa CCM madarakani. Kwa maneno mengine, madamu CCM ipo madarakani itakuwa vigumu kwa sisi kupiga hatua ya maana katika jambo lolote. Kuyaondoa maovu yote iliyoyazalisha inapaswa kuwa agenda ya muda mrefu kwa sababu ni jambo litakalochukua muda.

Kwa hiyo tunapaswa kuiangalia CDM kama jahazi la kutuvusha katika gharika
.

Hapo kwenye RED ndipo Mzee Mwanakijiji anasema haoni kama CDM imejipanga kuyaondoa maovu hayo. Anaona ni kama tumewekeza kwenye miakakati ya kuiondoa CCM madarakani bila kuwa na matumaini ya nini hasa kitafuata baada ya hapo.Labda sasa uondoe wasiwasi huo.
 
Mpango Mkakati huanza kwa GOAL huzaa OBJECTIVES ambazo huzaa STRATEGIES na badae ACTIVITIES na mwisho ni KPIs ambazo hutumiwa kupima kwa kiwango gani tumefika katika GOAL la msingi.

Sasa GOAL haiwezi kuwa kuiondoa CCM.

Nashukuru tunakubaliana core goal ya chandema ni mabadiliko, na ndiyo maana tuna M4C, kwa hili tunakubaliana kabisa.

sijui ni kipi tunaogopa ccm wanaweza kuiba na kukitumia, mfano; kuna mbunge kapeleka hoja binafsi ya mifuko ya jamii, lakini pia katupa lawama kwa mnyika kwamba anadandia hoja yake, why? mnyika aliongea kupitia vyombo vya habari kwamba anadhamiria kutable hoja binafsi kuhusu sheria ya mifuko ya jamii, sasa mwenzake anahisi mnyika atapata credit za kisiasa kwa sababu nae, sasa kama lengo ni hiyo sheria kufanyiwa kazi, wasiwasi wa huyu mbunge kwamba hoja yake inazamiwa inatoka wapi? naamini CDM hatuko kama huyu mbunge!
 
Ulimsoma huyu jamaa?
Hapa WOWOWO nipo na wewe 100%. kwenye red hapo political scientists wanaita cooptation, na inakubalika kabisa kisiasa, na kinachofanyika ni kujaribu kuvunja nguvu ya upinzani kwa kuiga mipango mikakati na mawazo yao yenye mashiko na kwasababu wao bado wananguvu ya miundombinu na rasilimali inakua rahisi kuhalalisha mbele ya umma kwamba ni initiative zao!! sio tu mawazo hata watu (i mean potential leaders) wanakua coopted!! that how system works...

Bado naamini cdm hawajafanya vibaya kwa kutumia precautious publicity tactic maana wanajua upande wa pili kuna njaa kubwa ya ideas na mipango!! na mfano ndio huo wa V4C!!!!

kiukweli vita ndio hii... kuendeleza mapambano ya kukosoa na kuonyesha dhahiri namna sera na mifumo ya upande wa pili zilivyoshindwa na zinavyodidimiza azimio la kuondoa umasikini, ujinga na maradhi kwa mtz!! while at the same time wakiconstruct a model yanamna watakavyoweza kubadili na kuleta maendeleo. (without disclosing the contents)

Hiyo ya Mnyika na Hoja ya mifuko ya hifadhi ya jamii,ilikuwa ni Kifo cha CCM walichojiandalia wenyewe sasa hivi imebdi waiteke ili warekebishe hali ya hewa.Na pengine kuitumia kuokoa kiasi fulani cha kura. Hii itawanyima CDM nafari ya kumbabiza CCM.

Hembu jiulize kama Chama cha upinzania kina kila kitu sawa na chama tawala change utahitaji za nini sasa?Na CCM watafanya huo usawa kwa kuchukua ya upinzani yote na kuyaweka kwake ili kuongezea yaliyo yao.Miwhso wa siku upinzania watakuwa na pungufu kwa vile hawatathubutu chukua ya CCM kwa vile wataumbuliwa nayo.Hiyo quote hapo juu inaonyesha jinsi cham atawala kinavyohaha kutafuta mapya ya wapinzani, na MMK yupo very busy kuyachimba,ndio maana analia sana,huku akiwa mwana CCM ila kajipa nafasi ya ushaurikwa CDM huku ni natural born critic.

Muda ukifika wa kutangaza yatatangazwa hadharani ili kila mtu ayasikie ,ayashike kama yanashikika,ayanuse ,kama yananusika,ayaone kama yanaonekana.

Kuitoa CCM ni kikwazo no 1 n ajukumu la kwanza, bila hiyo hayo mengine ni kama kuanza nunua vitu vya ndani katika nyumba bila hata kuwa na plot achilia mbali Nyumba.Uwezekano wa kufanikiwa pata nyumba unaweza kuwa haupo,au ukiwepo hivyo vitu vinaweza visifit ktk hiyo nyumba.Ni rahisi vifaa vya ndani kufuata aina ya nyumba kuliko nyumba kufuata vifaa vya ndani.
 
Hebu tupanue mjadala kidogo: Je, ni muhimu kuiondoa CCM madarakani na maovu yake sasa hivi au muhimu kwanza ni kuiondoa CCM madarakani na mengine yatafuata baadaye? Kama lengo ni kuiondoa CCM madarakani na sio lazima kuondoa na maovu yake mara moja, then MMM is right. Otherwise, he is missing the point.

Mimi msimamo wangu siku zote ni wazi kabisa: cha muhimu kwa sasa hivi ni kuiondoa CCM madarakani. Kwa maneno mengine, madamu CCM ipo madarakani itakuwa vigumu kwa sisi kupiga hatua ya maana katika jambo lolote. Kuyaondoa maovu yote iliyoyazalisha inapaswa kuwa agenda ya muda mrefu kwa sababu ni jambo litakalochukua muda.

Kwa hiyo tunapaswa kuiangalia CDM kama jahazi la kutuvusha katika gharika.
Mkuu Kitila Mkumbo, kwanza nakushukuru kujitokeza. Hakuna ubishi kuwa CCM imechokwa!. Ziko sababu ambazo zimaifanya CCM ichokwe. Kwa sasa hakuna ubishi kuwa Chadema inapendwa kwa sababu tuu CCM imechokwa!. Huku kupendwa tuu kwa Chadema kwa sababu CCM imechokwa, sio reasons enough za kuichagua Chadema 2015, bali Chadema inapaswa itupatie sababu za kuichagua besides zile za kuichoka CCM!.

Mimi sio mfuasi wa Chadema wala sio mfuasi wa Mzee Mwanakijiji, ila katika hili, nakubaliana na Mzee Mwakijiji kwa asilimia 100% kuwa lengo la Chadema kukabidhiwa Ikulu sio ili kuipumzisha CCM iliyochokwa bali Chadema lazima kwanza itueleze inataka kwenda Ikulu kufanya nini?!.

Hizi kauli zenu za kwanza CCM ipumzishwe, kitakachofuatia tutakijua baada ya CCM kupumzishwa hakutaifikisha Chadema popote na kuna hata uwezekano, ile 2015, Chadema ikashinda kweli lakini isikabidhiwe Ikulu kwa sababu bado haijajipanga kutuonyesha itafanya nini!.

Kwa sasa the wind of change is blowing across Tanzania kwenye very favorable direction towards Chadema, but CCM haijasimama still kusubiria its ultimate down falls, inafanya mambo na miongoni mwake ni bajeti ya Shilingi Bilioni 400 kluzigawa kama ruzuku kwa familia masikini zinazoishi for less than a $ a day. Mpango huu unaitwa "Safety Net Project". Kufikia 2015, daraja la Kikwete (Kigamboni) litakuwa in place!, barabara za juu na chini (fly overs) zitakuwepo!, kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2015, wanaweza kabisa kutangaza elimu bure na afya bure hata kama wanajua sii kweli, hivyo watakuja na preemptive measures za kuhakikisha wao wanacho cha kuonyesha, nyinyi Chadema kama hamna cha kusema mtafanya nini on the opposite direction, then you'll have nothing to offer!.

Nakuomba take time uusome uzi wa Mkuu Mchambuzi kuhusu CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 na uzi wangu huu,Kuelekea 2015: Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ... pamoja na huu Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM uone the games Chadema plays as if 2015 ni karne ijayo!.

P.
 
Pasco najua linapokuja suala la Sijui change najua huwa unasahau kuwa serious ,unawahi haraka ili ukamwokoe EL.Hapo umesema CCM imechokwa ila hujasema imechokwa kwa lipi?Mimi najua CCM sasa hivi si imechokwa tuu kwa kufany amambo hovyo,ila pia kwa kufanya uharibifu kwa makusudi.Sasa kama hii ndio issue watu wanaweza itoa ili uharibifu usiendelee bila hata kuitaka CDM iafanye cha ziada.Hii ni contrast with your nortion .

Hapo kwenye red ni kwamba unasema CCM inajiandaa kucheza mugabe style.Kama wananchi watawapa kura itakuweje tena wananchi hao hao waseme CDM hawajajiandaa bila kuwapa nafasi halafu au hata kupiga kura?Hapa Napata uhakika wa nilichokuwa nafikiri kuhusu CCM,kuwa watawajengea picture wananchi kuwa CDM haijajiandaa kama hiatileweka na kura kupigwa CDM wakashinda basi Wachukue kwa nguvu kwa madai kuwa CDM haijajiandaa.Sijui itakuweje?Au mtatafuta kundi la wanaitwa wananchi wawatoe CDM halafu watangaze kuwa wamewapa CCM?

Hayo mengine yanayojengwa kwa vile ni jukumu la CCM hawahitaji kupongenzwa.
 
Ugomvi unaoendelea kati ya Obama na Romney wanavyoshinda sasa ni kuhusiana na miaka minne ijayo. Romney hoja yake iko nyepesi tu kuwa sera za Obama za miaka minne iliyopita zimeshindwa. Anaonesha rekodi na kuweka ushahidi hadharani. Amejenga hoja kuwa Obama hastahili kuendelea na miaka minne mingine. Lakini haishii katika kutaka watu wamuondoe Obama anaeleza yeye na serikali yake watafanya nini. Amesema ana kile anachokiita "five point plan". Ana mipango ya elimu, nishati, kazi, n.k

KIna Obama upande wao wanataka kujua 'details' za mipango ya Obama na kwa kiasi wanajua na wanakosoa kwa kusema "ni sera zile zile zilizoliingiza taifa kwenye matatizo ambayo" Obama aliyakuta. Ni katika kupata details na kusema utafanya nini ndio wananchi (wapiga kura) wanajua kuwa hawampigii Obama kama Obama. Lakini vile vile kuna sera za msingi zinazojulikana za Republican na Democrat na hivyo watu wengine watapigia kura kwa sababu tayari wanajua tofauti za msingi za vyama hivyo viwili.

Kwa upande wetu kuiondoa CCM madarakani ni muhimu sana. Lakini haiishii katika kuiondoa tu madarakani. Tunaibadiisha na nini? Wengine wanasema haijalishi tunaibadilisha na nini, tuiondoe kwanza halafu tutajua mbele ya safari. Tuvunje daraja bovu ambalo bado watu wanatumia kupita bila kujua tutavuka vipi baadaye? Ni kweli tunafahamu ni lazima tulivunje na kuliondoa lakini tukiliondoa tunaweka nini badala yake? Wanasema "tuliondoe tu kwanza halafu tutajua baada ya kuliondoa".. Hii si hekima.

CDM haiitaji kufanya siri yale ambayo itakuja kuyafanya au ambayo inataka kuyafanya. Kuna yale ambayo ni ya msingi sana ambayo yanahitaji kujulikana na kila mpiga kura lakini vile vile ni muhimu kujulikana ili yakosolewe. Kwa wanaokumbuka hoja ya "kuondokana na nyumba za tembe" ilikuwa ni ajenda nzuri sana; lakini ikakosolewa vizuri na CCM japo bila mafanikio sana.

Kuwaambia watu kuwa tunataka tu tuiondoe CCM alimradi tunaiondoa halafu tutajua mbele ya safari tutakuwa tunafanya uchuuzi wa hatima ya taifa. Itakuwaje kama tukiondoa CCM na CDM ikaingia ikawa na matatizo zaidi? Si tulijifunza na Chiluba kule Zambia na ngwe ya kwanza ya Kibaki kule Kenya? Tusipodai zaidi tutapewa kidogo!
 
Tofauti ya wamarekani na Tanzania nilishaiweka wazi,wamarekani wajumbe wa congress wanapewa information za kutosha kabisha kabisa juu ya mambo muhimu ya nchi.Hapa Tanzania CCM pekee ndio iliwahi tawala na hivyo kutejenga mazingira ya wapinzani kuwa na inside info za kutosha kushape policies zao.Uliongelea usalama nikakuambia the best info CDM wanaweza pata ni kupitia njia ninazoweza sema ni wizi.Kamati ya bunge ya Ulinzi na usalama imeshikwa strategically na mtarajiwa wa Pasco.

Hizo outline na deatails CDM wanazo na wapo open kuziongeza au kubadili kadiri tafiti zao zinafanya kazi.Na haya yanaweza zinduliwa wakati wowote.BY the way ilani yao ya mwaka 2010 bado haijawa absolete.Pengine ungeanzia hapo then useme nini hakijapangwa na vipi raia watafikiri kama wewe.
Kwa upande wetu kuiondoa CCM madarakani ni muhimu sana. Lakini haiishii katika kuiondoa tu madarakani. Tunaibadiisha na nini? Wengine wanasema haijalishi tunaibadilisha na nini, tuiondoe kwanza halafu tutajua mbele ya safari. Tuvunje daraja bovu ambalo bado watu wanatumia kupita bila kujua tutavuka vipi baadaye? Ni kweli tunafahamu ni lazima tulivunje na kuliondoa lakini tukiliondoa tunaweka nini badala yake? Wanasema "tuliondoe tu kwanza halafu tutajua baada ya kuliondoa".. Hii si hekima.
teh teh..Mbona CDM waliainisha mengi sana ktk uchaguzi 2010.Na hakuna kauli rasmi kuwa wamegundua kuwa hayakuwa sahihi.yanayoongezeka mbona yatasemwa tuu muda unavyokaribia kipenga kupigwa.Well lets say wamekusikia.Can you say it in summary?
CDM haiitaji kufanya siri yale ambayo itakuja kuyafanya au ambayo inataka kuyafanya. Kuna yale ambayo ni ya msingi sana ambayo yanahitaji kujulikana na kila mpiga kura lakini vile vile ni muhimu kujulikana ili yakosolewe. Kwa wanaokumbuka hoja ya "kuondokana na nyumba za tembe" ilikuwa ni ajenda nzuri sana; lakini ikakosolewa vizuri na CCM japo bila mafanikio sana.

Ila muda wa kampeni haujafika na ilani hazijachapwa rasmi,Ikiwa leo Mnyika anakutana hili kwanini CDM yasiwakute kwa desperate CCM?
Kuwaambia watu kuwa tunataka tu tuiondoe CCM alimradi tunaiondoa halafu tutajua mbele ya safari tutakuwa tunafanya uchuuzi wa hatima ya taifa. Itakuwaje kama tukiondoa CCM na CDM ikaingia ikawa na matatizo zaidi? Si tulijifunza na Chiluba kule Zambia na ngwe ya kwanza ya Kibaki kule Kenya? Tusipodai zaidi tutapewa kidogo!
Hakuna aliyesema CCM inaondolewa ilimradi,CCM inaondolewa strategically kama vile minyoo inavyotolewa.Its not a funny game.Hakuna aliyesema kuwa mipango ya CDM kuhusu future ni blank,ila si issue muhimu kukomalia sasa hivi.Pia mimi kama raia ningependa CDM waacha space ya makundi mbalimbali ya jamii nchini na wananchi waweze jadiliana ni vipi nchi yao iendelezwe baada ya CCM.CDM watapaswa kuwa facilitator zaidi, wakiwa madictator na kujifanya "jack of all treads" kwa kunipangia kila kitu, hata kura yangu hawataipata.Pengine hapa ndio watu hawajapata concept ya democracy .Ni vipi CDM waje na suggestions zao na kutaka tuzitumie hizo tuu na si vinginevyo?

hakuna chama cha upinzani au wakombozi wa nchi wanaotoa chama tawala au dictator halafu wakaleta vitu vyao waliwahi fanikiwa.Wanachotakiwa ni kuandaa plan maalumu za kusaidia zoezi la kuwaleta pamoja wadau wote ili waamue ni jinsi gani wanaweza ongoza nchi yao.Kwa moyo huo ndio hata wataalamu au wawekezajai wa kitanzania waliokuwa wamelowea nje wanaweza itwa na kuulizwa ni vipi wanaweza toa mchango wao kwa nchi yao.Nao watatoa promosal baada ya wao pia kuuliza wenzao ni nini wanadhani wanahitaji fanyiwa na wenzao waliorudi.

Sasa ni mwendawazimu tuu ndio anayeweza taka specifics kwa kila kitu.Hata hao akina romney nao wanacheza tuu na akili za watu ktk mambo mengine ili kumanipulate public opinion il akuna vitu kwa kutumia busara tuu ni wazi havina uhasilia.Bush alifanya mabadiliko ktk taasisi za usalama na ujasusi baad aya sept 11, huku akitengeneza centre moja ili kuweza badilishana taarifa kwa haraka .Yote haya yalifanyika kwa vile mifumo iliyokuwepo haikuweza fany akazi kw aufanisi ktk kuhakikisha usalama wa marekani.KIla kitu katk mchi kinaweza jikuta kinahitaji dynamic restructuring and decision making na si hii pre-plenned procedures.

CDM watakuwa bora kama watajiandaa kutumiwa vyema na wananchi kujiletea maendeleo na si kuwatumia wananchi kuwapangia cha kufanya.Pia sera zao zinahitaji kuwa inclusive na zijengwe kwa mitazamo ya wananchi.Just mnavyopiga kelele kuw akatiba itengenezwe na wananchi na si wana siasa and sos and so.So sioni kwanini watu hawaelewi kuwa stage tuu pamoja na kuwa na mipangi kibao bado panahitaji space kwa wananchi na makundi mengine ya jamii kusaidia kuijenge nchi yao wenyewe.Nchi haijengwi na chama bali chama husaidia wananchi kujiletea maendeleo yao wenyewe.
 
.Wanachotakiwa ni kuandaa plan maalumu za kusaidia zoezi la kuwaleta pamoja wadau wote ili waamue ni jinsi gani wanaweza ongoza nchi yao.Kwa moyo huo ndio hata wataalamu au wawekezajai wa kitanzania waliokuwa wamelowea nje wanaweza itwa na kuulizwa ni vipi wanaweza toa mchango wao kwa nchi yao.Nao watatoa promosal baada ya wao pia kuuliza wenzao ni nini wanadhani wanahitaji fanyiwa na wenzao waliorudi.

Hapa unazungumzia kujipanga hasa. Sidhani kama unamaanisha kuwa hili lifanyike baada ya wao kuingia madarakani. Vizuri sana kuweza kufika hapo.

Sasa ni mwendawazimu tuu ndio anayeweza taka specifics kwa kila kitu.Hata hao akina romney nao wanacheza tuu na akili za watu ktk mambo mengine ili kumanipulate public opinion il akuna vitu kwa kutumia busara tuu ni wazi havina uhasilia.Bush alifanya mabadiliko ktk taasisi za usalama na ujasusi baad aya sept 11, huku akitengeneza centre moja ili kuweza badilishana taarifa kwa haraka .Yote haya yalifanyika kwa vile mifumo iliyokuwepo haikuweza fany akazi kw aufanisi ktk kuhakikisha usalama wa marekani.KIla kitu katk mchi kinaweza jikuta kinahitaji dynamic restructuring and decision making na si hii pre-plenned procedures.

Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinahitaji kujulikana; na hatusemi kila "kitu" kiwekwe wazi. Lakini kuna mambo ya msingi ambayo wapiga kura wanahitaji kujua. Kwa mfano suala la kodi ni suala la msingi sana; je kodi chini ya CDM itakuwaje? nani atalipa zaidi au kidogo, italipwa vipi, n.k; suala la elimu ni muhimu sana: je elimu itakuwaje, itakuwa ni mfumo huu huu bali kuuboresha tu? vipi kuhusu walimu, n.k? suala la usalama siyo linalohitaji baadaye. Je jeshi la polisi chini ya CDM litakuwa hivi hivi? usalama wa taifa je?

Je kuna vitu ambavyo tayari tunajua havifanyi kazi (broken system)? NI vitu gani hivi na tutavibadilisha na kitu gani? Umetumia mfano mzuri sana wa George Bush; lakini Bush alilazimika kufanya hivyo baada ya tukio; je na sisi tunasubiri tukio au matukio gani? Kwa mfano, tayari tunajua ufisadi ulivyo je tutakabiliana nao vipi? Tutaenddlea na TAKUKURU hiihii?

Suala uliloliema hapo juu kwangu ni la msingi sana na natamani ulirudie tena na tena. CDM inahitaji kuanza mapemza zaidi kukusanya wadau mbalimbali kuweza kubadilishana mawazo na kufanya brain storming. Kwa mfano -utanisahihisha kama siko sahihi - CDM imewahi kukaa na wadau wa sekta ya elimu na kuweza kubadilishana mawazo ili kuupdate sera ya CDM ya elimu? Vipi kwenye sekta ya afya? Hata kwenye suala la nishati; ukiondoa kauli za individual leaders hadi hivi sasa hatujasikia (sisemi kama haijafanyika inaweza kuwa imefanyika) CDM imeandaa warsha au kongamano la wanachama wake na wadau wengine kupitia sekta ya nishati ili hatimaye iweze kujenga sera mpya inayoendana na hali halisi ya sasa.

Badala ya kufanya tulivyofanya 2010 ambapo kikundi cha watu wachache sana ndicho kilichoandaa ilani itakuwa vizuri kama safari ijayo mchakato uanze mapema sana. Ikumbukwe kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni 2014;huu ni 2012 mwishoni, mwaka 2013 kuna uchaguzi mkuu wa CDM na miezi mitatu mingine ya Bunge na mambo mengine. Je kutakuwepo na muda wa kujipanga kihivyo? Tayari tumeona distractions za kugombea urais; itakuwaje kwenye kugombea nafasi za uongozi wa chama?
 
Hapa unazungumzia kujipanga hasa. Sidhani kama unamaanisha kuwa hili lifanyike baada ya wao kuingia madarakani. Vizuri sana kuweza kufika hapo.
Simaanishi kuwa hawajajipanga,ila kujipanga is an ogoing exercise.Si sitegemei kuishia ktk kampeni.Kwani reality itakutwa katk hizo wizara,taasisi husika mabzo CCM wapo tayari kufa kuliko kuachia uovu ufichulike.
Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinahitaji kujulikana; na hatusemi kila "kitu" kiwekwe wazi. Lakini kuna mambo ya msingi ambayo wapiga kura wanahitaji kujua. Kwa mfano suala la kodi ni suala la msingi sana; je kodi chini ya CDM itakuwaje? nani atalipa zaidi au kidogo, italipwa vipi, n.k; suala la elimu ni muhimu sana: je elimu itakuwaje, itakuwa ni mfumo huu huu bali kuuboresha tu? vipi kuhusu walimu, n.k? suala la usalama siyo linalohitaji baadaye. Je jeshi la polisi chini ya CDM litakuwa hivi hivi? usalama wa taifa je?
Elimu wamejitahidi weka mjumbe Suzan Lymo, uchumi wamemweka Zitto, kwingine pia ila uongozi kamili usalama imekuwa taabu kupata uongozi na hivyo kufanya iwe ngumu zaidi.hayo mambo ya msingi sidhani kama kuna ushahidi kuwa CDM hawajaweka mipango.Pia ukumbuke kuna mambo CDM wanahitaji shika dola kwanza na kujipanga ni jinsi gani watatoboa mikataba ambayo CCM wanawahi kuiweka kama akina ponda walivyokuwa wakiwahi choma makanisa ili pasitokee suluhu kabla ya uharibifu.Hii mikataba kuivunja ni ngumu sana.Inaweza kuwa mikataba ina kinga kabisa ya kodi yoyote mpya.Sijui na haya unataka majibu?
Je kuna vitu ambavyo tayari tunajua havifanyi kazi (broken system)? NI vitu gani hivi na tutavibadilisha na kitu gani? Umetumia mfano mzuri sana wa George Bush; lakini Bush alilazimika kufanya hivyo baada ya tukio; je na sisi tunasubiri tukio au matukio gani? Kwa mfano, tayari tunajua ufisadi ulivyo je tutakabiliana nao vipi? Tutaenddlea na TAKUKURU hiihii?
Obviously hata yule raisi wamistri kuna vitu hakuahidi na vingine aliahidi ila kashindwa vitekeleza alipona reality ya international apolitics ikiwa na mauhusiano ya siasa za ndani.
Suala uliloliema hapo juu kwangu ni la msingi sana na natamani ulirudie tena na tena. CDM inahitaji kuanza mapemza zaidi kukusanya wadau mbalimbali kuweza kubadilishana mawazo na kufanya brain storming. Kwa mfano -utanisahihisha kama siko sahihi - CDM imewahi kukaa na wadau wa sekta ya elimu na kuweza kubadilishana mawazo ili kuupdate sera ya CDM ya elimu? Vipi kwenye sekta ya afya? Hata kwenye suala la nishati; ukiondoa kauli za individual leaders hadi hivi sasa hatujasikia (sisemi kama haijafanyika inaweza kuwa imefanyika) CDM imeandaa warsha au kongamano la wanachama wake na wadau wengine kupitia sekta ya nishati ili hatimaye iweze kujenga sera mpya inayoendana na hali halisi ya sasa.
Elimu na afya zinajulikana angalau ktk outline za majukwaani,nishati na madini wameweka wazi kuwa ndizo zitakuwa fuel ya kujenga uchumi huru.Sasa deatils watafanya wataalamu muda husika na kutegemea CCM watakuwa wamebakisha nini?Sasa kama sehemu zote zinazochimbika zimeuswa kw amikata migumu na ya muda mrefu unadhani policy gani itasaidia?ndio maana nakuambia kuna vitu vinahitaji kupgwa kwa jinsi vitakavyokutwa CCM wakiw awameondoka.
Badala ya kufanya tulivyofanya 2010 ambapo kikundi cha watu wachache sana ndicho kilichoandaa ilani itakuwa vizuri kama safari ijayo mchakato uanze mapema sana. Ikumbukwe kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni 2014;huu ni 2012 mwishoni, mwaka 2013 kuna uchaguzi mkuu wa CDM na miezi mitatu mingine ya Bunge na mambo mengine. Je kutakuwepo na muda wa kujipanga kihivyo? Tayari tumeona distractions za kugombea urais; itakuwaje kwenye kugombea nafasi za uongozi wa chama?
kwanza naomba urekebishe ktk bold TU.Sidhani kama wewe ni mwana CDM.Kikukweli mashlf ya CDM yana mipango yao imeainishwa vyema kabisa.NI siku tuu za kuyafungua na kuwapa watu zinasubriwa.Hadi sasa wanaccm wanafanya megi tuu ya CDM na si kazi ya CDM kuimprove life ya CCM bali ya watanzania.Nowdays hata majukwani au ktk midahalo ya kwenye TV,akina Nape huenda kuongoea kitakachoongelewa huko,mara nyingi vyao huficha kwa vile wanajua bi aibu tupu.Baada ya discussion kidogo huwa wanaamia ktk mitazamo ya wana mdahalo.Wacheki vizuri akina Nape,Tambwe Hiza, na wengine utaniambia ni vipi ccm wanavochukua chohcote kinachowasaidi ili mradi maisha yaende.Sasa kuwapa kila kitu halafu utegemee watanzania waje kusikiliza ni kutafuta kuwchosha kama si kuzomewa jukwaa wakati huo CCM wakisema hakuna jipya.
 
Nicholas, unafikiri ni muda gani muafaka ambapo CDM inatakiwa iwe imejiandaa kushinda uchaguzi ujao? Yaani, kuupdate sera zake ili baadaye waandae Ilani ya uchaguzi? Unafikiri muda mzuri ni ule wa mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2015, au mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2014? au mwaka wa uchaguzi mkuu wa chama 2013?
 
.................Sidhani kama unafanya makusudi,i hope that is not the case.Kwasababu wewe ni hazina ambayo wanasiasa wanaweza wakaitumia vyema kama wakitaka na kukushirikisha....................

Mheshimiwa Mwanakijiji Salaam, najua wewe ni mwelewa bila shaka utayachukulia mawazo na hoja za jmushi1 positively kama ushauri muhimu. Binafsi naamini amegusia maeneo mengi ambayo wachunguzi wengi tunaona unahitaji kuyaboresha. Michango yako ni muhimu sana lakini ni kweli kwamba kama binadam kila siku tunaendelea kujifunza. Kwa mf. katika baadhi ya mijadala yako kuna sehemu wakati mwingine unateleza kidogo na kuuliza maswali mengine ambayo naweza kuyafananisha sawa na kumuuliza mwanao aliyeko darasa la sita swali kama 'wewe unaagaika na kukesha unasoma nini, unafikiri ndo utaweza kufaulu mtihani uliomshinda kaka yako?'
 
MMK, siku zote nakwambia fimbo ya mbali..... na mbuzi hula ....., 2010 ulikuja na mikakati mingi mizuri na jinsi ya kushinda cdm, na kwa kuwa hautaki kuziacha bagger, america ndiyo imekuwa kwenu, umekuwa mithili ya mchungaji anavyogombanisha mafahari wa ng'ombe, MMk vita unapigana ukiwa mbali na adui, eti unawaogopa magamba, rudi nyumbani kaka, mjomba, dada, mama yako bibi yako ... na wale binamu zako wanakuitaji uje uwakomboe, acha kufikiri kinyumenyume kaka , njoo tuikomboe inchi yetu, ww endelea kukaa nyuma ya keyboard, be a GT my brother, wenzanko tumeanza.
 
MMK, siku zote nakwambia fimbo ya mbali..... na mbuzi hula ....., 2010 ulikuja na mikakati mingi mizuri na jinsi ya kushinda cdm, na kwa kuwa hautaki kuziacha bagger, america ndiyo imekuwa kwenu, umekuwa mithili ya mchungaji anavyogombanisha mafahari wa ng'ombe, MMk vita unapigana ukiwa mbali na adui, eti wanawaogopa magamba, rudi nyumbani kaka, mjomba, dada, mama yako bi ... na wale binamu zako wanakuitaji uje uwakomboe, njoo tuikomboe inchi yetu, ww endelea kukaa nyuma ya keyboard, be a GT my brother

Mbona mpo wengi tu nyumbani na mnatosha kwani lazima kila aliyeko nje aje nyumbani; labda mchango wangu unaishia kwenye keyboard. Wengine mchango wao kwenye majukwaa, na wengine vinginevyo; au unaamini naweza kutoa mchango zaidi ya huu nikija nyumbani kuliko walioko nyumbani?
 
Wa nyumbani tupo na humo hatuthubutu kutia mguu!. Yule jamaa yetu aliyerudi na kupigwa chini mwanzo mwisho, kutawatisha baadhi yenu!. Kwa vile tunatofautiana uwezo kati ya mtu na mtu, usiishie kusema waliopo wanatosha, tusiwategemee waliopo peke yao!, kama waliopo wenyewe wengine ni wa type yangu, ambao always standing on the fance, huo ushindi 205 utapatikanaje?.

Njoo uwasidie kusimamia kitengo chao cha habari!, kwa maoni yangu, nadhani jamaa waliopo pale, hicho wanachokifanya ndicho the best they can do and "a man can do no more than what he can!".
Tia timu!,
P.
 
Njoo uwasidie kusimamia kitengo chao cha habari!, kwa maoni yangu, nadhani jamaa waliopo pale, hicho wanachokifanya ndicho the best they can do and "a man can do no more that what he can!".
Tia timu!,
P.

Mbona wanaweza kupata wengi tu wana habari ambao wanaweza kuwasaidia? Miye mchango wangu ndio huu huu. Sipendi siasa kihivyo.
 
Back
Top Bottom