Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Janabi anashida kuliko hata sisi wenyewe
Nini maana ya afya njema?Watu hawawezi kuwa na afya mpaka wawe wembamba kama Profesa Janabi.
Nilikuwa mnywaji wa pombe aliyekubuhu nikapata matatizo ya kiafya ndio maana sipendi kuona vijana wadogo zangu wakiteseka mahospitalini kwa ulevi.Kwanin una conclude pombe inaenda kuua figo na moyo ; why are you putting conclusions.
Nakubaliana na wewe ulevi wa kupindukia ni hatari kwa Afya yako. Inawezekana usipate tatizo la figo wala moyo ukaenda kupata shida kwenye Ini
Inawezekana usipate tatizo la figo wala ini wala moyo ukaenda ku damage lungs I hope you understand kwanini mtu akinywa you can smell kuwa huyu kanywa
Inawezekana usipate figo wala moyo ukaenda ku damge brain cells na hata kupata stroke , do you understand?
Na Inawezekana usipate any of those
So alcohol is a risk in excess nashauri vijana wanywe kwa starehe na kupata stimu ya JIMAI na deep conversations with friends or partners
On the other hand , why only Alcohol ?
Unatambua pia unywaji maji uliokithiri can damage your heart na vital organs over recommended amount ikiwemo na kusababisha pressure kuwa kubwa hence ukaingia kwenye cardiovascular disease?
I am just disturbed na conclusion zenu just as I am disturbed na conclusion za janabi ; kwa wewe I can understand but not for him ambae yupo kwenye industry anawaambia watu wale kipande cha muogo how and why ?
Science is not a study of signs neither pathological history
It needs data evidence informed practice and which must be coherent, consistent, sufficient and experimental .
Umenisoma hapo mzee mwenzangu!
Acha uongo buda... yawezekana yeye ana mapungufu, lakini you tube is a very good source of information kwa topics nyingi tuUmenihuzunisha sana "hatujifunzi sayansi kupitia YouTube" na huko nyuma umesema kwenye post yako umenukuu baadhi ya studies ambazo zilichapishwa kwenye majarida, YouTube is just a means of sharing info, kwahyo ulitaka hao wakina janabi wapiti kwenye majumba kutoa baadhi ya shauri za kiafya?
Then umesema JKCI sio kituo cha sayansi sawa lakini haimaanishi wao wasiwe na vitengo vya elimu kwa jamii ambayo pia ndio clients wao et kisa wao sio kituo cha sayansi.
Then "You cant teach me what to write" mi sijakufundisha bali nmetoa maoni yangu kwenye mada yako uliyoielezea, so my brother sometimes accept critics especially in this online platforms
Huwezi compare Japan na bongo....Nimeuliza hapo juu, Kuna millions ya watu wanakunywa pombe Sanaa lakini Hadi wanazeeka bila kuugua hizo Figo na moyo why?
Uiikisikiliza hicho kibabu ujue umeisha.Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.
Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.
Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.
The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!
Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .
Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?
kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc
Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.
Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.
Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!
Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .
Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.
It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.
Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?
Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.
Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Mkuu nje ya mada.... hiyo top 10 ni yepi? (Just curious)Dar es salaam inaongoza kuwa na miundo mbinu Mibovu ya Sewage and sanitation hasa wakati wa Mvua na Inaongoza kwa Uchafu sana..
Lakini Kwenye Magonjwa Kumi Yanayoongoza Mkoa Top5 hakuna Ugonjwa unaohashiria Hiyo Condition kama Kuhara wala magonjwa ya Mfumo wa Chakula Unaizungumziaje hiyo Hali??
Kuna Kitu kwenye Epidemiology na Biostatistics Tunaita sufficient factor (Sufficient Cause) na necessary factor (Necessary Cause)..
Pombe sio Necessary factor kwa Mtu kupata ugonjwa wa Figo ila ni Sufficient factor kupata Ugonjwa wa Figo..
Kwa hiyo kwa point hiyo hapo juu ya Kiutafiti Ina conclude kuwa sio Kila anywaye Pombe huishia Kupata ugonjwa wa Figo (Necessary cause)..
Ila Asilimia Kubwa ya Wagonjwa Wa FiGo walikuwa wanywaji wa Pombe kupindukia (Sufficienf Cause)..
Sijui kma umenielewa
Yule mwamba mbona hayuko sawa. Mwacheni.Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.
Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.
Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.
The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!
Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .
Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?
kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc
Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.
Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.
Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!
Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .
Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.
It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.
Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?
Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.
Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Kila baada ya masaa 8Kwani mara tatu kwa siku inatakiwa kuwaje? Hii elimu naona imenipita.
Nilikuwa mnywaji wa pombe aliyekubuhu nikapata matatizo ya kiafya ndio maana sipendi kuona vijana wadogo zangu wakiteseka mahospitalini kwa ulevi.
Prof Janabi anazo hoja za msingi sana labda anayo matatizo yake binafsi ya uwasilishaji wa hoja zake.
Anaitazama 'lifestyle' ya vijana wengi ambayo haina nidhamu ndani yake na anahisi anawiwa kutumia elimu yake katika kujaribu kubadilisha mwenendo mbaya wa kijamii.
Prof Janabi amefanya kazi Muhimbili naamini kwa miaka karibu 30 hayo yote uliyoandika anayafahamu kwa kina.
Ningekuweka kwenye kiwango kikubwa zaidi ya Prof. endapo ungetuambia factors ambazo ni causal effects related to such diseases.
Pili, tafiti zinasema hivyo vitu ni risk factors na unakubali kuwa ni risk factors.
Risk factors si lazima zisababishe ugonjwa kwa kila mtu ambaye amekuwa exposed ila husababisha ugonjwa kwa susceptible host.
Yaani kama kuvuta sigara ni risk ya kupata cancer ya pafu, bado watakuwepo watu ambao watavuta sigara nyingi sana na kwa muda mrefu na hawatapatwa na tatizo hilo la cancer kwa sababu siyo susceptible lakini kwa upande mwingine wapo watakaopata ugonjwa.
Issue ni kujua who is susceptible miongoni mwa watu wote walikuwa exposed.
Prof halazimishi watu ila anawapa elimu ili wafanye vitu wakijua faida na hasara zinazoweza kujitokeza kwa afya zao ili wao kama viumbe wenye fikra wafanye uamuzi utakaokuwa sahihi.
Prof hajaanzisha sheria kuwadhibiti watu wafanye kile anachokisema.
Mkuu, Taifa lina hospital moja ya Taifa,inaitwa Muhimbili na unayemsema ndiye Mkurugenzi( Kiongozi mkuu wa hospital ya Taifa).
Nafasi hizi ndiyo inampa mamlaka ya kusema anayoyasema.
Unajaribu kumponda Prof Janabi lakini huwezi kupinga kile anachokifundisha kwa umma.This is your personal experience and it does not add any value in science .
Your comment is subjective and merely faith based as you said UNAAMINI without empirical findings
Haina tofauti na kusema believe in Jesus because without him you will not see the heaven of our lord
Or
Slimu, because without Islam you will not enter into Jannah and you will not be able to see Prophet Muhammad ibnu Abdillah ( S.A.W)
All these are personal faith , experience and myths of the past
Please stop
Unajaribu kumponda Prof Janabi lakini huwezi kupinga kile anachokifundisha kwa umma.
Dr Mambo kakuomba utoe ushahidi wa wewe kuwa mtaalam kweli mpaka muda huu hujashusha hapa hizo credentials zako!.
Hizi mbwembwe zako za kutumia maneno machache ya kingereza bado sio kigezo cha kuonyesha uwezo wako halisi wa kuwa na vigezo vya kuipinga elimu pana anayoitoa Profesa Jabani kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
Vijana wengi wanaondoka duniani kwa kukosa nidhamu binafsi za maisha, ni kazi kubwa sana kuupinga ukweli huo. Unaweza kumponda huyo Profesa lakini ujumbe mpana huwezi kuupinga.
Acha uongo mkuu kumbe jina la “mambo jambo” mbele ya DR bado kitu ni kilekile?!Mkojo wenye povu au Foamy urine mara zote Huwa ni signs za wingi wa Protein kwenye Mkojo na ina indicate tatizo kwenye Figo..
Hata hivyo UTI (Urinary Tract Infection) Ni Maambukizi kwenye Mfumo wa Mkojo..Usisahau Hata Figo pia Zinaweza Kuhusishwa kwenye Mfumo wa Mkojo