Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

sidhani kama upo sahihi kwamba wakataa ndoa ni watu wadhaifu kama unavyoelezea sifa zao.. watu makini kama Stamina na Nikki wa pili sidhani kama na wao wanataka kusikia kitu kinachoitwa ndoa..

wakataa ndoa wengi aidha wametendwa, au wanawake zao wamewatumia kwa manufaa yao na kuwatema.

ila pia ukioa kuna hadhi flani unapata kutoka kwa jamii inayokuzunguka.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hawa akina Niki wote si wahuni tu. Najua utakuja hapa kua mbona ni mkuu wa wilaya. Ukumbuke kwenye serikali hii ya ccm. Wahuni ndo wanapendwa akina jokate
 
Mnhhhh wewe naona hatuelewani, kuhuduhumiwa inaendana na uwezo unahudumia unapoweza, kuwa financially unstable ndio mara nyingi ukakasi unapotokea kwenye kuhudumia, sasa hayo mengine utajua mwenyewe...
Sio nitajua mwenyewe ndugu mleta mada,kama mmeo unaehitaji akuhudumie ww kwakua uko obsessed na kuhudumiwa nakupewa huduma kama mtoto mchanga ,imetokea huyo mmeo(sponsor)unaeishi nae ndani amepatwa natatizo au janga kama ajali au kuugua kwa kipindi kirefu naww ndio pambo lanyumbani unaesubiria kuhudumiwa mtaishije au utakimbia ndoa maana unaemtegemea arekebishe majambozi ndio huyo anahitaji huduma yako sasa naww ndio kama hivyo hujiwezi kwalolote zaidi ya kusubiria kuhudumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broke guys wanakuja kupinga huu Uzi,
Karibuni kuchangia
Broke guys? Umeoa halafu unachapiwa. Nini maana ya kuoa?
Una neno gani la kuwaambia Stamina, Ney wamitego na Nick wa pili?
Mimi mwenyewe nishalala na wake za watu 2.

Nimeshashudia wanaume wawili wanalea watoto siyo wao. Mmoja analea mtoto mmoja akijua ni wa kwake. Wapili analea watoto 2 akijua ni wa kwakwe. Haya maamivu ni makali sana.

Na siku hizi wanawake wa watu wanalwalwa ovyo tu.
#Kataa ndoa #Ndoa ni utapeli
 
Nani aje na ID mpya kwa kumuogopa nani???? mimi nimesema profile la mkataa ndoa, wewe kama unafall kwenye hilo profile kaa kwa kutulia.
Naona imekuuma sana na ujumbe wa #kataa ndoa # ndoa ni utapeli
Una neno gani la kuwaambia Niki wa pili, ney wa mitego na stamina?
 
Sio nitajua mwenyewe ndugu mleta mada,kama mmeo unaehitaji akuhudumie ww kwakua uko obsessed na kuhudumiwa nakupewa huduma kama mtoto mchanga ,imetokea huyo mmeo(sponsor)unaeishi nae ndani amepatwa natatizo au janga kama ajali au kuugua kwa kipindi kirefu naww ndio pambo lanyumbani unaesubiria kuhudumiwa mtaishije au utakimbia ndoa maana unaemtegemea arekebishe majambozi ndio huyo anahitaji huduma yako sasa naww ndio kama hivyo hujiwezi kwalolote zaidi ya kusubiria kuhudumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sema unataka tu tutukanane(which I’m ready)

Kumhudumia mkeo sijasema ndio asifanye chochote
 
Naona imekuuma sana na ujumbe wa #kataa ndoa # ndoa ni utapeli
Una neno gani la kuwaambia Niki wa pili, ney wa mitego na stamina?
Una neno gani la kusema kwa watu wengi wenye ndoa zao nzuri tu ambao ni wengi...au hao watu watatu ni kati ya wangapi wenye ndoa nzuri?
 
Unasikiaga kashfa za mapadri kuvilawiti vivulana?

Huna padre unayemjuwa ambaye amezaa na mwanamke Kwa siri?

Hata Dr Slaa humjuwi?
Msimamo ni KATAA NDOA sio kukataa kuwa na mtoto/watoto.

Ishu ya kashfa ulizosema pia kuna wanandoa ambao wana hizo kashfa.

Usichanganye.mambo Mkuu
 
Then kunakuwa hakuna huduma mbona hilo linaeleweka.......sio wewe mkamilifu halafu unajishaulisha....

Sasa kama hakuna huduma mnaishije sasa manaa maisha inabidi yaende, naww unadai wanaume walio financially stable nahuo ustable siunatokana nakufanya kazi au !!ww dada unachangamoto sana,unajifanya huelewi lkn hoja za wazee wakataa ndoa zinamashiko kama ndoa ipo kwa mktadha wako wa mwanume kumhudumia mwanamke ili afurahie maisja ktk ndoa,huo ni unyonyaji lama unyonyaji mwingine.

Haiwezekani mwanamke umeolewa usiwe nachakungia kiuchumi ukamtegema mmeo ambae nae anaweza kupata changamoto zaliuchumi ikiwemo, ajali, magonjwa hata kufariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani si tulishakubaliana kataa ndoa wote ni mashoga

Mwanaume halisi huwezi ukakaa unapiga kelele "kataa ndoa" tena unamwambia mwanaume mwenzio unamaanisha nini!!!
Anamaanisha ambinue yeye
 
6. Ni mashoga
Sikujua kama neno #kataa ndoa #ndoa ni utapeli litawauma hivi.
Kama watu wameoa au wanawake wameolewa lkn wanagongwa nje. Utawaambia nini ambao hawajaoa?

Nasikia kuna mheshimiwa kagongewa mkewe. Hatari sana. Mtaita majina yote lkn watu wamekataa ndoa. Una hela, una cheo km Niki wa pili na bado unagongewa. Kweli ndoa ni utapeli
 
Sasa kama hakuna huduma mnaishije sasa manaa maisha inabidi yaende ,naww unadai wanaume walio financially stable nahuo ustable siunatokana nakufanya kazi au !!ww dada unachangamoto sana,unajifanya huelewi lkn hoja za wazee wakataa ndoa zinamashiko kama ndoa ipo kwa mktadha wako wa mwanume kumhudumia mwanamke ili afurahie maisja ktk ndoa,huo ni unyonyaji lama unyonyaji mwingine , haiwezekani mwanamke umeolewa usiwe nachakungia kiuchumi ukamtegema mmeo ambae nae anaweza kupata changamoto zaliuchumi ikiwemo,ajali,magonjwa hata kufariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuhudumia mkeo haimaanishi mkeo asichangie uchumi, kama umeshindwa kudeduct this simple fact then tusipotezeane muda tafadhali...
 
Wewe sema unataka tu tutukanane(which I’m ready)

Kumhudumia mkeo sijasema ndio asifanye chochote
Mm sina shida nakutukana buana,ila tunajibizana kwa hoja hapa hbr zamatusi hizo baki nazo hukohuko,ujue ww unadhani wanaosema ndoa niutapeli pengine sio wakamilifu au niwazembe wanahoja nzito sana hasa kwa wanawake wenye mtazamo wakuhudumiwa kama ww,maaana ndoa kwa uasili wake unaleta mazao kama watoto namali pia nawatoto wanapaita hapo mlipopaanzisha ww nammeo kwa pamoja nyumbani kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sipendi kabisa ndoa ila nataka niongeze mke wa 2. Why, ni heshima kubwa kuwa na ndoa pia inaleta amani ya moyo japo baadhi ya wanawake ni pasua kichwa
 
Mm sina shida nakutukana buana,ila tunajibizana kwa hoja hapa hbr zamatusi hizo baki nazo hukohuko,ujue ww unadhani wanaosema ndoa niutapeli pengine sio wakamilifu au niwazembe wanahoja nzito sana hasa kwa wanawake wenye mtazamo wakuhudumiwa kama ww,maaana ndoa kwa uasili wake unaleta mazao kama watoto namali pia nawatoto wanapaita hapo mlipopaanzisha ww nammeo kwa pamoja nyumbani kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba, so unaogopa kuoa kisa unaogopa kuhudumia mkeo? Si uoe bepari kama Robert Heriel au umeshindwa kupata libepari limoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom