Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Unajua succession plan inahitaji kuwa na sifa na uzoefu ila kwenye academia inaendena na sifa ili uwe lecturer lazima uwe na doctoral degree no shortcut na ili uwe senior lecturer lazima uandike papers kadhaa ziwe reviewed na upate points zinazotakiwa ndipo upande si rahisi km kada nyingine. Kwa hivyo ili tupate km kina kabudi we need investment ili watu wakasome
 
Baada ya muda common wananchi wataanza kuwapuuza wasomi wetu...
Na hii inaweza kuathiri ubora wa elimu ya vijana wetu kwa siku za baadaye..
Vijana watatoka "with heads free of education"...!!
Wazee watakosa hamasa ya kuwasomesha vijana wao...!!
 
Mbona yeye anashinda ACT wazalendo? Anatafuta kiki huyo ni wivu
Ki..za ww, prof kitilla bado anaendelea kufundisha udsm pamoja na kwamba ni mshauri mkuu wa ACT Wazalendo.
Hii ni tofauti ni wateule wa rais ambao kwa sasa wamekoma kabisa kufundisha.
hongera prof kwa kuwa mkweli.
 
Wana jamvi Salaam

Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.

Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).

Chanzo: Tanzania Daima
with thousands of fresh graduates every year, a reasonable number of them qualifying for lecturing at universities i do not see any problems
 
Wana jamvi Salaam

Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.

Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).

Chanzo: Tanzania Daima

Utasikia Watanzania wanasema: "Mh Raisi anachagua makada wa CCM wasio na elimu kuongoza taasisi nyeti".

Baadae utasikia: "Kwa nini Mh Raisi hateui wasomi kuongoza vyombo vya maamuzi"?

Tena utasikia: "Raisi usiteue wahadhiri maana hatuna walimu wa kufundisha vyuo vikuu".

Hoja zote hizi zinaibua maswali lukuki.

Itoshe kusema, miluzi mingi inampoteza mbwa.
 
Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Succession plan ya kumfanya MTU kuwa senior lecturer kwa ghafla au umelala?
 
Hivi vyuo vikuu havina Chancellor or vice chancellor wakuyasemea haya ??
 
Mkuu wake wa kazi prof Mukandala aliulizwa swali kuwa UDSM haiathiriki na teuzi za wafanyakazi wake kuteuliwa na raisi kwenda kutumikia nafasi za kisiasa na kuwa wakuu wa mashirika mbalimbali? Alijibu ile ni think tank ya nchi na teuzi hazijaathiri kabisa utendaji wa UDSM sasa hapa tumsikilize Prof Mkumbo au Mkuu wa chuo Prof Rwekaza Mukandala?
 
Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Hiyo ndo maana yake mkuu. Vyuo vyetu huwa haviandai mtu wa kushika nafasi ya aliyepo kwa makusudi. Huwa wanajenga taswira ya kuwa mtu huyo ni wa kipekee na muhimu sanaaaa ili hata umri wa kustafu ukifika asistaafu aendelee kuongezewa miaka ikibidi afie kwenye madaraka/position yake. Hata kama atakuwa kishachoka lakini huwa hawataki kung'atuka kwenye ofisi.
 
Ye mwenyewe hapo akiteuliwa fasta tu anafyata mkia.
 
Wana jamvi Salaam

Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.

Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).

Chanzo: Tanzania Daima
Aache Umbea huyu jamaa.Kwani hajui kwamba wao ndio huwa wanashauri vitu haviwezekani.Wapande jukwaani wakawaonyeshe watanzania kwamba wanavyoshauri vinawezekana?Wao wanavijua vyema au ni longo longo tuu.Na si kwamba wengine ndio wanakosea maelekezo?
 
Mbona yeye anashinda ACT wazalendo? Anatafuta kiki huyo ni wivu
Yeye kuwa ACT ni tofauti na ubunge uanachama wake hakumnyimi kutumikia majukumu yake Chuoni lkn ubunge kwa kiasi kikibwa utakuwa unashughulika sana na masuala ya kitaifa,mfano binge la budget likianza linachukua all most 3 months.
Yeye yupo ACT wazalendo
 
Back
Top Bottom