Unfortunately; common sense isn't common to allSheria ya common sense ambayo kila mwanadamu anaitumia bila kujali kuna sheria au hakuna sheria. .....just a rule which can be applied by an ordinary man mind in the street!
Wengi hawajui hili. Tofauti ya msingi kati ya Rasimu ya Tume wa Warioba na Katiba Inayopendekezwa ni muundo wa muungano. Mengine mengi yanafananaKwa hatua tuliyonayo hata hiyo iliyopendekezwa tuanze nayo kwa sababu ni vipengele vichache sana vinavyopingana na katiba ya Warioba vingi viliingizwa. Hivyo vichache vijadiliwe.
Kitilya yuko sahihi badala ya kung'ang'ania Tume huru ya ACT afadhali ku deal na katiba ya Sitta ambayo ni comprehensive ingawa ina mapungufu yake.Huyu naye Uzee unamwingia haraka kabla ya umri. Yaani ile katiba ya CCM ndiyo anataka itumike. Seriously. Hawa Mapropesa wa CCM ni hatari sana kwa Taifa hili.
Tatizo ni hii za a ya kuomba hisani kwa Rais kupata katiba mpya. We are like hostages in our own country.Kitilya yuko sahihi badala ya kung'ang'ania Tume huru ya ACT afadhali ku deal na katiba ya Sitta ambayo ni comprehensive ingawa ina mapungufu yake.