Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Seems he got no clue achana naye
Man failed to understand sufficient risk factor

I can’t fail to understand sufficient risk , you are very junior kwenye medical , your responses can tell me that

Focus kwenye my thread na msibadili hoja za uzi dhidi ya Janabi
Ikiwezekana mfikishieni ujumbe and how science works
 
Na mimi Naona, hawa Junior Dr wa siku hizi wa miaka ya 2000 Wana mambo mengi sana, Wanahisi wamajua kuliko Madaktari wote..

Sasa kulikuwa na Haja Gani ya Kifanya Defamation ya Proff Janabi ili akamilishe Wasilisho lake?

Kama alikuwa na Hoja angeiwasilisha bila Kejeli wala Kufuru kwa Janabi..
Critic inaruhusiwa ila sio Critic inayolenga Kudefame
Sahihi nimesikitishwa sana
 
Wewe upo subjective and I wonder how you became a scientist , you are too subjective kama ubavu wa kushoto

Do you know the meaning of defamation!?

Nielezee kwanza maana yake nione kama tunaongea lugha moja
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Umenena kwa Hekima SAAAANA MKUU
 
Nipo kwenye Medical industry huu mwaka wa 23 na miezi sita..
So Kama kuna hoja tofauti na hiyo karibu

Asilimia 99% ya watanzania wanaoishi wote wana Figo unless wawe wamekufa..

Na kuhusu research nitakupa Nikitoka Nilipo kama masaa mawili hivi kutoka sasa Ikifika Saa Kumi na Mbili Jioni nitakupa..

Kama wewe ndio una 23 years kwenye field , nasema tena bado mfumo wa elimu wa Tanzania unashida, hasa kwenye upande wa medical !
 
Wewe upo subjective and I wonder how you became a scientist , you are too subjective kama ubavu wa kushoto

Do you know the meaning of defamation!?

Nielezee kwanza maana yake nione kama tunaongea lugha moja
Kwanza Kabisa ume "mention" Jina lake na kusema Hafati Ethical za Kitabibu bali anafanya siasa..

Hii tayari ilitosha Kukuonyesha Ulivyodefame ukiacha maneno mengine uliyokuwa unayaandika kwenye Comments..

kiukweli nimerudi kusoma Hoja zako tena kuna baadhi ya hoja ziko sawa Na Zinahitaji majibu kutoka NIMR au sehemu zingine za Research studies..kutoka Tanzania..
Na zingine zimefanyiwa research na studies zipo..

Japo kuna baadhi ya vitu unahitaji kujifunza najua wazi kwa Hoja zako ulivyozipanga na ulivyozitetea na jinsi unavyoandika hapa Ni wazi nimejua Kada Unayotokea kwenye Medical Field.. You are a Scientist..

You Scientists (Medical Labs), Sometimes mnahitaji kujua Upande wa Kitabibu "Medical" Kabla ya kuja Na conclusion kwenye maswala haya..

Huwezi kumtibu Mgonjwa au Kupima tu bila kujua hasa anapresent na Dalili gani na kulingana na dalili hizo Dx yake ni Ipi..

Ukishakuwa na Impression ndo Unacomfirm na baadae unafanya Intervation aiza kwa Matibabu ambayo ni pharmacetical au Surgical

Shukrani sana
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Shida ya Janabi anachanganya “causal vs correlation”.

Akielewa hapa ataacha ku intimidate wananchi. Utaacha gambe kwa hofu ukose raha 😀.
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Umepanik mkuuu
 
JANAB ANA UTOTO FLANI WA KUTAKA KU TREND.
 
JANABI ANA TATIZO KISAIKOLOJIA. HAIJALISHI KASOMA WAPI AU ANA CHEO GANI. SIYO MZIMA KIAKILI.
 
Tatizo letu watanzania ni ujuaji. Wewe ni professional MD? Au wewe ni scientist (Medical scientist) ?.. wewe mbona huja back up maelezo yako na statistics (I mean figures).

Hapo MNH anapokea wagonjwa wengi sana na wenye cases tofauti tofauti hivyo ukiachana tu na utaalamu pia bado ana uzoefu wa kutosha hiyo unayosema ni generalization haijatoka tu kwa mtu mmoja au wawili, watu ni wengi na matatizo ni yale yale..

Ni kweli yeye sio nutritionist au dietician lakini ana play part yake kama health care provider wala sio intimidation maana non infectious diseases mara nyingi hutokea kutokana na kutokuwa na good life style adjustments na yeye ndo anapogusia hapo hapo.

Sasa hivi unaweza kuona kama porojo ila Ukipata renal failure ukaanza program ya dialysis ndo utaelewa nini alikuwa anamaanisha. Acha kabisa Cardiovascular disease, diabetes, renal diseases kwa sasa ni hatari zaidi kuliko hata STDs and STIs maana mtu atatumia Kondomu lakini si kuacha kutumia sukari, mafuta, pombe, n.k kupita maelezo.
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Kwa hili povu na unavyokabia juu wewe DR Mambo Jambo waweza kuwa ndiye Prof Janabi mwenyewe.
 
Huna cha kunifundisha na sina cha kujifunza kwako and probably huna cha kujifunza kwangu , then let’s talks fact and scientifically

Symptomatic treatment, is it a practical treatment ? I am doubting kama na wewe ni MD au ndio wale wakukaririshwa kwenye anatomy !

Niletee data za watu 200 ambao wamekojoa mkojo wa povu and had issue kwenye kidney ? Wapo watanzania wengi tu ambao wanakojoa povu , nenda kawapime na uniletee majibu,

I am still doubting kama upo kwenye medical industry ikiwa unashindwa kujua other factors ambazo healthy person anaweza kukojoa povu na asiwe na dalili yoyote ya figo ,

Research za Alcohol zina onesha alcohol kama risk factor, stop being dumb , Alcohol isn’t causal relationship to kidney disease , leta hiyo research inayosema Alcohol inasababisha kidney disease. If that is the case , watanzania wote wangekuwa na figo

It is such a shame kusoma maandishi yako

Mkuu wa taasisi ni kwako mimi inanihusu nini, I am presenting facts , bring your facts and let’s talk

stop being emotional and subjective focus kwenye point and debate it scientifically.

Unazungumzia research za uprof ambazo 90% zinafanywa na wanafunzi kisha zinakuwa published na masupervisor na kupelekea u prof
Hizo Fellowship unazozungumzia , tell me zinashida gani kuzipata? One of the easiest thing kupata hizo fellowship hasa kwa kipindi hiki , acha kutumia maneno as if kuna anything , kwa mentality unayoonesha sidhan hata kama umeshawahi kutoka nje ya hapo TZ

Sio kila mgonjwa mwenye homa kali na kichwa maana yake ana malaria, you can’t focus kwenye symptoms ukaenda ku generalize

hakuna science wala medical ya namna hiyo na ukweli uongewe na ni kuleta intimidation kwenye society , the MoH should stop him sio jukumu lake kuwaambia watu what to eat and not what to eat bila ya kuwa evidence za kutosha

Tusiwe nchi ya mtu yoyote ataongea chochote, msemaji wa mambo ya Afya Tanzania ni Wizara na sio Janabi,
Huna elimu kama unayo basi ni wale educated fools. Wewe ndo umekaririshwa na hiyo point yako kuwa “ Alcohol ni risk factor” bila kutambua pia kutokana na phase ( Acute or Chronic) hiyo alcohol pia inaweza kuwa causal factor.
 
Na mimi Naona, hawa Junior Dr wa siku hizi wa miaka ya 2000 Wana mambo mengi sana, Wanahisi wamajua kuliko Madaktari wote..

Sasa kulikuwa na Haja Gani ya Kifanya Defamation ya Proff Janabi ili akamilishe Wasilisho lake?

Kama alikuwa na Hoja angeiwasilisha bila Kejeli wala Kufuru kwa Janabi..
Critic inaruhusiwa ila sio Critic inayolenga Kudefame
Hata uepuke kiasi gani au umfuatilie kiasi gani Prof Janabi katika kula UTAKUFA tu. Utaogopa kufa kwa hizo Non Communicable Disease lakini utakufa kwa maradhi yatikanayo na lishe duni!!

Kwani kwa akili yako unavyomuona Prof Janabi unadhani ni mzima? Muangalie alivyonyauka, kakondeana kama mgonjwa wa utopia mlo, uso mweusi kama ngozi ya goti. Huyu Janabi akienda coco Beach hawezi kuachwa na ule upepo wa bahari.

Haya maisha mafupi, unatafuta hela bado huwezi kula vizuri kisa unaogopa kupata hypertension au diabetes, kwani unataka kuishi miaka mingapi? Maana nayo kuishi miaka mingi kama akina Musuguri au Charles Njonjo (RIP) nayo ni changamoto kubwa
 
Back
Top Bottom