uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,481
- 928
Kama Msigwa alivyosema mnaomwamini Lowassa mkapimwe akili sa sijui kama mlipimwa kweli ikiwemo na msigwa mwenyewe!Mkuu tunasubili kujionea ni nani sasa mwenye matatizo ya akili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanasiasa washawageuza watu kama mazuzu tu.