makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,218
Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?
Nduka Original, hebu soma hii hapa chini kuhusu Prof.Lipumba kwa faida yako na wengine wenye mawazo finyu kama yako! Tatizo la mijitu mingine huwa haikubali kitu chochote kutoka kwa mtu ambaye yuko UPINZANI! Je, ungelisemaje kuhusu Prof. Lipumba kama angelikuwa ni mwana CCM au mojawapa ya mafisadi wa CCM? Jibu unalo.
Kazi
- 1976 hadi 1977 Mkufunzi Msaidizi (T.A)
- 1977 hadi 1983 Mhadhiri Msaidizi
- 1983 hadi 1986 Mhadhiri
- 1986 hadi 1989 Mhadhiri Mwandamizi
- 1989 hadi 1993 Profesa Mshiriki
- 1991 hadi 1993 Msaidizi wa Rais Mambo ya Uchumi
- 1993 hadi 1995 Fulbright Visiting Professor, Williams College, Massachussets, United States of America
- 1996 hadi 1998 Senior Research Fellow, United Nations University, World Institute of
Heshima za Kitaaluma
- 1993 hadi 1995 Fulbright Visiting Professorship
- 1986 hadi 1989 Kellogg International Fellow in Food Systems
- 1977 hadi 1983 Rockefeller Foundation Fellowship
- 1976 Zawadi ya Mwanafunzi Bora, Best Student
Mshauri wa Uchumi
- The World Bank
- UNDP
- Global Coalition for Africa
- Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa ( COMESA )
- Swedish International Development Agency ( SIDA )
- NORAD
- DANIDA
- Ministry of Foreign Affairs Finland
- Bank of Tanzania
- Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI)
- African Capacity Building Foundation.
Lipumba akiwa kwenye shughuli za Kimataifa
Utafiti kuhusu kushiriki kwa nchi za kusini katika mfumo wa biashara wa kimataifa, Uruguay Round Multilateral trade negotiations kuanzia mwaka 1986 ha 1990. Utafiti kuhusu sera za kilimo za nchi zinazoendelea. Kuwasilisha maelezo (Testmony) kuhusu matatizo ya madeni ya Afrika kwenye kamati ya Bunge la Marekani - House Sub Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - February, 1994.
Kuwasilisha, maelezo (Testmony) kuhusu shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na uhusiano wake na nchi masikini kwenye kamati ya Bunge la Marekani House - Sub Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - April, 1994
Kutayarisha Report of Group of Independent Advisers on Development Cooperation issues between Tanzania and Aid Donors. June , 1995
Kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya Umoja wa Mataifa ya sera ya maendeleo (member of the United Nations Committee for Development Policy (1995 hadi 1999.)
Kutayarisha vigezo vya kuainisha nchi masikini sana duniani. (The list of Least Developed Countries (1997 na 2000)
Kutayarisha na kuratibu utafiti na kupendekeza sera za viwango vya kubadilishana sarafu (exchange rate policy) na sera za kulegeza masharti ya mfumo wa fedha (financial liberalization) Kampala, Uganda (1997).
Kutayarisha na kuratibu utafiti na kupendekeza sera za viwango vya kubadilishana sarafu (exchange rate policy) na sera za kulegeza masharti ya mfumo wa fedha (financial liberalization) Kampala, Uganda (1997).
Kutoa taarifa katika Kamati ya Umoja wa Mataifa ya mambo ya uchumi na maendeleo (ECOSOC) kuhusu mgogoro wa kimataifa wa fedha katika nchi za Asia, NewYork (1998).
Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Windhoek, Namibia (1998).
Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Mbabane, Swaziland (1998).
Kutathmini maendeleo ya The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa, (MEFMI) ili kuwasaidia wahisani kufanya maamuzi juu ya kuendelea kuisaidia taasisi hiyo,1998.
Shughuli za Kitaifa
- Mjumbe - Kamati ya kurekebisha mashirika ya umma, 1992 - 1993
- Mwenyekiti - Tume ya kuchunguza matatizo ya chama cha ushirika cha mkoa wa Shinyanga (SHIRECU), 1992
- Mwenyekiti - Tume ya Waziri wa Fedha ya kuchunguza matatizo ya Shirika la Bima (NIC) 1993
- Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984
- African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983. Published by Stanford African Students Association.
- Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982