Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,506
- 7,472
Vyovyote vile potelea pote au sioMimi ambaye nahitaji afya tu, hata sungusungu akipanda kuwa Jenerali watajuana wenyewe hainipunguzii chochote
[emoji23]
Vyovyote vile potelea pote au sioMimi ambaye nahitaji afya tu, hata sungusungu akipanda kuwa Jenerali watajuana wenyewe hainipunguzii chochote
Makosa yaliyofanywa na mataifa likaja kubumburuka vita ya pili ya duniasasa kama cheo ni stahiki ya mtu unadhani kuna watu wangapi wana sifa ya kuwa ma lut gen???
mkuu jeshi sio taasisi za katibu mkuu hizo kwamb ni lazima upande cheo,jeshi ni nidhamu wakati wote ndipo utapanda tofuti na wengine.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
mwanajeshi mzalendo anajua cheo ni zawadi,sio vinginevyo.Makosa yaliyofanywa na mataifa likaja kubumburuka vita ya pili ya dunia
Wafaransa,Waitaliano na Warusi walitanguliza siasa vyeo jeshini wakawa wanagawa kwa wanajeshi wanaounga mkono chama badala ya wale wanaostahili i.e experience,successes vita vikaja wakaprove incompetent wakayavaa
Huyu jiwe anaabudiwa sanamwanajeshi mzalendo anajua cheo ni zawadi,sio vinginevyo.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
[emoji23]Mimi mlima mahindi na mpunga tu, hata mgambo akipanda na kuwa brigedia hata hainipunguzii kero za kilimo. Wajuzi wa ranks za kijeshi na promotion wakuje hapa wakusaidie.
nyinyi hamuishiwi chorus,hii nchi hata ingekutana na Yesu pale ikulu bado watu wangelaumu Yesu ana majibu mafupi mafupi.Huyu jiwe anaabudiwa sana
Mgambo anaweza kuwa brigedia hahahah na rais akasifiwa kwa kumpandisha cheo hahahahhahahahahnyinyi hamuishiwi chorus,hii nchi hata ingekutana na Yesu pale ikulu bado watu wangelaumu Yesu ana majibu mafupi mafupi.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
KUNA GERAL ELECTION THIS YEAR....NAOMBA UNISOME SIFUNGUKI ZAIDI.Kupanda kwa mkubwa wa karanga karanga leo kutoka ubrigedia hadi meja jenerali ndani ya miezi aisee nimepigwa na bumbuazi
Anyway katika taaluma ya kijeshi cheo mtu hapandi haraka haraka au kurushwa kwa kigezo cha uwezo au umahiri peke yake bali kuna kitu experience (service)
Wanaohusika kushauri hilo sidhani kama wameshauri (CDF nadhani), ngazi za kijeshi (ranks) zina heshima na mantiki yake kwa kila ngazi
Makakala pamoja na umahiri wake na kipaji mpaka anastaafu hakurushwa rushwa kutoka rank moja kwenda nyingine kwa miezi
Kama mtu analijua jeshi basi atakubaliana nami kuwa katika Merit jeshini maafisa wanafanana tu hawajapigana gap na ndio maana promotion mpaka wakati wa JK zilikuwa zimebase kwenye seniority sababu kwenye merit maafisa hawajapigana gap bali wako wote sawa tu by majority
Sasa unashangaa nini wakati hata Fidel Castro watu humwita Field Marshall wakati ni mwanamapinduzi na hajawahi kuwa mwanajeshi! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Mgambo anaweza kuwa brigedia hahahah na rais akasifiwa kwa kumpandisha cheo hahahahhahahahah
hujui mamlaka ya rais mkuu,au unajisahaulisha.Mgambo anaweza kuwa brigedia hahahah na rais akasifiwa kwa kumpandisha cheo hahahahhahahahah
[emoji23]Sasa unashangaa nini wakati hata Fidel Castro watu humwita Field Marshall wakati ni mwanamapinduzi na hajawahi kuwa mwanajeshi! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
na usifunguke sana maana utaharibu zaidi.KUNA GERAL ELECTION THIS YEAR....NAOMBA UNISOME SIFUNGUKI ZAIDI.
ILA JESHI LETU NI JESHI LA WANANCHI NDIVYO LINAVYOITWA.
ONLY OBJECTIVE INSTITUTE .
NDIO TEGEMEO MAMBO YANAPOENDA TENGE, HALINA BEI WALA .
WACHA BUNGE LIVUNJWE SIKU KADHAA ZIJAZO, TUONE RANGI HALISI.
BUNGE KIBINDONI,MAHAKAMA KIBINDONI.
JESHI LA WANAINCHI LINABAKI LA WANANCHI.
CHOMBO PEKEE CHA KUSIMAMA OBJECTIVE KWA MASLAHI YA NCHI WAKATI UKIFIKA NA INAPOBIDI.
[emoji16][emoji16]mkuu kijeshi hata rais ni cheo cha kijeshi,japo anaweza asiwe anajua hata mgui sawa ni nini.usilewe tafadhali.[emoji23]
Dola kongwe duniani kote kwa sasa na lenye utamaduni wa kidola wa kueleweka ni Uingereza ukiona taifa halifuati utamaduni wa Muingereza litoe kwenye viwango
Sirro yuko sahihi watu kupanda vyeo kirahisi rahisi mara ya mwisho kwa Ernest Manguhujui mamlaka ya rais mkuu,au unajisahaulisha.
kiongozi ambaye anatoa amri jeshi liingie vitani au litoke,anakosa nguvu vipi kwa manajeshi mmoja mmoja????
hauko mbali kuuliza mbuge amepigan vita gani[emoji847][emoji847]
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
mkuu kadri unavyozidi kwenda juu ndio njia inazidi kuwa nyembamba zaidi.hata wao wanajua kabisa pale walipo wana bahati mno wala sio tatizoSirro yuko sahihi watu kupanda vyeo kirahisi rahisi mara ya mwisho kwa Ernest Mangu
Murilo,Hamduni wanasota miaka kama sio sita hivi kwenye u'ACP'
Angebaki Mangu kungekuwa kumejaa makamishna CP kama wote pale makao makuu ya PT leo hii kina shana wangekuwa kwenye SACP kama sio DCP now
Jeshi ni serikali,wizara ni serikali yani mlipajinni mmoja hazina hivyo mshahara ni mmoja tu ila marupurupu anachukua koteMimi naomba kujua kuhusu MASLAHI yao. Ina maana wanakula mishahara Mara mbili?? Kwa maana ya mshahara wa jeshini na wizara?? Naomba wajuvi mnijuze
4 star generalGeneral Collin Powell alikua 5 stars au nakosea
Niliwahi sikia iko hiviMaoni yako hayana ukweli kabisa; Vyeo vya kijeshi kuanzaia Second Lieutenant hadi Lieutenant Colonel huenda kwa ngazi kwa vile kila cvheo kina kozi yake, lakini kuanzai Colonel na kuendelea, yaani wale wenye godgets nyekundu kwenye collar, hawana kozi ya cheo bali kisheria ni Uamuzi wa Amiri jeshi tu, ingawa kwa jumla anaweza kuwa amashauriwa na uongozi wa juu wa Jeshi. Mifano ya namna hiyo imetokea mingi sana hapa Tanzania, siyo leo mingine ni tangua uasisis wa taifa hili. Nyerere alimpandishs Sarakikya kutoka cpteni kuwa Brigedier, Nyerere alimpandisha Twalipo kutoka Luteni Kanali kuwa Luteni General, huku jeshi halina hata Major General mmoja zaidi ya Sarakikya. Marehemu Nsa kaisi alipanda cheo kutoka Cadet kuwa Kanali, Moses Nnaye alipanda Cheo kutoka cadet Kuwa Kanali
Hapo Ni seniority imehusikaKuna jamaa anaitwa Major Msira wakat huo walikuwa rank sawa but madaraka tofaut.... huyo major bhana alipigwa KZ gurd getin ...main entrance ya kikosini two weeks, Mbuge alikuwa anamkubali RSM tu pale wengne ni mwendo wa drill dakika 45 na KZ deadly, watu walikuwa na nidhamu ya juu kupita kiasi.
Pale juu huwa tunasema ni triangle [emoji832]juu ni nyembamba chini pana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]mkuu kadri unavyozidi kwenda juu ndio njia inazidi kuwa nyembamba zaidi.hata wao wanajua kabisa pale walipo wana bahati mno wala sio tatizo
tena afadhali polisi maana uwanja ni mpana kidogo ukitokea kwa IGP.ila jeshini ni tight sio mchezo.rais ataonekana mbaya tu hata angefanyaje.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app