lesso yusuf
Member
- Jun 4, 2017
- 6
- 2
Kweli viongozi wetu wengine wametokea Jalalani
South Afrika Ramaphosa aliingilia kati na mkulima alikosea ile ataachment, huko Canada mkulima kapatia, Kabudi kashikwa gololi ndio maana alijaribu kwa siku tatu kukomboa ndege akashindwa akaona kigogo2014 atamwahi akabidi kutangaza tu.Lile jopo la wanasheria waliotumwa S.Africa si litumwe tu? ndani ya siku mbili/tatu ngoma itakuwa imeisha.
Kuna ka ukweli, udsm ni jalalani kumejaa matakataka yanayojiita wasomi hakuna kitu cha maana wanaweza fanya. Na kabudi mwenyewe alilijua hilo ndiyo maana akajitangaza kwamba yeye ni taka tena wale wa aina ya kabudi wanaojibatiza na kujiita maprofesa wao ni zile taka ngumu.Kweli viongozi wetu wengine wametokea Jalalani
Mkuu;We jamaa bhana! Eti deni lilianzishwa na mwasisi wa Azimio la Arusha. Kwahiyo hapo ndiyo namna nyingine ya kusema ccm haihusiki?
Ndo tatizo lilipo, kweli mnadharau wananchi kiasi cha kuogofya!
Sema tu serikali ya ccm imlipe mkulima, period.
Acha ushamba kijana.Vitu vinginge ni Ujinga tu. kwa nini tusiifungulie serikali ya Canada mashtaka elsewhere. wewe nimekupa hela nitengenezee ndege.. Haya kabla hajunikabidhi hiyo ndege unawezaje kusema ndege yangu? na makabidhiano lazima yawe kwenye uwanja wangu wa ndege nyumbani. hivi wanashindwa kuingiza kipengele kama hiki ndani ya mkataba. Hujanikabidhi ndege unawezaje kuiita ndege yangu
kwa mweye akili timamu hawezi kujiuliza swali la kipumbafu kama hilo kwasababu ndege zinashikwa awamu hii coz zimenunuliwa kwa cash na ni mali ya serikali na sio ATCL kama awali.Ni mtazamo wako tu. Lkn kwa mtu ambaye anajua kutumia uwezo wake wa kufikiri vizuri, lazima atajiuliza kwa nini ndege au kitu kingine chochote kikamatwe awamu hii? Je huko nyuma hakukuwa na malimbikizo ya madeni? Fikiria nje ya sanduku la uelewa wako.
Hii ndege kumbe ilikuwa bado hatujakabidhiwa????????? Mbona jamaa mkorofi sana me nlijua ilikuwa inapiga routeVitu vinginge ni Ujinga tu. kwa nini tusiifungulie serikali ya Canada mashtaka elsewhere. wewe nimekupa hela nitengenezee ndege.. Haya kabla hajunikabidhi hiyo ndege unawezaje kusema ndege yangu? na makabidhiano lazima yawe kwenye uwanja wangu wa ndege nyumbani. hivi wanashindwa kuingiza kipengele kama hiki ndani ya mkataba. Hujanikabidhi ndege unawezaje kuiita ndege yangu
Unauliza au unatoa tarifaa za kuachiwa!!?Jamani ndege yetu imeachiwa
Mbona kimya balozi na Kabudi si waliongea.Mimi najiandaa kuipokea jamani
Nauliza .Nimeona kimya .Msigwa wa ikulu hatoi tena taarifaUnauliza au unatoa tarifaa za kuachiwa!!?
Mkulima mbaya kweli kashauza tairi pengine!Nauliza .Nimeona kimya .Msigwa wa ikulu hatoi tena taarifa
Ndo ilikuwa itoke kiwandaniHii ndege kumbe ilikuwa bado hatujakabidhiwa????????? Mbona jamaa mkorofi sana me nlijua ilikuwa inapiga route