Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Lile jopo la wanasheria waliotumwa S.Africa si litumwe tu? ndani ya siku mbili/tatu ngoma itakuwa imeisha.
South Afrika Ramaphosa aliingilia kati na mkulima alikosea ile ataachment, huko Canada mkulima kapatia, Kabudi kashikwa gololi ndio maana alijaribu kwa siku tatu kukomboa ndege akashindwa akaona kigogo2014 atamwahi akabidi kutangaza tu.
Kashikwa gololi .WTF
 
Aliyesema "dawa ya deni ni kulilipa" akuwa mjinga. Serikali ya ccm ilipe deni, mbwembwe na uswahili wa kabudi avitasaidia chochote.
 
Kweli viongozi wetu wengine wametokea Jalalani
Kuna ka ukweli, udsm ni jalalani kumejaa matakataka yanayojiita wasomi hakuna kitu cha maana wanaweza fanya. Na kabudi mwenyewe alilijua hilo ndiyo maana akajitangaza kwamba yeye ni taka tena wale wa aina ya kabudi wanaojibatiza na kujiita maprofesa wao ni zile taka ngumu.
 
We jamaa bhana! Eti deni lilianzishwa na mwasisi wa Azimio la Arusha. Kwahiyo hapo ndiyo namna nyingine ya kusema ccm haihusiki?

Ndo tatizo lilipo, kweli mnadharau wananchi kiasi cha kuogofya!

Sema tu serikali ya ccm imlipe mkulima, period.
 
Mkuu;
Dharau yangu kwa wananchi iko wapi?

Mimi nimejaribu kutoa ushauri kwa serikali!
 
Vitu vinginge ni Ujinga tu. kwa nini tusiifungulie serikali ya Canada mashtaka elsewhere. wewe nimekupa hela nitengenezee ndege.. Haya kabla hajunikabidhi hiyo ndege unawezaje kusema ndege yangu? na makabidhiano lazima yawe kwenye uwanja wangu wa ndege nyumbani. hivi wanashindwa kuingiza kipengele kama hiki ndani ya mkataba. Hujanikabidhi ndege unawezaje kuiita ndege yangu
 
Acha ushamba kijana.

Ndege inakabidhiwa kiwandani.

Unatuma mainjinia wako kiwandani wakague, mkiridhika, marubani wanaichukua.

Hakuna kuletewa ndege uwanjani, hakuna sheria kama hiyo duniani.
 
Hawa wakulima mwaka huu wamechachamaa kweli... Uyu mwingine huku anataka raisi aongezewe muda, uyo wa huko anazisikizia ndege zetu airport atupore :) :) :) :)
 
Sahihi kabisa kwa hiki ulichokisema kama waziri wa mambo ya nje ila dawa ya deni ni kulipa na si vinginevyo.
 
Ni mtazamo wako tu. Lkn kwa mtu ambaye anajua kutumia uwezo wake wa kufikiri vizuri, lazima atajiuliza kwa nini ndege au kitu kingine chochote kikamatwe awamu hii? Je huko nyuma hakukuwa na malimbikizo ya madeni? Fikiria nje ya sanduku la uelewa wako.
kwa mweye akili timamu hawezi kujiuliza swali la kipumbafu kama hilo kwasababu ndege zinashikwa awamu hii coz zimenunuliwa kwa cash na ni mali ya serikali na sio ATCL kama awali.
 
Jamani ndege yetu imeachiwa
Mbona kimya balozi na Kabudi si waliongea.Mimi najiandaa kuipokea jamani
 
Vitu vinginge ni Ujinga tu. kwa nini tusiifungulie serikali ya Canada mashtaka elsewhere. wewe nimekupa hela nitengenezee ndege.. Haya kabla hajunikabidhi hiyo ndege unawezaje kusema ndege yangu? na makabidhiano lazima yawe kwenye uwanja wangu wa ndege nyumbani. hivi wanashindwa kuingiza kipengele kama hiki ndani ya mkataba. Hujanikabidhi ndege unawezaje kuiita ndege yangu
Hii ndege kumbe ilikuwa bado hatujakabidhiwa????????? Mbona jamaa mkorofi sana me nlijua ilikuwa inapiga route
 
NADHANI KUNA MAHALA PANA TATIZO SERIKALI IONE NAMNA YA KUMALIZA HII SHIDA KWA UTULIVU NA SIYO MIHEMKO HAIWEZEKANI MTU HUYO HUYO AKAWA ANAISUMBUA GVT KIASI HIKI HALAFU TUKAMWONA NI MWENDAWAZIMU
 
Back
Top Bottom