Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Ungemuacha tu ameandika Upupu mwingi nadhani ni mwandishi tu mzuri ila hana hoja
Wengi wanamwona Prof kwenye TV
Janabi mara zote anasisitiza healthy lifestyle
Sasa mtu anabisha foamy urine sio alert ya Renal diseases
Foamy urine can be an alert for a kidney disease.

BUT Not necessarily a symptom for a kidney disease.

Remember keyword…“can be” and not “is”

Foamy urine can be a sign of a kidney disease ONLY if with other symptoms.

Kaazi kweli kweli.
 
Mleta mada mwenyewe kaleta bandiko bila facts,bila scientific evidence, bila research.
 
Umewahi kufua Nguo??
Basi ukiweka foma au Sabuni ya Omo bhasi Kiasi cha mkojo huwa hivyo..
Sio Bubbles ambazo zinatokea Kulingana na Speed ya mkojo hapana..

Buble kama ukiweza kukojoa bhasi huwa zinapotea ndani ya Dakika Moja mpaka Mbili ila Mkojo wenye povu hubaki mpaka hata Dakika kumi
Kumbe lile povu la dk 1 hadi 2 halina shida, maana nilianza kuingia ganzi.
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Research and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Je kila mtu ale kipande kimoja ya muhogo? Au kipande kimoja cha mkate kama alivyosema bila kujali kazi ya mtu?
 
Una hoja na isikilizwe maana kadili anavoendelea kutoa mitizamo watu wanazid kuchukulia kawaida itatokea mtu mwenye ushauri sahihi hatosikilizwa.
 
Janabi Kamaliza MD Mwaka 1989 kutoka chuo cha kharkov Medical Institute..

Kafanya Internship mwaka 1990, Muhimbili Medical Center..

Liverpool School of Tropical Medicine Fazakeley Hospital UK Junior House Officer mwaka 1992 akachukua Post Graduate Diploma Ina Tropical Medicine..

Akasoma MMED, University of Queensland in Australia (MMED ya Internal medicine ) Mwaka 1995..

Fellowship Kafanya kutoka Fellow American College of Cardiology (FACC) mwaka 1995 mpaka 2000 na Akapata PhD ya Cardiology...

Post Doctorate Alizofanya ni..

Internal Medicine and Molecular Science, Graduated in School of Medicine Osaka University Hospital Osaka, Japan 2004 (Post Doctorate)

Bergen University Norway Cardiology Department
and Medical University of South Carolina-USA Clinical attachment ya mwaka 2005
Kuna njemba mwingine humu alizusha kwamba Joseph Warioba hajawahi kuwa Jaji. Ilibidi nijichimbie zaidi, na nikakuta alishakuwa Jaji wa International Tribunal for the Law of the Sea, and the East African Court of Justice. Njemba kakimbia sijamwona akichangia tena, ingawa alianza kwa mbwembwe sana.
 
Mh Prof Janabi, hongera kwa kazi nzuri kwa Taifa lako Teule na nina kushukuru sana kwakuwa msomi unaye itumia elimu yako vyema kwa jamii yako.

Prof Janabi nilifurahi sikia uteuzi wako ila roho ikaniambia nisifurahi sana ila nikukumbushe kufungua macho nakutafakuri juu ya safari yako.

Tafadhali rejelea zile sifa na huu uzi

Prof Janabi wewe ni muislam na ktk dini yetu ya kiislam kuna mafundisho ya elimu ahera na elimu dunia.

Sina uhakika kama umewahi soma juu ya elimu ya viumbe kama majini na viumbe vingine.
Leo nataka kidogo nikugusie.

Prof Janabi sio kila kinacho meremeta basi kinaweza kuwa kweli vipo viumbe ukiviona kwa mbali waweza tamani kuvigusa ila ukaribiapo ndipo ukutanapo na dhoruba.

Prof Janabi mimi ni mmoja wa wanafunzi wako wa youtube ila pia nimtu nimetokea kukubali sana hasa akili na uwezo mwenyezi Mungu amekupa.

Natamani Mungu wa Mbinguni akufunulie kesho yako na akuonyeshe mitego ya wanadam inayo fanana na maua mazuri.

Prof Janabi utakubaliana na mimi moyo wako umebeba mambo mazito yakitaifa na kidunia tena mambo yasiri jambo linakutenga na wanadam. Mola akupe subira. Mola akupe imani kama imani Ya mh Jaji Mkuu wetu.

Prof Janabi sijuwi kabila lenu ila nenda kwa wazee wanyumbani kwenu na kwenye makaburi ya wazee wa nyumbani kwenu maana wana neno juu yako.

Toa sadaka kwa wazee wanyumbani kwenu na sadaka nyingine kwa maana wana neno zito juu yako. Utakapo toka huko utakuja ukiyaona ambayo hukuwa unayaona na kuyasikia ambayo hukuwa una yasikia.

Mkwere kwenye hotuba yake hadimu aliwahi sema "ukipenda pigiwa makofi basi usiogope kuzomewa"
 
Hata uepuke kiasi gani au umfuatilie kiasi gani Prof Janabi katika kula UTAKUFA tu. Utaogopa kufa kwa hizo Non Communicable Disease lakini utakufa kwa maradhi yatikanayo na lishe duni!!

Kwani kwa akili yako unavyomuona Prof Janabi unadhani ni mzima? Muangalie alivyonyauka, kakondeana kama mgonjwa wa utopia mlo, uso mweusi kama ngozi ya goti. Huyu Janabi akienda coco Beach hawezi kuachwa na ule upepo wa bahari.

Haya maisha mafupi, unatafuta hela bado huwezi kula vizuri kisa unaogopa kupata hypertension au diabetes, kwani unataka kuishi miaka mingapi? Maana nayo kuishi miaka mingi kama akina Musuguri au Charles Njonjo (RIP) nayo ni changamoto kubwa
Kheeee Janabi aione hii K.K
 
Yani unamshauri profesa aende makaburini kutambikia!!?

Halafu we jamaa unajiitaga mkristo, umesilimu lini ukawa muisilamu?
 
Tunatishanaga sana ndugu zangu

Kifo kimeanza enzi ya mbaali sana tusilisahau hilo

Kuna kipindi tufike mahala pa kukubaliana na kutiana moyo na kuombeana mema

Ninachoamini, kila mtu atatembea kwenye yale yale ambayo Mungu kamwekea

Hilo..! Hata atokee shetani wazi wazi mbele yako, kama limeandikwa na Muumba wako, shariti litimie tu na halitazuwiwa na nyamkera yeyote
 
Kumekucha

Ustaadh Yasin: Kisomo hadi ugundue " ndio kinatenda" mnakuwa mko karibu kumalizika
 
Mh Prof Janabi, hongera kwa kazi nzuri kwa Taifa lako Teule na nina kushukuru sana kwakuwa msomi unaye itumia elimu yako vyema kwa jamii yako.

Prof Janabi nilifurahi sikia uteuzi wako ila roho ikaniambia nisifurahi sana ila nikukumbushe kufungua macho nakutafakuri juu ya safari yako.

Tafadhali rejelea zile sifa na huu uzi

Prof Janabi wewe ni muislam na ktk dini yetu ya kiislam kuna mafundisho ya elimu ahera na elimu dunia.

Sina uhakika kama umewahi soma juu ya elimu ya viumbe kama majini na viumbe vingine.
Leo nataka kidogo nikugusie.

Prof Janabi sio kila kinacho meremeta basi kinaweza kuwa kweli vipo viumbe ukiviona kwa mbali waweza tamani kuvigusa ila ukaribiapo ndipo ukutanapo na dhoruba.

Prof Janabi mimi ni mmoja wa wanafunzi wako wa youtube ila pia nimtu nimetokea kukubali sana hasa akili na uwezo mwenyezi Mungu amekupa.

Natamani Mungu wa Mbinguni akufunulie kesho yako na akuonyeshe mitego ya wanadam inayo fanana na maua mazuri.

Prof Janabi utakubaliana na mimi moyo wako umebeba mambo mazito yakitaifa na kidunia tena mambo yasiri jambo linakutenga na wanadam. Mola akupe subira. Mola akupe imani kama imani Ya mh Jaji Mkuu wetu.

Prof Janabi sijuwi kabila lenu ila nenda kwa wazee wanyumbani kwenu na kwenye makaburi ya wazee wa nyumbani kwenu maana wana neno juu yako.

Toa sadaka kwa wazee wanyumbani kwenu na sadaka nyingine kwa maana wana neno zito juu yako. Utakapo toka huko utakuja ukiyaona ambayo hukuwa unayaona na kuyasikia ambayo hukuwa una yasikia.

Mkwere kwenye hotuba yake hadimu aliwahi sema "ukipenda pigiwa makofi basi usiogope kuzomewa"

Prof Janabi kuna jambo zito mbele yako na nilazima ulishinde Inshallah mimi nakutakia heri. Amina☆☆☆
Watu wa west Africa ni hatari inabidi mtu ukae vyema na Mungu.
 
Mimi nipo tofauti naona Kuna jitu kubwaa litameza ndoano by 2025 au mwanzoni mwa 2026! Na bendera zitapepea nusu mlingoti!!
 
Mh Prof Janabi, hongera kwa kazi nzuri kwa Taifa lako Teule na nina kushukuru sana kwakuwa msomi unaye itumia elimu yako vyema kwa jamii yako.

Prof Janabi nilifurahi sikia uteuzi wako ila roho ikaniambia nisifurahi sana ila nikukumbushe kufungua macho nakutafakuri juu ya safari yako.

Tafadhali rejelea zile sifa na huu uzi

Prof Janabi wewe ni muislam na ktk dini yetu ya kiislam kuna mafundisho ya elimu ahera na elimu dunia.

Sina uhakika kama umewahi soma juu ya elimu ya viumbe kama majini na viumbe vingine.
Leo nataka kidogo nikugusie.

Prof Janabi sio kila kinacho meremeta basi kinaweza kuwa kweli vipo viumbe ukiviona kwa mbali waweza tamani kuvigusa ila ukaribiapo ndipo ukutanapo na dhoruba.

Prof Janabi mimi ni mmoja wa wanafunzi wako wa youtube ila pia nimtu nimetokea kukubali sana hasa akili na uwezo mwenyezi Mungu amekupa.

Natamani Mungu wa Mbinguni akufunulie kesho yako na akuonyeshe mitego ya wanadam inayo fanana na maua mazuri.

Prof Janabi utakubaliana na mimi moyo wako umebeba mambo mazito yakitaifa na kidunia tena mambo yasiri jambo linakutenga na wanadam. Mola akupe subira. Mola akupe imani kama imani Ya mh Jaji Mkuu wetu.

Prof Janabi sijuwi kabila lenu ila nenda kwa wazee wanyumbani kwenu na kwenye makaburi ya wazee wa nyumbani kwenu maana wana neno juu yako.

Toa sadaka kwa wazee wanyumbani kwenu na sadaka nyingine kwa maana wana neno zito juu yako. Utakapo toka huko utakuja ukiyaona ambayo hukuwa unayaona na kuyasikia ambayo hukuwa una yasikia.

Mkwere kwenye hotuba yake hadimu aliwahi sema "ukipenda pigiwa makofi basi usiogope kuzomewa"

Prof Janabi kuna jambo zito mbele yako na nilazima ulishinde Inshallah mimi nakutakia heri. Amina☆☆☆
Mtego alioingizwa janabi ni ule ule alioingizwa Bashungwa!!

Yaani kasogezwa karibu Ili wamspin vizuri!!

Katika kipindi hiki ambacho viongozi wanakufa vifo tata refer mafuru na Ndugulile wamekufa bila kujua walikua wanagonjeka wapi na Kwa muda gani, ni kipindi ambacho Kila nafsi ya kiongozi IPO makini sana!!!

Janabi anajulikana yeye alikua nani kwenye taifa hili kabla ya march!nhoja nicheki hii movie!!

Halafu mbona hujiulizi kijana mpendwa wa maaskofu ndugu Bashungwa kawekwa Ili achafuliwe kumuondolea sifa!!?au kuandaliwa!!?

Je Teka Teka itaisha akiwa waziri was mambo ya ndani!!?

KAZI kwako !
 
Wenye WHO yao hawataki lijitu toka Tanzania, Janabi Kaa mbali na WHO. Jiulize yaliyompata Ndugulile yametoka wap
 
Back
Top Bottom