Prof. Kabudi afunika bungeni

Prof. Kabudi afunika bungeni

Huna akili ndugu....ungepita udsm faculty of law ungemfahamu...kwa kuwa nyinyi mmesoma maporini bakini kama mlivyo nyambaf


Mwanafunzi wa professa mahiri umeshindwa kupinga hata hoja moja nilizoonyesha madhaifu ya Palamagamba, umeishia kutukana.

Wakati ukiwa mwanafunzi wake UD ulikuwa mtoto mdogo, ndo maana akaku mesmerize, ulikuwa huna upeo wa kuchambua mchele na pumba anazotapika mwalimu.

Professor anajifanya mtaalam wa lugha lakini anasema serikali ilipitisha THE LAW OF CHILD ACT. Kama wewe ni distinguished intellectual basi sikika tofauti na vilaza wengine wanaoita sheria THE LAW OF CHILD ACT.

Kasema hawezi kuleta muswada wa kuwezesha bunge kushiriki kutunga miswada, kama Mulugo alivyoomba, kwa sababu hilo liko nje ya mamlaka yake Waziri. Mpaka hapo kaeleweka, halafu akaongeza manjonjo: HILO NI SUALA LA BUNGE LENYEWE. LAKINI NITATOA INDARI. HAITAKUWA MUAFAKA.

Nini hakitakuwa muafaka?

Unawatisha watoto wako wa kitivo ambao wamekuja chuo kutoka bara hawajui Kiswahili? Uko bungeni sasa hivi mheshimiwa.
 
Its really an exciting and humble Prof wacwac wangu ni kwamba acje akabadilika na kuendana na upepo wa CCM na pia ili apate heshima zaidi inabidi arudishe rasimu ya pili ya Warioba bungeni,binafsi nimependa alivyo mjibu Waitara kwa kutoa mfano hai,good to you Prof.
 
Sisi katika uislamu sheria za ndoa hatuhitaji kutungiwa na bunge wala chombo chochote tokea Quran tukufu imebainisha haya yote kwa waumini wake, kuanzia umri nk. na ata zipitishwe sheria ngapi katika hili waislamu hawataweza kubadilika na utaratibu wao wa ndoa.

Kwenda Bijing na kudai haki ambazo tayari zimebainishwa katika vitabu kutoka kwa Mungu haisaidii chochote.
 
Kwa hiyo wewe na iq yako kwa sasa bombadia ndio kipaumbele cha watanzania walio wengi!! Kama ni hivyo basi sawa tuwasubiri kipindi cha kampeni. Hivi USA ina shirika la ndege la kibiashara la serikali? Naomba kujuzwa tu
Soma tena post yangu kuelewa ujumbe uliomo kwa ufasaha.
.
 
Back
Top Bottom