Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,409
- 2,254
- Thread starter
- #81
Huyo anayechukia wanawake ndio anakuongoza,be smart!sina haja ya kufafanua tena, mkuu Robert Heriel kishafafanua sana huko juu
Huyo anayechukia wanawake ndio anakuongoza,be smart!sina haja ya kufafanua tena, mkuu Robert Heriel kishafafanua sana huko juu
anaongea ukweli ndiyo maana mnamchukia, Robert anapiga panapoumaHuyo anayechukia wanawake ndio anakuongoza,be smart!
Paragraph ya mwisho inadhihirisha stress zilizojaa kwenye vifua vya waliokosa wa kuwaoa.
Mwamba uko vizuri comments zako zinaishi naziko real,ndoa kwa mwanamke imekua ni ajira kabisa yaani,nikama mwanamke anafadhiliwa chakushangaza akishaolewa anakwenda kumgasi hadi mfadhili wake(mme) anataka sasa amiliki mali za mfadhili wake ziwe zake kwakisingizo cha ndoa nawatoto ,mwenye nyumba(mme)anageuka kama mlowezi au mhamiaji haramu ndani ya nyumba aliyoijenga nakuianzisha yy mwenyewe kwa lengo zuri.furaha ya kunyonyana?
Vijana waendelee kukataa makupe kama ninyi, mnaingia ndoani kutafuta Ajira ya kulishwa na kuvishwa kama mifugo.
Wanawake wenye Akili hawahudumiwi, Ila wanafanya Maisha pamoja na waume zao. Ni wasaidizi wa waume zao sio wanyonyaji. Kwa kisingizio cha MKE SIJUI UPUUZI GANI.
Ukahaba ndio unaita Ndoa,
Yaani bila Pesa hakuna ndoa, bila Mahari hakuna Ndoa. Huoni hiyo ni biashara?
Wewe tafuta hiyo misukule mliozoea kuitumikisha iwahudumie.
Sisi tunaoa Wake Bora, wenye ubepari. Ili ule lazima ufanye kazi
W
Shida iko hapa....wengine wanat0mb@
Hapo kwenye issues na mama zao ndo pamebeba mengine yote.1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Amina mtumishi 🙏Ndio maana nikakuambia ukishakuwa Kupe unafikiri kila MTU ni Kupe kama wewe.
Kama anapretend atajua mwenyewe, Ila hiyo ndio formation,
Wanawake wanaopenda kuhudumiwa tuu kama maiti au midoli huzaa jamii ya Watu Maskini na wajinga WAJINGA,
Elimu ndogo ya Ndoa hamna, ukahaba ndio mnaita Ndoa,
Ndoa inajengwa na mume na MKE. Wote lazima mzalishe Mali.
Hata amri za Mungu zinaeleza kuwa MTU la,ima afanye kazi, haijataja Mwanaume pekee ndio afanye kazi.
Kuoa Wanawake mwenye mawazo Kama yako ni kupoteza muelekeo wa Maisha. Ndio maana Vijana wakishaoa wengi wanakufa mapema Kwa ujingaujinga.
Soma Sifa ya MKE Mwema, sio hao makupe unaowazungumzia(ikiwemo wewe mwenye mtazamo,
Anza na hii
Mithali 31:
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake;
Wala hali chakula cha uvivu.
Kisha maliza Hii yote
Mithali 31:
10Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?
Maana thamani yake yapita thamani ya marijani.
11Moyo wa mumewe humwamini,
Wala hatakosa kupata mapato.
12Humtendea mema wala si mabaya,
Siku zote za maisha yake.
13Hutafuta sufu na kitani;
Hufanya kazi yake kwa moyo wote.
14Afanana na merikebu za biashara;
Huleta chakula chake kutoka mbali.
15 Tena huamka, kabla usiku haujaisha;
Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula;
Na wajakazi wake sehemu zao.
16Huangalia shamba, akalinunua;
Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi;
Hutia mikono yake nguvu.
18Huona kama bidhaa yake ina faida;
Taa yake haizimiki usiku.
19Hutia mikono yake katika kusokota;
Na mikono yake huishika pia.
20Huwakunjulia maskini mikono yake;
Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake;
Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22Hujifanyia mazulia ya urembo;
Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23 Mume wake hujulikana malangoni;
Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24Hufanya nguo za kitani na kuziuza;
Huwapa wafanya biashara mishipi.
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake;
Anaucheka wakati ujao.
26Hufumbua kinywa chake kwa hekima,
Na sheria ya wema iko katika ulimi wake.
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake;
Wala hali chakula cha uvivu.
Vipi kuhusu wanawake wanaowalea wanaume marioo?Changu chako, chako chako huo utapeli hatuutaki
Kama maiti Tena😂Ndoa ya Mungu Mwanamke alikuwa msaidizi WA mwanaume, ndoa za kishetani zinazoendelea humu Duniani, Mwanamke anakuwa mnyonyaji WA wanaume. Lihudumiwe kila kitu kama maiti.
Na hapo hapo lifanye umalaya ulisamehe.
Hiyo ndoa au upuuzi
Huyo anayechukia wanawake ndio anakuongoza,be smart!
💯🤝Ndugu mjumbe, Mimi kama RAISI WA CHAMA LA WAKATAA NDOA TAIFA, naomba nikujibu kama ifuatavyo:-
1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...
YAP NINA MIAKA 33 (1990)
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..
HAPANA:-
Pasipo na maana ya kujisifia ila ....
NINA BIASHARA YENYE MTAJI WA MIL 42 na ajira yenye mshahara wa greater than 1.5Mil
Lakini pia ni mkulima mwenye Eka 57 za matunda na miti mbao.
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
HAPANA:-
Katika jambo nalosisitiza hata kwa watoto wangu ni "Share what you get"
Mungu amekupa baraka basi na wewe gawa.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
HAPAN:-
Mimi ni muomgeaji hasaa na napenda kukaa na watu na sanaa kuongelea mambo ya pesa.
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
HAPANA:
Sina mama na SIJAWAHI kumjua sanaaa.
RIP my mum.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
SIO KILA WAZO NDIO WAZO SAHIHI.
Nakala:-
Katibu Mkuu, dronedrake - Aione kwenye jalada
#YNWA
Kama unachoandika hapa ni cha ukweli nakuhakikisha unautafuta ukhanisi, huna muda mrefu utakuwa khanisi kamili huwezi kusimamishwa mboo tena.mara mwisho ku-sex ni Dec 2020, nadate na BabyCare
mpaka leo hii, ni mara 4 kwa siku, mchawi 5000 tu tena kila baada miezi 7 mpaka mwaka
Nonsense, eti kama anapretend atajua mwenyewe....moja inaonyesha hujali hata hio ndoa yako...sijui kwa nini watu wakusikilize wakati hata ndoa yako mwenyewe mkeo hujui kama ana pretend or not,,,,,,,,,,Ndio maana nikakuambia ukishakuwa Kupe unafikiri kila MTU ni Kupe kama wewe.
Kama anapretend atajua mwenyewe, Ila hiyo ndio formation,
Wanawake wanaopenda kuhudumiwa tuu kama maiti au midoli huzaa jamii ya Watu Maskini na wajinga WAJINGA,
Elimu ndogo ya Ndoa hamna, ukahaba ndio mnaita Ndoa,
Ndoa inajengwa na mume na MKE. Wote lazima mzalishe Mali.
Hata amri za Mungu zinaeleza kuwa MTU la,ima afanye kazi, haijataja Mwanaume pekee ndio afanye kazi.
Kuoa Wanawake mwenye mawazo Kama yako ni kupoteza muelekeo wa Maisha. Ndio maana Vijana wakishaoa wengi wanakufa mapema Kwa ujingaujinga.
Soma Sifa ya MKE Mwema, sio hao makupe unaowazungumzia(ikiwemo wewe mwenye mtazamo,
Anza na hii
Mithali 31:
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake;
Wala hali chakula cha uvivu.
Kisha maliza Hii yote
Mithali 31:
10Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?
Maana thamani yake yapita thamani ya marijani.
11Moyo wa mumewe humwamini,
Wala hatakosa kupata mapato.
12Humtendea mema wala si mabaya,
Siku zote za maisha yake.
13Hutafuta sufu na kitani;
Hufanya kazi yake kwa moyo wote.
14Afanana na merikebu za biashara;
Huleta chakula chake kutoka mbali.
15 Tena huamka, kabla usiku haujaisha;
Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula;
Na wajakazi wake sehemu zao.
16Huangalia shamba, akalinunua;
Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi;
Hutia mikono yake nguvu.
18Huona kama bidhaa yake ina faida;
Taa yake haizimiki usiku.
19Hutia mikono yake katika kusokota;
Na mikono yake huishika pia.
20Huwakunjulia maskini mikono yake;
Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake;
Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22Hujifanyia mazulia ya urembo;
Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23 Mume wake hujulikana malangoni;
Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24Hufanya nguo za kitani na kuziuza;
Huwapa wafanya biashara mishipi.
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake;
Anaucheka wakati ujao.
26Hufumbua kinywa chake kwa hekima,
Na sheria ya wema iko katika ulimi wake.
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake;
Wala hali chakula cha uvivu.
😂😂😂Mtanivunja mbavu Sasa ngedere amefikaje hapa 😂Mimi sinachuki na MTU.
Kuwaambia ukweli mnaita chuki.
Ukiwa Mwanamke lazima uwe MKE kweli.
Tafuta ujuzi kama ni mwalimu, au Daktari, au mwanasheria, au MPISHI, au fundi Nguo, n.k.
Zalisha uchangie Pato la Familia.
Sio uwe Kupe nyonyaji, utake kuhudumiwa kama Maiti au Mdoli, huo ni uvivu na dalili ya ujinga.
MKE ni Msaidizi, unaolewa ili ufanye Maisha na Mumeo na sio Mumeo akuhudumie wewe kama NGEDERE WA maonyesho.
Kwani wewe sophy27 uko upande gani?Kama maiti Tena😂
Wengi mlioingia kwenye ndoa mmepanda cheo cha kutoka UASHERATI kabla hamjaoana kwenda kwenye UZINZI mnapochepuka kwenye ndoa zenuMoja ni kuanzisha familia na kuilea katika misingi iliyo bora.
Kuacha uasherati.
labdaNarudia tena punyeto unaleta ukhanisi,
kwangu mimi binafsi punyeto ni replacement ya mwanamke, daima milelehaiwezi kuwa replacement ya mwanamke never
Ndugu mjumbe, Mimi kama RAISI WA CHAMA LA WAKATAA NDOA TAIFA, naomba nikujibu kama ifuatavyo:-