Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

Ifikie wakati tuondokane na hili jeshi la kikoloni. Tunatakiwa tuwe na jeshi la kulinda raia na mali zao! Na siyo kuilinda ccm kwa gharama yoyote ile, hata kama haikubaliki kwa Watanzania walio wengi.
Hakuna Jeshi litakalo kuwa BAYA kama la serikali ya CDM iwapo tutalogwa kuwapa Nchi hii watanzania tusijaribu tutalia na kusaga meno bila msaada Hawa watu ni Black Devils aslani tusidhubutu
 
Back
Top Bottom