Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Me nachojua yule mzee ni Politician kitengo cha Afya. Mwakilishi wa Serikali Mahospitalini.
 
Mkuu,tunatakiwa kuwa makini sana na hawa tunao waita/tunao waona wasomi na wataalam,hasa utaalam huo unapo husiana na afya zetu.Mtoa mada ameeleza vizuri na kuonyesha mashaka yake kwa mtaalam mbobezi,prof.Janabi kuwa anaingiza siasa kwenye afya za watu,yupo sahihi.Nikukumbushe kidogo, mwaka 2020 kipindi cha janga la ugonjwa wa uviko 19,kulitangazwa kupatikana kwa chanjo ya ugonjwa huo.Wataalam wetu mbalimbali wa afya walielezea mashaka yao juu chanjo hizo, ila kuna huyu Dr.MOLEL-Naibu Waziri wa afya, aliidadavua kisayansi zaidi akidhihirisha ubobevu wake kwenye sayansi na kuonyesha mashaka namna hasara ilivyo kubwa kuliko faida na hata kuishauri serikali ya JP.MAGUFULI isiipokee hiyo chanjo.Lakini Dr.MOLEL huyo huyo [kwenye utawala huu wa SSH]alibadilika na kuisifia chanjo kuwa ni nzuri na haina madhara kama vile hakuwahi kuisemea vibaya,huku akimpongeza raisi kwa kuamua kileta chanjo.Kwaufupi tu,tunapaswa kuwa makini sana nao,tusiwaamini kirahisi tu kwa kigezo utaalam bobevu.
Hakika ndugu tunapaswa kuwa makini na kumakinika lakini mimi binafsi nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa masomo ya huyu profesa Janabi.......

Mimi kwa mtazamo wangu.....sijaona ubaya anachokizungumza Janabi hasa ukizingatia yeye ndio anayepokea na kuwahudumia hao wagonjwa na uzoefu alioano kwenye uwanja huo......,

Lakini pia prof Janabi katika maongezi yake anasisitiza sana kufanya mazoezi...... anasisitiza sana kuufanyia mwili kazi.......anasema at least hata utembee hatua 1,000 Kwa siku na sio kujikalia huku ukiwa umeshiba..........

Anasema vyakula tunavyokula ni vyakula vya wanga ambavyo ni hatari lakini uhatari unaongezeka zaidi ikiwa intake yako haiendani na shughuli za mwili wako.........

Anasema kuwa kule kula kula hovyo pasi na kuufanyia kazi huo msosi ndio kunazaa unene uliopitiliza na kukaribisha maradhi mengine.......lakini kimsingi ni kuwa watu hawazingatii milo na kufanya mazoezi.......

Mimi kwa mtazamo wangu sioni ubaya wa Janabi kama kujikwaa ni kibinadamu tu...... lakini watu wameipokea kwa munkari mkubwa kana kwamba huyu bwana amewapangia maisha yao.........

Janabi hajamtisha mtu bali ameongea ukweli kutokana na hali zetu hayo mengi yasiyoambukiza tiba zake zina gharama kubwa Sana ambayo Sisi hatuimudu......sasa kwanini tusichukue tahadhari ili kuepukana nayo.......kwanini tusibadili mifumo ya maisha......

Nadhani namna ambavyo tumeipokea kwa fikra hasi ndio sababu ya malumbano haya tunayoyona mitandaoni.......

Lakini mwisho wa siku yeye kama mtaalamu ametoa ushauri tu....kuufuata ni khiyari ya mtu au kuacha pia khiyari ya mtu.......
 
Mkuu,tunatakiwa kuwa makini sana na hawa tunao waita/tunao waona wasomi na wataalam,hasa utaalam huo unapo husiana na afya zetu.Mtoa mada ameeleza vizuri na kuonyesha mashaka yake kwa mtaalam mbobezi,prof.Janabi kuwa anaingiza siasa kwenye afya za watu,yupo sahihi.Nikukumbushe kidogo, mwaka 2020 kipindi cha janga la ugonjwa wa uviko 19,kulitangazwa kupatikana kwa chanjo ya ugonjwa huo.Wataalam wetu mbalimbali wa afya walielezea mashaka yao juu chanjo hizo, ila kuna huyu Dr.MOLEL-Naibu Waziri wa afya, aliidadavua kisayansi zaidi akidhihirisha ubobevu wake kwenye sayansi na kuonyesha mashaka namna hasara ilivyo kubwa kuliko faida na hata kuishauri serikali ya JP.MAGUFULI isiipokee hiyo chanjo.Lakini Dr.MOLEL huyo huyo [kwenye utawala huu wa SSH]alibadilika na kuisifia chanjo kuwa ni nzuri na haina madhara kama vile hakuwahi kuisemea vibaya,huku akimpongeza raisi kwa kuamua kileta chanjo.Kwaufupi tu,tunapaswa kuwa makini sana nao,tusiwaamini kirahisi tu kwa kigezo utaalam bobevu.
Mtoa mada ametoa mada bila ushahidi wa kisomi. Ili hoja zake zikubalike lazima ziwe hoja ambazo zimetoka kwenye vyanzo sahihi vya mada husika. Yaan hoja ziwe na ushahidi wa kisayansi.

Mfano:Mtoa mada alitakiwa, ainishe machapisho kadhaa, kutoka kwenye Journal sahihi za medical na hasa za kimataifa. (IJM).Hii, Ina, maana kwamba alitakiwa atoe orodha za et least abstracts tano tu ambazo zinaonyesha, machapisho yenye knowledge anayoiunga mkono na author wake . Na pia machapisho hayo yasiwe zaidi ya miaka kumi.

Aidha, kwa kuwa machapisho mengi yanakuwa na majibu yanayotafautiani. Yaan, mixed results, tungemwomba mtoa maada huyu atupe, abstract ya chapisho lake kwenye hiyo maada, ambalo lina support kile anachokisema. Na chapisho hilo liwe kwenye international journal(IJM).

Nimemwomba afanye hivyo kwa kuwa amempinga Prof Janabi, ambaye ametoa machapisho ya kutosha. Kwa wasomi hoja ujibiwa kwa research not otherwise.
 
Kwa hiyo hata Prof Janabi anapotoa maelekezo yake kwa umma awe anafanya pia rejea ya hizo IJM si ndiyo?
 
Kweli ni upi?
Ukweli bila facts ni Imani

Tuseme basi imani ya Janabi
Ukweli kutokana na case anakutana nazo kila siku, wewe facts unazozisema ziko wapi, toa references za hayo unatetea..zikiwemo publication zako mwenyewe hata mbili tu!
 
Kwa hiyo hata Prof Janabi anapotoa maelekezo yake kwa umma awe anafanya pia rejea ya hizo IJM si ndiyo?
Wewe unapataje shida kufahamu anayosema Prof. wakati yeye anakutana na wagonjwa kila siku, unaweza kuamini rejea zaidi kuliko maelezo ya mtu anayekutana na wagonjwa? inawezekekana si rahisi kuhoji ubora wa vyakula na vinywaji vinavyotengenzwa viwandani hapa nchini..lakini kwa anayesikiliza anachosema na kufuatilia utengenezwaji wa vyakula na vinywaji mfano pombe hapa ndani, utapata jibu na utajua nini cha kufanya kama ni mtumiaji mkubwa wa vitu hvyo..nani anafahamu contents zinazotumika kutengeneza pombe zinatumika kwa viwango inavyotakiwa? vipi pombe zinazotengenezwa na viwanda bubu mitaani..je madhara yake unayaona wapi kama si kwenye afya za wanywaji...
 
Mkuu unapoteza muda wako kuwaelimisha wana nzengo..........

Mentality ya Mtanzania ni kuwa afya njema ni kuwa likitambi likubwa huku mishavu ikidondoka..........hiyo ndio tafsiri ya afya njema........

Kibaya zaidi jamii ya watu wenye akili hizi mgando hawako tayari kupokea mabadiliko ya fikra..........

Hili tatizo lipo kwenye jamii nyingi za watu weusi.......Mungu katubariki gene nzuri watu weusi lakini tunajiharibu wenyewe kwa lifestyle mbovu..........

Hata huko Marekani jamii ya watu weusi ndio inaongoza kwa obesity......hatuko care na afya zetu........

Najua una lengo zuri hawa watu hawatakuelewa.....kwa kuwa kukuelewa watatakiwa waachane na manyama choma na makitimoto.....watatakiwa waachane na bia.......

Janabi anakubalika kwa watu wanaojitambua na kutambua umuhimu wa siha njema maishani mwao.....lakini ni mwiba mchungu kwa wajuaji......
Nimeuliza hapa hawa watanzania wanaozungumziwa hapa ni asilimia ngapi kati ya watanzania milioni 60 ambao majority wako huko vijijini wakipinda mgongo day in day out kwenye substance farming?
 
Wewe unapataje shida kufahamu anayosema Prof. wakati yeye anakutana na wagonjwa kila siku, unaweza kuamini rejea zaidi kuliko maelezo ya mtu anayekutana na wagonjwa? inawezekekana si rahisi kuhoji ubora wa vyakula na vinywaji vinavyotengenzwa viwandani hapa nchini..lakini kwa anayesikiliza anachosema na kufuatilia utengenezwaji wa vyakula na vinywaji mfano pombe hapa ndani, utapata jibu na utajua nini cha kufanya kama ni mtumiaji mkubwa wa vitu hvyo..nani anafahamu contents zinazotumika kutengeneza pombe zinatumika kwa viwango inavyotakiwa? vipi pombe zinazotengenezwa na viwanda bubu mitaani..je madhara yake unayaona wapi kama si kwenye afya za wanywaji...

Kukutana na wagonjwa sio kigezo cha ku generalize science; hata sisi tunakutana na wagonjwa kila siku na kila siku pathological hypothesis zinabadilika na kwenda ku nulify concept ya mwanzo

Ndio maana watu wanafanya medical research; ingekuwa kigezo ni frequency of meeting patients . ….. then we could have concluded everything from pathological perspective

Most of the pathological history taken in TZ Hospital, zinakuwa reviewed upya kwa wagonjwa Wenye referral za nje, wakifika huko na kuanza vipimo upya, they find most of the critical issue were ignored ambazo ndio zinatoa majibu sahihi

ndio unakuta ile Mgonjwa amekuwa recommended for surgery TZ, akifika huko wanamwambia no need , and within 5 weeks mtu anarudi salama na bila surgery

So kigezo chako ni sound but invalid
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Maprofesa wengi nchi hii ni waongo waongo na vichaa.
 
Kwa hiyo hata Prof Janabi anapotoa maelekezo yake kwa umma awe anafanya pia rejea ya hizo IJM si ndiyo?
Ndugu yangu, ukisema huyu ni Prof Janabi, sio Prof wa mitaan kama mnaowajua, mfano Prof Maji Marefu, Prof J.Prof Nabi.

Hapana, ndugu yangu, hapa inabidi nikupe elimu kidogo. Hapa tunaongelea,kuanzia,associate Prof mpaka full Prof. Huyu ni Prof anayejulikana katika medicine industry. Ni Prof mwenye machapisho ya kutosha.Yaan ukiingia kwenye Google scholar, ukaandika tu Prof Janabi machapisho yake yote yapo pale yamejaa katika kila IJM na miaka yake. Na pia idadi ya machapisho ambayo mascholars wengine wa medicine wamemucite au kutumika kazi zake duniani.

Ni mtu anayefahamika duniani kama Prof katika medical industry,akispecialize kwenye Moyo. Tatizo watanzania mnapenda sana kudharau wasomi wetu. Sijui kwa kuwa tunawaona kila siku.

Aidha ndugu yangu, mtoa mada nimemwomba, atoe abstracts kutoka IJM kwa kuwa hatumutambui jina lake, hapa anatumia tu fake ID. Hatumutambui anafanya kaz hospital gani, hatumutambui amesome chuo gani hapa bongo au huko nje.Hatutambui ameandika paper ngapi kwenye IJM.

Ameongea statement moja ambayo ni unprofessional kwamba anaweza kubishana na madaktari wote wa Muhimbili na hakuna atakaye mshinda. Medical industry sio political industry.
 
[emoji1787] unataka kunitambua? Akili yako haipo sawa honestly

It does not matter umeoublish paper ngap

Any systement must be backed up with data scientistifically

Otherwise that is personal opinion and faith
 
Vitu vya medication sio opinion ni real ndugu yangu. Ndio maana tunataka data analysis ulizofanya ili tujue ni u kweli. Medication ni maisha ya watu ndugu sio opinion.
 
Kukutana na wagonjwa sio kigezo cha ku generalize science; hata sisi tunakutana na wagonjwa kila siku na kila siku pathological hypothesis zinabadilika na kwenda ku nulify concept ya mwanzo

Ndio maana watu wanafanya medical research; ingekuwa kigezo ni frequency of meeting patients . ….. then we could have concluded everything from pathological perspective

Most of the pathological history taken in TZ Hospital, zinakuwa reviewed upya kwa wagonjwa Wenye referral za nje, wakifika huko na kuanza vipimo upya, they find most of the critical issue were ignored ambazo ndio zinatoa majibu sahihi

ndio unakuta ile Mgonjwa amekuwa recommended for surgery TZ, akifika huko wanamwambia no need , and within 5 weeks mtu anarudi salama na bila surgery

So kigezo chako ni sound but invalid
[emoji1787] unataka kunitambua? Akili yako haipo sawa honestly

It does not matter umeoublish paper ngap

Any systement must be backed up with data scientistifically

Otherwise that is personal opinion and faith
Badala ya maneno meeeengi unayoandika ungeleta written reference unazozijua hata mbili tu za hayo unaongea ingeleta maana, medical is not futbal..Prof. hana maslahi yoyote anapoelimisha watu kufahamu vyanzo vya matatizo ya afya yanayowapata tofauti na kutaka kuona watu wanakuwa na siha njema pasina kuwa wagonjwa kwa kujitakia wenyewe.
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Hiyo ya ulaji wa wali unajua mwili sikuwahi kusikia emu nipe link nikajisomee maana amenitisha sana, na hapo kwenye juice anaongelea juice yyte hata hizi za kutengeneza nyumbn ama za viwandani?
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Research and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Dr. mbona unamfokea jamaa?
 
Huna cha kunifundisha na sina cha kujifunza kwako and probably huna cha kujifunza kwangu , then let’s talks fact and scientifically

Symptomatic treatment, is it a practical treatment ? I am doubting kama na wewe ni MD au ndio wale wakukaririshwa kwenye anatomy !

Niletee data za watu 200 ambao wamekojoa mkojo wa povu and had issue kwenye kidney ? Wapo watanzania wengi tu ambao wanakojoa povu , nenda kawapime na uniletee majibu,

I am still doubting kama upo kwenye medical industry ikiwa unashindwa kujua other factors ambazo healthy person anaweza kukojoa povu na asiwe na dalili yoyote ya figo ,

Research za Alcohol zina onesha alcohol kama risk factor, stop being dumb , Alcohol isn’t causal relationship to kidney disease , leta hiyo research inayosema Alcohol inasababisha kidney disease. If that is the case , watanzania wote wangekuwa na figo

It is such a shame kusoma maandishi yako

Mkuu wa taasisi ni kwako mimi inanihusu nini, I am presenting facts , bring your facts and let’s talk

stop being emotional and subjective focus kwenye point and debate it scientifically.

Unazungumzia research za uprof ambazo 90% zinafanywa na wanafunzi kisha zinakuwa published na masupervisor na kupelekea u prof
Hizo Fellowship unazozungumzia , tell me zinashida gani kuzipata? One of the easiest thing kupata hizo fellowship hasa kwa kipindi hiki , acha kutumia maneno as if kuna anything , kwa mentality unayoonesha sidhan hata kama umeshawahi kutoka nje ya hapo TZ

Sio kila mgonjwa mwenye homa kali na kichwa maana yake ana malaria, you can’t focus kwenye symptoms ukaenda ku generalize

hakuna science wala medical ya namna hiyo na ukweli uongewe na ni kuleta intimidation kwenye society , the MoH should stop him sio jukumu lake kuwaambia watu what to eat and not what to eat bila ya kuwa evidence za kutosha

Tusiwe nchi ya mtu yoyote ataongea chochote, msemaji wa mambo ya Afya Tanzania ni Wizara na sio Janabi,
Uwe unasummarize!
 
Umeandika point kubwa mno mtoa mada.

Anachofanya prof uchwara janabi ni kutisha watu na hiyo si sawa na haikubaliki.

Aachie vyombo husika vya kutoa elimi kuhusu lishe vifanye kazi yake.

Mambo ya kutupangia bia moja lisaa bila research na vivid examples aache kutafuta umaarufu.

No wonder most of Tanzanian wamegeuza ushauri wake kama kituko tu.

Tena ajiangalie anaweza yeye ndio akafa kwa hayo magonjwa ya moyo Mungu hadhihakiwi na ni wetu some asijione yeye ni special sana.
 
Back
Top Bottom