Prof. Kabudi afunika bungeni

Prof. Kabudi afunika bungeni

Hakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!

Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.

Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.

Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.

Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.

Mungu amsimamie afike mbali.

Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.

Umemsifia sana lakini naomba nikuulize kwa nini maswali ya nyongeza ya Mh Mulugo amejibu kwa kusoma majibu? Ina maana hata hayo maswali ya nyongeza alishapewa hivyo ni kiini macho
 
hhahaha anajibu swali la mulugo (kilaza wa mwendo kasi)

anajibu kwa kusoma kitu ambacho alisha àndaa hata ww bashite ungeweza

sijaona jipya la kufanya ulete bandiko.
 
Hakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!

Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.

Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.

Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.

Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.

Mungu amsimamie afike mbali.

Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.

Sasa ndugu mbona hueleweki? Wewe mwenyewe umesema Prof ameonyesha usikivu na unyenyekevu kwa wabunge wote iweje wewe unamkosea adabu Mh Sugu? Hakika nchi haitaendelea hadi pale utaifa wetu utakapopewa nafasi badala ya uvyama!
 
Akianza kuongelea uraia pacha nishtue,maana naogopa kuchukua passport ya Malkia mpaka TZ iruhusu.
 
Yeyote aliye ndani ya ccm ni adui wa maendeleo ya kweli kwa watanzania. Vimaendeleo wanavyofanya ni vya hadaa ya kuombea kura tu kipindi cha uchaguzi. Tunasubiri mtakavyotetea ununuzi wa ndege kwa maendeleo ya Taifa kipindi cha kampeni

Nothing is bad in itself. Sasa wewe mwenzetu umetoka wapi. Yani uchama umekutawala mpka unakosa hata mantiki
 
Hakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!

Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.

Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.

Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.

Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.

Mungu amsimamie afike mbali.

Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.

Profesa Kabudi ni namba ingine kwenye kitivo cha ufaulu wake WA digrii ya sheria chuo kikuu cha dar es salaam rekodi yake ya ufaulu haijawahi vunjwa na yeyote toka Tanzania ipate uhuru hadi leo kwa yeyote anayesoma digrii ya sheria. Mwanae pia aliweka rekodi ya ufaulu chuo kikuu cha ardhi ambayo haijawahi vunjwa tokea Tanzania ipate uhuru na haijavunjwa hadi Leo. Huyo huwezi mshindanisha na wapiga yowe na makelele Kama akina Lisu, mbowe, akina lema na Sugu the music rapper.Mwingine mwenye akili kupindukia ni profesa Lipumba alivunja rekodi ya ufaulu kwenye digrii ya uchumi chuo kikuu cha dar es salaam ambayo toka uhuru hadi sasa Hakuna mtanzania aliyevunja rekodi ya Lipumba
 
Hivyo ndio Mawaziri wote wanapaswa kuongea..
Kwangu ni wa kawaida.
Though I doubt if he will survive in this government sababu namuona ni mtu mwenye misimamo yake. Sio mtu wa kuburuzwa kama kina Mwakyembe au Bashite .
 
Siku atakapo badilika Mleta mada utajikimbikia n'a bandiko lako pia utarikataa.

N'a siku hiyo ndipo, utaelewa ni Kwa nini shahada ya siasa inaitwa "political science " na siyo "political arts"
 
mleta mada kuna nini cha maana hapo?au kwa kuwa kachapia kiingereza?acha ushabiki wa kitoto ni mweupe tu.....ccm hakuna wa maana !
 
Back
Top Bottom