Prof. Tibaijuka akiri kumpa rushwa Ndungulile

Imagine, holy **** tena... false 101% u post this lies
shame on u....!!! I listened the full speech ya Prof. Tibaijuka.... She is really THE BEST MINISTER the country
is proud of.... kajipanga... tuache kuongea hovyo hovyo...
concerning Ndungulile alisema hivi; Ndungulile alikuwa anadai fedha kwa ajili ya plot yake Kigamboni...na akakiri alilipwa na yeye ili hali wananchi wengi bado hawajalipwa ila wako ktk process ya kulipwa eneo la mji mpya wa Kigamboni......
So corruption inatoka wapi..!!?? Nosense to u poorone not richone

mr president umenitukana nakubali ulivyonitukana ila naomba uniambie nini maana ya kumlipa mtu mmoja fedha ambaye ndiye sauti ya watu huku akiwaacha wengine wakikaa bila kulipwa hii siyo rushwa akiwa nalengo la kumfunga mdomo? hebu tafakari na ujipime kwa hilo tusi ulilonipa ni kwanini wewe usijiite hivyo. nakwambia hivyo kwasababu Prof tibaijuka alisema amamlipa Mh. ndugulile na hajasema hiyo pesa ya kumlipa ameitoa wapi.kwa maana hiyo wewe Mr presdent kwanini nisikuambia wewe unatiwa?tana na hao unao watetea!
 
Alilipwa kwa fedha zake waziri kutoa mfukoni. mwake au ni fedha za malipo?

mimi sitaki kujua amezitoa wapi ila nataka kujua ni kwanini amlipe mtu mmoja na kuwaacha watu zadi ya 1000 wanaodai tena akajichukulia uamuzi wa kumlipa yule kiongozi wao nini maana yake?
 
Back
Top Bottom