Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Wewe nawe ni wa kuangaliwa, nadhani ni misogynist mwingine kama Robert Heriel ,nimeku mark nitaangalia michango yako,najua kama ni mmojawapo mada za wanawake nitakukuta tu umejaza utumbo wako.

Ukishakuwa tapeli ukishtukiwa lazima upige makelele.
Ulaji wenu upo hatarini mnapiga mayowe.

Wenye ndoa zao na wenye uhakika na ndoa wapo kimya.
Ninyi msio na vigezo ndio mnarukaruka.😀😀

Wewe kama unasifa utaolewa, kinachopingwa ni Utapeli wa wengi wenu
 
Mkuu huyu demu yupo depressed so achana naye so achana naye huyo bitch
Ukishakuwa tapeli ukishtukiwa lazima upige makelele.
Ulaji wenu upo hatarini mnapiga mayowe.

Wenye ndoa zao na wenye uhakika na ndoa wapo kimya.
Ninyi mail na vigezo ndio mnarukaruka.😀😀

Wewe kama unasifa utaolewa, kinachopingwa ni Utapeli wa wengi wenu
 
Ukishakuwa tapeli ukishtukiwa lazima upige makelele.
Ulaji wenu upo hatarini mnapiga mayowe.

Wenye ndoa zao na wenye uhakika na ndoa wapo kimya.
Ninyi mail na vigezo ndio mnarukaruka.😀😀

Wewe kama unasifa utaolewa, kinachopingwa ni Utapeli wa wengi wenu
Sikiliza wewe fala umeshindwa kushtukia kama mkeo ni pretender ndio mambo mengine utaweza kushtukia??!

Naona unanichimba kwa matusi ujue mimi ni nani,nishakusoma nikakudharau!
 
Kwani si tulishakubaliana kataa ndoa wote ni mashoga

Mwanaume halisi huwezi ukakaa unapiga kelele "kataa ndoa" tena unamwambia mwanaume mwenzio unamaanisha nini!!!
Mashoga ni nyie mnaoingia kichwakichwa kwenye ndoa then mwisho wa siku mnaishia kulialia kwenye mitandao!
Ndoa nikwaajili ya mwanamke na mwanaume asiyejiamini.
#KATAANDOA
 
Sikiliza wewe fala umeshindwa kushtukia kama mkeo ni pretender ndio mambo mengine utaweza kushtukia??!

Naona unanichimba kwa matusi ujue mimi ni nani,nishakusoma nikakudharau!

Sasa Mimi ukintukana unafikiri nitajali😂😂

Unafikiri kila Mwanamke anamambo mengi na pretender kama walivyo makahaba?😀😀

Wewe kama umezoea ulaghai unadhani wakina Sophy wapo kama wewe?
 
Kama hujali tuendelee kutukanana maana ndicho kilichobaki.

Umesema mwenyewe hujui kama mkeo ana pretend ama not, that is to say hujui pia kama mkeo ni kahaba ama not.

Usitake kunigombanisha na huyo Sophy.
 
Mimi sikutukani. Ila sijakukataza kunitukana ikiwa ndio unapata relief.

Sophy ni MKE wangu ndio maana ninakushangaa😂😂
Sophy Hana muda wa kugombana na watu asiowafahamu.

Utatukana Wanawake wenzako humu , Sisi tunakutazama tuu.

Ninakushauri, changia ukiwa umetulia. Usiwe na hasira, wengi humu huwajui, na hawakujui sasa hasira za nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom