Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,739
- 76,374
Wote sita walikuwa sehemu moja? Then wote wakampigia salute huyo mmoja aliekuja? Au mmoja tu aliwatuliza wenzake na kumpigia salute huyo aliekuja?? Fafanua hapaHapo Ni seniority imehusika
Usikute huyo major msira amemkuta mbuge kwenye u major so hata Kama Kama Wana rank sawa still atapiga salute kwa mbuge yaani Ni mkubwa wake
Ndio maana kapewa amri na doso juu .[emoji1787]
Nilikuwa kuwa kambi fulani hivi kuna maluteni sita .
Sasa alikuja jamaa mmoja mfupi hivi nae Ni luteni halafu Ni MP
Nikashangaa jamaa wote sita wanapiga salute kwa luteni mgeni kuja kuchunguza nikabaini jamaa alitangulia kupewa nyota
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]