Mzoamaganda
Member
- Aug 12, 2011
- 76
- 24
Mmmh labda mkondo wa maslahi haujakufikia. Mbaya kwa mwenzako; kwako ni bahati! Mara nyingi tuyasemayo hatuyatendi!
Hivi kweli huna aibu unatuletea habari ya gazeti hili na kutaka tuamini habari hii. Hili si kama yale magazeti fake ya Mwanahalisi kama ya udaku tuu yaliyokuwa yanatutajia mafisadi, kumbe mwishowe inaonekana eti siyo mafisadi.
Hao hao wamewasafisha. Kamanda ondoa takataka hii

Mkuu mbon unaumiza vidole vyako kumjibu huyo jamaa, huyo hana tofauti na PhD hasiyejua Inglishi au bashite(makondakita) asiyeonenaka NECTAMkuu hiyo kauli aliitoa kupitia magazeti ya Mtanzania na Tanzania Daima mwezi wa januari 2017
Mkuu mbon unaumiza vidole vyako kumjibu huyo jamaa, huyo hana tofauti na PhD hasiyejua Inglishi au bashite(makondakita) asiyeonenaka NECTA
Leo kateuliwa yeye yuko kimyaaaaa!!!! Amejiuzuru haraka haraka ushauri wa chama chake!!!! Kumbe alikuwa anatamani. Yuko vizuri lakini anafaa.Wana jamvi Salaam
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.
Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Chanzo: Tanzania Daima
"Vijana ni taifa la kesho hivyo kesho ikifika watapata ajira". Tokea nikiwa mdogo usemi ndio huu hadi nazeeka bado vijana taifa la kesho. Nafasi zote zinaendelea kushikwa na wazee!!!! Inabidi vijana tujiongeze wenyewe.>>>Tanzania tuna vijana wengi nao wanahitaji AJIRA..Sio lazima achukue hao wazee.
Naona Magufuli ameamua kuwaonyesha watanzania ni kiasi gani baadhi ya wanaomkosoa wako ROJO na walaini mbele ya chakula..Yeye akiteuliwa ATAKATAA?
Leo kateuliwa yeye yuko kimyaaaaa!!!! Amejiuzuru haraka haraka ushauri wa chama chake!!!! Kumbe alikuwa anatamani. Yuko vizuri lakini anafaa.
Leo kateuliwa yeye yuko kimyaaaaa!!!! Amejiuzuru haraka haraka ushauri wa chama chake!!!! Kumbe alikuwa anatamani. Yuko vizuri lakini anafaa.
Kuna uzi hapa unasema keshamshukuru Raisi Pombe kwa kumteua.Hahahaha anamalizia kuramba matapishi yake muda sio mrefu ataongea
Kuna uzi hapa unasema keshamshukuru Raisi Pombe kwa kumteua.
Usiulize maswali ya kijinga..
Mjinga mazako pambafuuuu!acha unafiki na wivu kelubu
Hoja hapa siyo kukataa au kukubali. Hoja je ni kweli kuna athari mbaya kwa teuzi hizi? Jenga hoja yako kwa mtazamo huu.
Ye mwenyewe hapo akiteuliwa fasta tu anafyata mkia.
Mkuu raisi hakataliwi ila zingatia ushauri wa prof.
Jibu la kipumbavuMbona kuna yule jamaa aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akakataa?
Hakuwa serikalini kk hao malekcha ni watumishi
Wewe ni kiazi kweli uwe unasoma na tarehe sio kuandika au kwa sababu jf aikucharge pesa kwa comment yako moja..... Nyie ndio internet crynbabyHivi kweli huna aibu unatuletea habari ya gazeti hili na kutaka tuamini habari hii. Hili si kama yale magazeti fake ya Mwanahalisi kama ya udaku tuu yaliyokuwa yanatutajia mafisadi, kumbe mwishowe inaonekana eti siyo mafisadi. Hao hao wamewasafisha. Kamanda ondoa takataka hii
Nilitegemea akatae uteuzi huu, kumbe alikuwa anatamani ateuliwe tu!Wana jamvi Salaam
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.
Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Chanzo: Tanzania Daima
Akatae wapi na magu alivyo na majaribu kamteua yeye kumziba mdomoYeye akiteuliwa ATAKATAA?
Umesoma Chuo gani GPA in decimal place mbili nimezoea huwa wana truncate.Nina bachelor ya Arts with Education tangu 2012GPA 3.96,naomba Rais aniteue japo niwe napanga majalada Ikulu chaki nimezichoka.