Prof. Tibaijuka akiri kumpa rushwa Ndungulile

Upendeleo nao ni sehemu ya rushwa maana umemfunga mdomo asitetee maslahi ya wengi hasa ukizingatia na yeye ni kiongozi
 
Magwanda mnajulikana kwa uzushi na uongo na kugeuza maneno, hivi watu kama nyinyi mnategemea haswa tuwape hii nchi muongoze? mtateseka sana. Watanzania wameshawashtukia.

Waswahili hunena "ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka". Magwanda kwisha, hamna hoja wala sera kazi kudanganya tu.
Zomba,'
Hatutegemei watu kama wewe mtupe nchi. Mtatupaje nchi, kwani ni yenu peke yenu? Nchi ni yetu sote na Watanzania watawaondoa mamlakani CCM na mafisadi wenzao.
mafisadi na
 
huyo mama hana lolote... kuwadi tu la kuuza ardhi yetu kwa mabepari wa nchi za magharibi...tunajua ameandaliwa na CIA ktk kutekeleza hujuma nzito kwa nchi yetu...eti mwekezaji anapatiwa hati ndani ya wiki moja ! mtanzania mzawa miaka nenda rudi ...hakuna mwenye afadhali kwenye chama cha mabwepande...
 
Then wote
Tibaijuka na Ndugulile hawatufai tanzania.
Kama tungekuwa na chombo cha kudhibiti RUSHWA Tanzania kingewahenyesha hawa.

Kwa mimi wala sishangai kwa hili,ndio zao hao magamba na dawa yao ni kuwapiga chini tu.Hili wala halijaanza leo,naumbuka katika sakata la malipo ya EAC waziri wa fedha na wote walio karibu yake walilipwa malipo stahili kwa rate za muda ule lakini kwa akina kajamba nani ndio tuliona mtu anapewa cheki ya Tshs 150 ambayo alistahili kulipwa mwaka 1977 na serikali bila aibu ikajitapa ua imelipa wastafu wa Jumuia,aibu gani hii.Hapo ni kwa Taasisi inayohusika na rushwa kuwashughulikia tu hawa watu na hata kama itawaacha basi chama kitakachoshika madaraka 2015 kiwatazame vile wanavyostahili..
 
Natamani Tanzania kungekuwa na chombo kinachopambana na rushwa.Sijui kwanini.Baada ya Nyerere hadi leo hatuna chombo hk
 
Nilikuwa na Imani na Professor Tibaijuka lakini huyu mama ameni bore stiff. Professor Tibaijuka amegeuka kuwa WAZIRI WA ARDHI WA DSM na sio WAZIRI WA ARDHI WA TANZANIA. Mipango yake yote na utendaji wake wote ni DSM.

Kupanga 59% ya Budget ya Wizara ya ARDHI YOTE kwa ka-eneo kamoja kama KIGAMBONI tu huu ni UFISADI na UPENDELEO wa hali ya juu, no wonder alimpendelea Ndugulile akalipwa fidia na wengine kuachwa.
 
Magwanda mnajulikana kwa uzushi na uongo na kugeuza maneno, hivi watu kama nyinyi mnategemea haswa tuwape hii nchi muongoze? mtateseka sana. Watanzania wameshawashtukia.

Waswahili hunena "ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka". Magwanda kwisha, hamna hoja wala sera kazi kudanganya tu.

Zomba ndugu yangu ,Dr Ndugulile ni mbunge wa CCM (KIGAMBONI) , Prof Tibaijuka ni waziri chini cha ya serikali ya CCM ,
wanabishana , wanaumbuana na mbaya zaidi wote ni wadau muhimu katika mradi wa Kigamboni ,unavyoiingiza CDM unataka nini haswa ?
Angalia , unaangamiza chama wakati unakeng'ua meno
 
Ikiwa ni malipo halali sioni taabu kwa hilo,yawezekana katumia mfumo wa kulipa tokea juu kwenda chini,na ikiwa ni ishala ya malipo kwa wengine wa chini ya mbunge.
Jambo la msingi ni kuharakisha malipo sahihi kwa wale waliobakia.
 
Imagine, holy **** tena... false 101% u post this lies
shame on u....!!! I listened the full speech ya Prof. Tibaijuka.... She is really THE BEST MINISTER the country
is proud of.... kajipanga... tuache kuongea hovyo hovyo...
concerning Ndungulile alisema hivi; Ndungulile alikuwa anadai fedha kwa ajili ya plot yake Kigamboni...na akakiri alilipwa na yeye ili hali wananchi wengi bado hawajalipwa ila wako ktk process ya kulipwa eneo la mji mpya wa Kigamboni......
So corruption inatoka wapi..!!?? Nosense to u poorone not richone

Kwa nini aanze na mbunge?hivi ndivyo vitu ambavyo siku zote watu wanavipinga!ubora wa huyu waziri upo wapi?acheni kufagilia watu ki....
 
Bado hatujaambiwa kiwango cha pesa alichopewa ukilinganisha na watakachopata wengine wenye mali sawa na yeye hapo kigamboni. Hata valuation itakuwa ilimpendelea mbunge. Kwa kauli hiyo (kama ni kweli) ingekuwa nchi za wenyewe china & Japan =kifo Uingereza & UK =kujiuzuru kwa hiari. Shame on you mama Tiba kwa upendeleo wa dhahiri kumfunga mdomo mbunge. Je wangapi umewafunga mdomo? CCM wangapi mmewafunga mdomo?
 
Imagine, holy **** tena... false 101% u post this lies
shame on u....!!! I listened the full speech ya Prof. Tibaijuka.... She is really THE BEST MINISTER the country
is proud of.... kajipanga... tuache kuongea hovyo hovyo...
concerning Ndungulile alisema hivi; Ndungulile alikuwa anadai fedha kwa ajili ya plot yake Kigamboni...na akakiri alilipwa na yeye ili hali wananchi wengi bado hawajalipwa ila wako ktk process ya kulipwa eneo la mji mpya wa Kigamboni......
So corruption inatoka wapi..!!?? Nosense to u poorone not richone

Kwa nini alipwe Ndungulile tu? Ili kumnyamazisha? 'Corruption' ni nini vile?
 
Magwanda mnajulikana kwa uzushi na uongo na kugeuza maneno, hivi watu kama nyinyi mnategemea haswa tuwape hii nchi muongoze? mtateseka sana. Watanzania wameshawashtukia.

Waswahili hunena "ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka". Magwanda kwisha, hamna hoja wala sera kazi kudanganya tu.
Inaonekana swala la CHADEMA kuitawala Tanzania linakutesa saana tena hulali maana naona kila post yako unaligusa hilo, basi pole saana maana usemalo laja tena kwa kasi ya ajabu!!!!

Inaonekana swala la CHADEMA kuitawala Tanzania linakutesa saana tena hulali maana naona kila post yako unaligusa hilo, basi pole saana maana usemalo laja tena kwa kasi ya ajabu!!!!

Hiyo ni ndoto ya mchana.
 
kumbe huyu mbunge wangu ni fisadi!!!atuambie kalipwa bei bei gani??nyumba ya mama yangu hiyooo inafisidiwa
 
Back
Top Bottom