Prof Lipumba aenda World Bank

Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?

Nduka Original, hebu soma hii hapa chini kuhusu Prof.Lipumba kwa faida yako na wengine wenye mawazo finyu kama yako! Tatizo la mijitu mingine huwa haikubali kitu chochote kutoka kwa mtu ambaye yuko UPINZANI! Je, ungelisemaje kuhusu Prof. Lipumba kama angelikuwa ni mwana CCM au mojawapa ya mafisadi wa CCM? Jibu unalo.

Kazi
  • 1976 hadi 1977 Mkufunzi Msaidizi (T.A)
  • 1977 hadi 1983 Mhadhiri Msaidizi
  • 1983 hadi 1986 Mhadhiri
  • 1986 hadi 1989 Mhadhiri Mwandamizi
  • 1989 hadi 1993 Profesa Mshiriki
  • 1991 hadi 1993 Msaidizi wa Rais Mambo ya Uchumi
  • 1993 hadi 1995 Fulbright Visiting Professor, Williams College, Massachussets, United States of America
  • 1996 hadi 1998 Senior Research Fellow, United Nations University, World Institute of
Economic Research, Helsinki Finland.

Heshima za Kitaaluma
  • 1993 hadi 1995 Fulbright Visiting Professorship
  • 1986 hadi 1989 Kellogg International Fellow in Food Systems
  • 1977 hadi 1983 Rockefeller Foundation Fellowship
  • 1976 Zawadi ya Mwanafunzi Bora, Best Student
Award, Faculty of Arts and Social Sciences,University of Dar es Salaam.

Mshauri wa Uchumi
Shughuli za Kimataifa

Lipumba akiwa kwenye shughuli za Kimataifa

Utafiti kuhusu kushiriki kwa nchi za kusini katika mfumo wa biashara wa kimataifa, Uruguay Round Multilateral trade negotiations kuanzia mwaka 1986 ha 1990. Utafiti kuhusu sera za kilimo za nchi zinazoendelea. Kuwasilisha maelezo (Testmony) kuhusu matatizo ya madeni ya Afrika kwenye kamati ya Bunge la Marekani - House Sub Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - February, 1994.
Kuwasilisha, maelezo (Testmony) kuhusu shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na uhusiano wake na nchi masikini kwenye kamati ya Bunge la Marekani House - Sub Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - April, 1994
Kutayarisha “Report of Group of Independent Advisers on Development Cooperation issues between Tanzania and Aid Donors”. June , 1995
Kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya Umoja wa Mataifa ya sera ya maendeleo (member of the United Nations Committee for Development Policy (1995 hadi 1999.)
Kutayarisha vigezo vya kuainisha nchi masikini sana duniani. (The list of Least Developed Countries (1997 na 2000)
Kutayarisha na kuratibu utafiti na kupendekeza sera za viwango vya kubadilishana sarafu (exchange rate policy) na sera za kulegeza masharti ya mfumo wa fedha (financial liberalization) Kampala, Uganda (1997).

Kutoa taarifa katika Kamati ya Umoja wa Mataifa ya mambo ya uchumi na maendeleo (ECOSOC) kuhusu mgogoro wa kimataifa wa fedha katika nchi za Asia, NewYork (1998).
Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Windhoek, Namibia (1998).
Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Mbabane, Swaziland (1998).
Kutathmini maendeleo ya ‘The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa’, (MEFMI) ili kuwasaidia wahisani kufanya maamuzi juu ya kuendelea kuisaidia taasisi hiyo,1998.

Shughuli za Kitaifa
  • Mjumbe - Kamati ya kurekebisha mashirika ya umma, 1992 - 1993
  • Mwenyekiti - Tume ya kuchunguza matatizo ya chama cha ushirika cha mkoa wa Shinyanga (SHIRECU), 1992
  • Mwenyekiti - Tume ya Waziri wa Fedha ya kuchunguza matatizo ya Shirika la Bima (NIC) 1993
[h=2] Baadhi ya Tafiti za Uchumi na Maandishi Muhimu[/h]
  • Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984
  • African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983. Published by Stanford African Students Association.
  • Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982
 
Nimecheka sana huyu jamaa anawalinganisha JK na Prf. Lipumba, eti wote ni wachumi.
Prof. Lipumba, ana (BA Econimics) ana (MA Econimics) ana shahada ya Udakatari wa Falsafa ( PhD) ya Econimics.
Kikwete ana (BA Economics) sasa mkuu wangu hapa sijui wanafana nini? Ni sawa sawa ulinganishe Mlima Kilimanjaro na Mlima Tegeta
 
Ni kwa sababu yeye aliamua ku-pursue the academic path ambayo yeyote aliyeifuata sasa ni profesa. Sasa unamshutumu mtu ambaye aliingia kwenye line nyingine ya maisha kwa sababu gani? Tatizo humu kuna fikra kwamba kila kitu kinalinganishika. Walinganishe maprofesa wawili wa uchumi kujua nani zaidi siyo hiyo unayojaribu kuielezea wewe na kudai kwamba Kikwete asingekuwa Katibu Kata. Kwani hata Lipumba angeweza hata kuwa Katibu Kata angeingia kwenye siasa wakati Kikwete alipoingia?
 
Nduka Original, hebu soma hii hapa chini kuhusu Prof.Lipumba kwa faida yako na wengine wenye mawazo finyu kama yako! Tatizo la mijitu mingine huwa haikubali kitu chochote kutoka kwa mtu ambaye yuko UPINZANI! Je, ungelisemaje kuhusu Prof. Lipumba kama angelikuwa ni mwana CCM au mojawapa ya mafisadi wa CCM? Jibu unalo.

Kazi
  • 1976 hadi 1977 Mkufunzi Msaidizi (T.A)
  • 1977 hadi 1983 Mhadhiri Msaidizi
  • 1983 hadi 1986 Mhadhiri
  • 1986 hadi 1989 Mhadhiri Mwandamizi
  • 1989 hadi 1993 Profesa Mshiriki
  • 1991 hadi 1993 Msaidizi wa Rais Mambo ya Uchumi
  • 1993 hadi 1995 Fulbright Visiting Professor, Williams College, Massachussets, United States of America
  • 1996 hadi 1998 Senior Research Fellow, United Nations University, World Institute of
Economic Research, Helsinki Finland.

Heshima za Kitaaluma
  • 1993 hadi 1995 Fulbright Visiting Professorship
  • 1986 hadi 1989 Kellogg International Fellow in Food Systems
  • 1977 hadi 1983 Rockefeller Foundation Fellowship
  • 1976 Zawadi ya Mwanafunzi Bora, Best Student
Award, Faculty of Arts and Social Sciences,University of Dar es Salaam.

Mshauri wa Uchumi
Shughuli za Kimataifa

Lipumba akiwa kwenye shughuli za Kimataifa

Utafiti kuhusu kushiriki kwa nchi za kusini katika mfumo wa biashara wa kimataifa, Uruguay Round Multilateral trade negotiations kuanzia mwaka 1986 ha 1990. Utafiti kuhusu sera za kilimo za nchi zinazoendelea. Kuwasilisha maelezo (Testmony) kuhusu matatizo ya madeni ya Afrika kwenye kamati ya Bunge la Marekani - House Sub Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - February, 1994.
Kuwasilisha, maelezo (Testmony) kuhusu shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na uhusiano wake na nchi masikini kwenye kamati ya Bunge la Marekani House - Sub Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - April, 1994
Kutayarisha "Report of Group of Independent Advisers on Development Cooperation issues between Tanzania and Aid Donors". June , 1995
Kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya Umoja wa Mataifa ya sera ya maendeleo (member of the United Nations Committee for Development Policy (1995 hadi 1999.)
Kutayarisha vigezo vya kuainisha nchi masikini sana duniani. (The list of Least Developed Countries (1997 na 2000)
Kutayarisha na kuratibu utafiti na kupendekeza sera za viwango vya kubadilishana sarafu (exchange rate policy) na sera za kulegeza masharti ya mfumo wa fedha (financial liberalization) Kampala, Uganda (1997).
Kutayarisha na kuratibu utafiti na kupendekeza sera za viwango vya kubadilishana sarafu (exchange rate policy) na sera za kulegeza masharti ya mfumo wa fedha (financial liberalization) Kampala, Uganda (1997).
Kutoa taarifa katika Kamati ya Umoja wa Mataifa ya mambo ya uchumi na maendeleo (ECOSOC) kuhusu mgogoro wa kimataifa wa fedha katika nchi za Asia, NewYork (1998).
Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Windhoek, Namibia (1998).
Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Mbabane, Swaziland (1998).
Kutathmini maendeleo ya ‘The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa', (MEFMI) ili kuwasaidia wahisani kufanya maamuzi juu ya kuendelea kuisaidia taasisi hiyo,1998.

Shughuli za Kitaifa
  • Mjumbe - Kamati ya kurekebisha mashirika ya umma, 1992 - 1993
  • Mwenyekiti - Tume ya kuchunguza matatizo ya chama cha ushirika cha mkoa wa Shinyanga (SHIRECU), 1992
  • Mwenyekiti - Tume ya Waziri wa Fedha ya kuchunguza matatizo ya Shirika la Bima (NIC) 1993
Baadhi ya Tafiti za Uchumi na Maandishi Muhimu

  • Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984
  • African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983. Published by Stanford African Students Association.
  • Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982

Kwa experience hii huyu ndio anafaa kuitwa Economic Advisor to the President of United Republic of Tanzania. Hebu tufanye mlinganisho wa Lipumba na Mshauri wa rais wetu katika mambo ya uchumi. Nafikiri inabidi ifike wakati watanzania tuseme basi kila mtu mwenye fani yake aheshimiwe na kupewa nafasi yake. Hizi siasa hazitufikishi popote.
 
saluti nyingi sana kwako mh. prof wa ukweee. hawa ma-dr. wa kishenzi vilaza wa low class bchl wanakuogopa sbb ya uwanawake wao!!
 
Huyu ni moja tu, wapo wasomi wengi wanaokaribia au wa kiwango cha prof.Lipumba lakini serikali haiwajali na wala haitambui michango yao, ukienda nje ya tanzania utashangaa jinsi ambayo wasomi wetu wameshika sehemu nyeti ktk nchi za kigeni na wanaheshimika sana kwa michango yao.......angalia nchi kama namibia, botswana etc tunao wasomi wengi ambao ndo watengeneza sera na wanaheshimika kwa kiwango kikubwa............
 
Wakuu

Nauliza tena kwa hishima na taadhima kama ndiye alikuwa mshauri wa mzee ruksa? kama ndi yeye basi nina wasiwasi na knowledge yake katika economics, kwa nini nasema hivi?

Hali ilikuwa mbaya saana, na aliua mashirika yote ambayo sasa hata tunalia, yeye kama mchumi alitakiwa anngalie kwa mapana, lakini Mtoto wa haruna alichukua kama alivyosoma kwenye vitabu bila kuangalia kuwa uendeshaji wa uchumi una differ from one country to another.

Binafsi kama nikimlinganisha na mshauri wa Mkapa, basi huyo mtu anastahili heshima ya pekee, kwani aliiubadilisha uchumi kwa muda mfupi mpaka tukafikia kujijengea barabara sisi wenyewe. Huyu anatakiwa apewe u-profesa wa heshima
 
Wanajumuia ndio maelekezo mliyopewa nini?

Kama mkapa kajenga nani kaharibu? unaaibisha mkuu

Ukiambiwa kwenye jumuiya tumia na akili zako huyo ndio source of all troubles in our econmomy
 
Huhitaji kuwa umesoma economics, kuona, kuelewa na kulinganisha ufanisi wa serikali ya Mkapa na Mwinyi katika uchumi, hili kaa kimia kabisa. Wakati wa mwinyi serikali ilikuwa likizo, nafikiri mwenye akili timamu hawezi hata kubisha hilo.
 
emotions na hisia??
Ufanisi kwa kuuza nyumba za serikali..hasara yake hata miaka 40 huwezi kuimaliza

Ufanisi kwa kuingia mikataba feki wa madini..hasara yake hata miaka 40 huwezi kuimaliza kwakuwa una deal na internatinal contracts

Ufanisi kwa kuua wananchi wasio na silaha (2001) pemba na (2008) mwembechai..hasara yake milele huwezi kuimaliza...

embu toa aibu zako za maneno yenu mnayotoa kwenye jumuiya na waraka wa kibaguzi..
 
Prof Lipumba kwa mda mrefu anajulikana na mchumi mzuri sana na hata ukimsikiliza akichambua hoja za kiuchumi kweli anajua na unapenda. Siasa za Tanzania hazina lolote na kama mpinzani hazilipi kabisa so ngoja aende kutafuta hela za maisha yake binafsi.
 
Duh! Hivi nyie watu mnaobwabwaja kuhusu Nyerere kuwanyima watu Elimu mbona badala ya kupungua ndiyo kwaanza mnaongezeka? Hivi hata huyo Lipumba unayemshabikia alisoma wakati wa nani kama si wakati wa Mwalimu akiwa kiongozi wa nchi hii? orodha ya watu waliosoma enzi za mwalimu wakawa ni watu waliobobea kwenye fani mbalimbali ni ndogo kiasi hicho unachokiamini?

Kuna watu kama Kasuku wanapayuka kila mara na kufikiri enzi za Mwalimu zilikuwa ni zama za Giza. Ni wakati wa Mwalimu ndipo nchi hii ilipata tuzo ya kusomesha watu wake kwa kiwango cha asilimia zaidi ya themanini. Usikariri mambo ya kwenye Al Nuru na kuyaleta humu kwenye watu wanaojua na kufikiri mambo kwa kina na mapana na marefu yake.
ndiyo. nyerere alisisitiza elimu ya kujua kusoma na kuandika ambayo hata sasa hivi mama yangu kashaisahau. hata sasa hivi tunawatu wengi tu wanaojua kusoma na kuandika. lakini sidhani kama hilo ndo lengo la kusoma. labda kalengo kadogo. lakini lengo kuu ni kumwezasha mtu kutoka katika hali duni kiutendaji kwenda kwenye ufanisi. hili la kujua kusoma na kuandika hata wakoloni walitufundisha ili tuwatumikie. Is see clearly your poor thinking.
 
Wakuu

Nauliza tena kwa hishima na taadhima kama ndiye alikuwa mshauri wa mzee ruksa? kama ndi yeye basi nina wasiwasi na knowledge yake katika economics, kwa nini nasema hivi?

Hali ilikuwa mbaya saana, na aliua mashirika yote ambayo sasa hata tunalia, yeye kama mchumi alitakiwa anngalie kwa mapana, lakini Mtoto wa haruna alichukua kama alivyosoma kwenye vitabu bila kuangalia kuwa uendeshaji wa uchumi una differ from one country to another.

Binafsi kama nikimlinganisha na mshauri wa Mkapa, basi huyo mtu anastahili heshima ya pekee, kwani aliiubadilisha uchumi kwa muda mfupi mpaka tukafikia kujijengea barabara sisi wenyewe. Huyu anatakiwa apewe u-profesa wa heshima
unachangia kama vile unakata gogo. hawa mabana zako huko ulaya wanamtaka ambao siku zote wewe na rais wako mnaenda kutega bakuli. mimi na wasiwasi na wasiwasi wako.
 
Hivi nani anakudanganya LIPUMBA anatakiwa ULAYA??????
Hebu toeni mifano ni wapi kajenga uchumi? nafasi si alipewa na Mwinyi, wabongo bwana ? Anna Muganda anastahili sifa kwa kazi nzuri aliyoifanya na Mkapa katika kujenga uchumi wa Tanzania
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom