Prof Lipumba aenda World Bank

Labda Prof. Maji Marefu na Nkullo nao wataitwa IMF for very senior positions

Sasa naanza kuamini kuwanini Nyerere alitunyima elimu.Yaani hapo ndio mwisho wako mkuu?

Haendi kufanya kazi amepata fellowship anakwenda kusoma/ kufunzwa, Fungueni hiyo link muone. Watu wa cuf mnampa ujiko bure eti anakwenda world Bank!!!

Umeongea vizuri sana mkuu, lakini hapo kwa Mtatiro umechemsha. Kama ndugu zangu wa CUF mtakuwa mnamtegemea Mtatiro basi mtaua chama. Jamaa anaongozwa na emotions na sio busara. Ye kwake fujo, maandamano yasiyo na tija ndo siasa. Ulizeni walofanikiwa kusoma nae wawapeni habari zake. Me nmesoma nae mlimani.

wewe kilaza, mimi nilishiriki migomo mingi chuo kwa sababu ilikuwa ya msingi. Wewe ni miongoni mwa wale mnaotaka mpate tu bila kuhangaika. Bakora mlilama traitors nyie

Fani yake si kitu na ndo maana haina mchango wowote kwa masikini wa Tanzania ni msindikizaji tu CUF=CCM'B'

Angalia mzee, unaijua fani ya Lipumba na ameipata vyuo vipi? Na unaijua fani ya ****** na chuo alichopata na gpa yake? Kama fani ni tatizo basi dunia nzima ingekuwa masikini. We unachagua mbumbumbu kuongoza nchi unategemea wananchi watakuwa matajiri kupitia power trailor.

Kila siku wae wanamuita huyo Prof Lipumba
Mkuu, wamemuita kila siku mara ngapi, jamaa ameshinda Buguruni KAFU miaka enda rudi unasema wanamuita kila siku? Na mchumi gani bingwa anapata kazi za kuunga unga, mara miezi, mara mwaka, mara anakaa benchi aka kumi ndio wanamkumbuka. Lipumba mchumi wa nchi masikini kapuku, atakuwa mshauri wa uchumi wa viwango vya kimataifa, amshauri nani, Msumbiji?

Na ni uroho wa madaraka, chama cha kitaifa kinahitaji full time chairman, that's total disservice to CUF. presidential candidate kila mwaka wewe, mchumi wewe, mwenyekiti wewe...totally disoriented career.

Prof Ibrahim .H. Lipumba amerejea kutoka igunga ambapo alikuwa anamfanyia kampeni na kumnadi mgombea wa chake cha CUF ambapo amemaliza siku zake za kampeni alizopangiwa na chama na anatarajiwa kuondoka wakati wowote kuanzia Leo kuelekea uswissi ambapo ameitwa na kupewa mkataba wa mwaka mmoja na nusu kama mshauri wa uchumi. watanzani tunakutakia kazi njema.
The moment he let Seif Sharif Hamad fulfil his ambitions which came in the name of "SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA" it was clear that his political carrier was ending. He as a politician in this country is not taken with high regard as he is taken in the world Economy. I wish him all the best.

Mkuu, wamemuita kila siku mara ngapi, jamaa ameshinda Buguruni KAFU miaka enda rudi unasema wanamuita kila siku? Na mchumi gani bingwa anapata kazi za kuunga unga, mara miezi, mara mwaka, mara anakaa benchi aka kumi ndio wanamkumbuka. Lipumba mchumi wa nchi masikini kapuku, atakuwa mshauri wa uchumi wa viwango vya kimataifa, amshauri nani, Msumbiji?

Na ni uroho wa madaraka, chama cha kitaifa kinahitaji full time chairman, that's total disservice to CUF. presidential candidate kila mwaka wewe, mchumi wewe, mwenyekiti wewe...totally disoriented career.

je najua kitu kinachoitwa GPA...?!!! nina mashaka elimu yako ni form 4

mi nikajua fellowsjip hii ni ile ya mambo ya kusali kwa mama rwakatare mlima wa moto..mweee

Sasa naanza kuamini kuwanini Nyerere alitunyima elimu.Yaani hapo ndio mwisho wako mkuu?

Duh! Hivi nyie watu mnaobwabwaja kuhusu Nyerere kuwanyima watu Elimu mbona badala ya kupungua ndiyo kwaanza mnaongezeka? Hivi hata huyo Lipumba unayemshabikia alisoma wakati wa nani kama si wakati wa Mwalimu akiwa kiongozi wa nchi hii? orodha ya watu waliosoma enzi za mwalimu wakawa ni watu waliobobea kwenye fani mbalimbali ni ndogo kiasi hicho unachokiamini?

Kuna watu kama Kasuku wanapayuka kila mara na kufikiri enzi za Mwalimu zilikuwa ni zama za Giza. Ni wakati wa Mwalimu ndipo nchi hii ilipata tuzo ya kusomesha watu wake kwa kiwango cha asilimia zaidi ya themanini. Usikariri mambo ya kwenye Al Nuru na kuyaleta humu kwenye watu wanaojua na kufikiri mambo kwa kina na mapana na marefu yake.

Hongera yake,ila kama ndio huyu Lipumba alikuwa mshauri wa rais Mwinyi basi hatufai watanzania tena,kumbuka kipindi kile pesa ilivyo kosa thamani,maisha yalipanda watu wakawa hawafanyikazi kisa hela nje nje, nchi iliingia kwenye madeni makubwa wafanyabiashara wakawa ndio wenye nguvu kuliko serikali?hatumtaki hatufai aende tu huko sio mshauri mzuri kwetu.

Wasomi Tanzania huwa hawakubaliki hata siku moja, utashangaa mtu kama Prof. Majimarefu anakubalika kuzidi Prof. Lipumba.

Wewe nenda zako kafanye kazi na wazungu, huku tuache kama tulivyo Miafrika ndivyo ilivyo
dah! Mkuu nimecheka sana baada ya kusoma post yako ya Prof Maji Marefu

It's an undisputable fact kuwa nchi hii has got hundreds of wasomi katika level ya prof Lipumba (or thereabouts) ambao system imewa-push into the background.
Lipumba is just one tip on the icerberg.

Our new constitution must spell out some enforceable mechanism ya kuhakikisha resources za aina hii zinakuwa tapped.
This is what quickly comes into mind....data-base ya wasomi hawa inakuwa managed and maintained na serikali, wanapewa measurable targets, wanapimwa, wanachujwa na kuendelea kuwa motivated.

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom