Naomba tuelewane, wanaokataa ndoa wana hoja za msingi, lakini sikubaliani na wewe kwenda mbele zaidi kuprotest ukhanisi hili halikubaliki.
Kijana Mdogo wa miaka 18 anayevutiwa na post zako humu akaona wewe ndio role model wake naye aanze kupiga punyeto kutwa Mara 3 nakuhakikishia akifika miaka 25 ni khanisi kamili na hawezi kusimamisha mboo tena.
Kwa hili hapana upotoshaji huu ukomeshwe na hili ni lazima tuchukuwe hatuwa zaidi sisi kama Wazazi.
Mkuu
Maxence Melo tunakuomba upitie huku ili ujiridhishe haya ndio malengo ya JF?
Hatuwezi kukubali kuona jamii ya Kitanzania inabomolewa na watu wenye ajenda zao za siri, hili halikubaliki.