Promotion za leo jeshini zimenistua

Promotion za leo jeshini zimenistua

Maoni yako hayana ukweli kabisa; Vyeo vya kijeshi kuanzia Second Lieutenant hadi Lieutenant Colonel huenda kwa ngazi kwa vile kila cheo kina kozi yake, lakini kuanzia Colonel na kuendelea, yaani wale wenye godgets nyekundu kwenye collar, hawana kozi ya cheo bali kisheria ni Uamuzi wa Amiri jeshi tu, ingawa kwa jumla anaweza kuwa ameshauriwa na uongozi wa juu wa Jeshi. Mifano ya namna hiyo imetokea mingi sana hapa Tanzania, siyo leo mingine ni tangu uasisis wa taifa hili. Nyerere alimpandisha Sarakikya kutoka capteni kuwa Brigadier, Nyerere alimpandisha Twalipo kutoka Luteni Kanali kuwa Luteni General, huku jeshi halina hata Major General mmoja zaidi ya Sarakikya. Marehemu Nsa Kaisi alipanda cheo kutoka Cadet kuwa Kanali, Moses Nnaye alipanda Cheo kutoka Cadet Kuwa Kanali
bora umesaidia maana watu wanaona kuwa ni kitu kipya
 
Back
Top Bottom