Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

G

Gryulka

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Messages
524
Points
500
Age
45
G

Gryulka

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2017
524 500
Ni ushauri mzuri na atakayempinga anamatatizo ya akili
Nafikiri atakayemuunga mkono ndiye mwenye matatizo ya akili, kwa sababu leo Rais amemteua huyo Kitila Mkumbo na amekubali uteuzi kinyume na msimamo wake.. Haipendezi kumuita mnafiki.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,752
Points
2,000
Age
34
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,752 2,000
Na leo amesamaje au amekataa uteuzi?
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,174
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,174 2,000
Huo uteuzi ni as a fu*k you kwake.

Kama kumuumbua tu,then atafanya kazi wiki tatu anatumbuliwa na kurudi kushika chaki UDSM
 
M

Makusudically

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Messages
2,136
Points
2,000
M

Makusudically

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2014
2,136 2,000
Mnadhani hata Machadema yatateuliwa? Mtasubiri sanaaaa
 
N

Nomile

Member
Joined
Dec 5, 2012
Messages
99
Points
125
N

Nomile

Member
Joined Dec 5, 2012
99 125
Kwamba ni kosa kubwa kwa wabunge wa ccm kwenda kumwona mh,lema mahabusu kwasababu mh, lema ni mpinzani, hili likawa kosa la usaliti kwa chama. Ikiwa kwa ccm ilieleweka je hili laa kitila kuwa katibu mkuu si ndo baya zaidi kwa wanaccm maana mwenyekiti asishatanabaisha mahusiano yanayvopaswa kuwa kati ya wapinzani na wanaccm?

Kwako kitila, leo tunaweza kuwa tunaongelea kuingia kwako wizarani lakina hakika siku zaja tutakapongelea kutoka kwako wizarani vyovyote vile itavyokuwa hutrudi DUCE na hapo historia mpya kwako itakua inaanza upya.

Najiuliza ugumu uko wapi msomi kuyaishi mawazo yake, what went wrong my friend? abbyssuss abyssum invocat
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,783
Points
2,000
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,783 2,000
Kwamba ni kosa kubwa kwa wabunge wa ccm kwenda kumwona mh,lema mahabusu kwasababu mh, lema ni mpinzani, hili likawa kosa la usaliti kwa chama. Ikiwa kwa ccm ilieleweka je hili laa kitila kuwa katibu mkuu si ndo baya zaidi kwa wanaccm maana mwenyekiti asishatanabaisha mahusiano yanayvopaswa kuwa kati ya wapinzani na wanaccm?

Kwako kitila, leo tunaweza kuwa tunaongelea kuingia kwako wizarani lakina hakika siku zaja tutakapongelea kutoka kwako wizarani vyovyote vile itavyokuwa hutrudi DUCE na hapo historia mpya kwako itakua inaanza upya.

Najiuliza ugumu uko wapi msomi kuyaishi mawazo yake, what went wrong my friend? abbyssuss abyssum invocat

Acha wivu wa like!
 
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,640
Points
2,000
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,640 2,000
Dada yangu sio binadamu wote..

NI MAPROFESA WETU TU...
Hahahahaha

Kweli mkuu sio wote lakini idadi imeongezeka hadi kufunika kabisa wale wenye kusimamia analolisema
 
Forum statistics

Threads 1,293,773
Members 497,735
Posts 31,153,050
Top