Prof. Tibaijuka alisema alimwambia Lowassa Kimfumo Rais hawezi kutokea chama cha Upinzani, nimemuelewa kupitia Jen. Mabeyo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,044
Kama umefuatilia kifalsafa maelezo ya CDF Mstaafu General Mabeyo juu ya hadhi ya Amir Jeshi mkuu utagundua kimfumo Rais wa JMT na hata Zanzibar hawezi kutokea chama cha Upinzani.

Prof Tibaijuka alilieleza hili kidogo kwenye msiba wa Lowassa na Kwamba Edward alimjibu anajua kimfumo Rais wa JMT hawezi kutokea chama cha Upinzani lakini yeye anakwenda Chadema kwa sababu amechoka kunyanyaswa.

Kamati ya Ulinzi na Usalama Kitaifa ni chombo muhimu sana, Wanasiasa Zao ni mbwembwe tu.

Ramadan Kareem 😄
 
Mimi namlaumu sana Mabeyo!

Kwa nini jeshi haliluchukua nchi ili haya majizi yapate adhabu kidogo?
 
Kama umefuatilia kifalsafa maelezo ya CDF Mstaafu General Mabeyo juu ya hadhi ya Amir Jeshi mkuu utagundua kimfumo Rais wa JMT na hata Zanzibar hawezi kutokea chama cha Upinzani.

Prof Tibaijuka alilieleza hili kidogo kwenye msiba wa Lowassa na Kwamba Edward alimjibu anajua kimfumo Rais wa JMT hawezi kutokea chama cha Upinzani lakini yeye anakwenda Chadema kwa sababu amechoka kunyanyaswa.

Kamati ya Ulinzi na Usalama Kitaifa ni chombo muhimu sana, Wanasiasa Zao ni mbwembwe tu.

Ramadan Kareem 😄
Kwa hiyo ndio tumelaanika milele? Chini ya CCM nchi iko kwenye laana
 
Back
Top Bottom