CCM wata mbemenda.Daah ni kweli jamaa ni kichwa i see. Bravo prof
CCM wata mbemenda.Daah ni kweli jamaa ni kichwa i see. Bravo prof
Profesa yupi huyu huyu anayelala ofisini?Profesa Kabudi ni namba ingine kwenye kitivo cha ufaulu wake WA digrii ya sheria chuo kikuu cha dar es salaam rekodi yake ya ufaulu haijawahi vunjwa na yeyote toka Tanzania ipate uhuru hadi leo kwa yeyote anayesoma digrii ya sheria. Mwanae pia aliweka rekodi ya ufaulu chuo kikuu cha ardhi ambayo haijawahi vunjwa tokea Tanzania ipate uhuru na haijavunjwa hadi Leo. Huyo huwezi mshindanisha na wapiga yowe na makelele Kama akina Lisu, mbowe, akina lema na Sugu the music rapper.Mwingine mwenye akili kupindukia ni profesa Lipumba alivunja rekodi ya ufaulu kwenye digrii ya uchumi chuo kikuu cha dar es salaam ambayo toka uhuru hadi sasa Hakuna mtanzania aliyevunja rekodi ya Lipumba
Makando hoyeeeAngeendelea siku nzima ningemsikiliza bila kuchoka
Hapa kazi tu
and why mention Sugu... kwa nini usimtaje naibu spika kwamba ndiye anatoa macho
Kwa mfano hayo maswali hata ungepewa na majibu yake ungekuwa mahiri kama Professor kwa mfano!Umemsifia sana lakini naomba nikuulize kwa nini maswali ya nyongeza ya Mh Mulugo amejibu kwa kusoma majibu? Ina maana hata hayo maswali ya nyongeza alishapewa hivyo ni kiini macho
Makando hoyeee
Mwalimu wa Family Law wa muda mrefu chuo kikuu cha DSM
na ccm ina wish nawewe usiwepo... joking mkuuI wish ccm kisiwepo kwanza!
Hakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!
Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.
Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.
Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.
Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.
Mungu amsimamie afike mbali.
Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.




Magufuli anatisha sana. Maana ma prof ma dokta aliowateua ndio wanaonyesha huu uwezo