Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Protein Inahitajika Kuliwa Sana Tena usiache kabisa..
Maana Protein ndo hujenga mwili na Protein pia ndo hutengeneza Enzymes na Hormones kwenye Miili yetu hata Taarifa za Mifumo ya Mwili ni Protein..DNA ni protein na RnA hivyo hivyo..

Sasa protein Kuwa kwenye Mkojo humaanisha nini??

Kwenye Figo Kuna machujio Zaidi ya milions ambayo huitwa nephrons na hizo nephrons zina sehemu mbili ambazo huitwa glomerulus na tubule. Hizo nephrons hufanya kazi mbili kwa kutumia glomerulus inachuja damu yote Kupitia Mishipa ya damu ambayo hupelekwa hapo na kazi ya tubule ni kurudisha baadhi ya Substances ambazo zinahitajika na mwili kwenye damu na Kutoa uchafu tu kupitia Ureter then kibofu then urethra then unakojoa..

Sasa kukiwa na Hitilafu kwenye Figo inaamaa nephrone hazitafanya kazi vizuri na Glomerulus hazitachuja damu vizuri na hivyo kusababisha kupitisha baadhi ya substanse ikiwemo Protein na zingine kwenye kwenye Tubule na mwisho wa siku zitapita kwenye ureter.....na utazikojoa..

Kwahyo zikipita Moja kwa moja huko figo and Hence lazma utazikojoa..

Sijui kama umenielewa au nielezee vizuri zaidi..
Kwanini tunapenda Kuitumia Protein kama Kipimo kwa sababu ndyo Particle kubwa kuliko zingine..
So kama Imeweza Kupita Hiyo zingine pia zimeweza kupita
Shukrani sana kaka uko deep mno Mungu akubariki.
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Ungemuacha tu ameandika Upupu mwingi nadhani ni mwandishi tu mzuri ila hana hoja
Wengi wanamwona Prof kwenye TV
Janabi mara zote anasisitiza healthy lifestyle
Sasa mtu anabisha foamy urine sio alert ya Renal diseases
 
Huna cha kunifundisha na sina cha kujifunza kwako and probably huna cha kujifunza kwangu , then let’s talks fact and scientifically

Symptomatic treatment, is it a practical treatment ? I am doubting kama na wewe ni MD au ndio wale wakukaririshwa kwenye anatomy !

Niletee data za watu 200 ambao wamekojoa mkojo wa povu and had issue kwenye kidney ? Wapo watanzania wengi tu ambao wanakojoa povu , nenda kawapime na uniletee majibu,

I am still doubting kama upo kwenye medical industry ikiwa unashindwa kujua other factors ambazo healthy person anaweza kukojoa povu na asiwe na dalili yoyote ya figo ,

Research za Alcohol zina onesha alcohol kama risk factor, stop being dumb , Alcohol isn’t causal relationship to kidney disease , leta hiyo research inayosema Alcohol inasababisha kidney disease. If that is the case , watanzania wote wangekuwa na figo

It is such a shame kusoma maandishi yako

Mkuu wa taasisi ni kwako mimi inanihusu nini, I am presenting facts , bring your facts and let’s talk

stop being emotional and subjective focus kwenye point and debate it scientifically.

Unazungumzia research za uprof ambazo 90% zinafanywa na wanafunzi kisha zinakuwa published na masupervisor na kupelekea u prof
Hizo Fellowship unazozungumzia , tell me zinashida gani kuzipata? One of the easiest thing kupata hizo fellowship hasa kwa kipindi hiki , acha kutumia maneno as if kuna anything , kwa mentality unayoonesha sidhan hata kama umeshawahi kutoka nje ya hapo TZ

Sio kila mgonjwa mwenye homa kali na kichwa maana yake ana malaria, you can’t focus kwenye symptoms ukaenda ku generalize

hakuna science wala medical ya namna hiyo na ukweli uongewe na ni kuleta intimidation kwenye society , the MoH should stop him sio jukumu lake kuwaambia watu what to eat and not what to eat bila ya kuwa evidence za kutosha

Tusiwe nchi ya mtu yoyote ataongea chochote, msemaji wa mambo ya Afya Tanzania ni Wizara na sio Janabi,
Sasa kaka Megalo Assume you have 56 pt female presented to you with a recently hx of foamy urine
Utafikiria nini kwanza kabisa?

Btw alcohol consumption in sufficient risk factor for Renal diseases
 
Umewahi kufua Nguo??
Basi ukiweka foma au Sabuni ya Omo bhasi Kiasi cha mkojo huwa hivyo..
Sio Bubbles ambazo zinatokea Kulingana na Speed ya mkojo hapana..

Buble kama ukiweza kukojoa bhasi huwa zinapotea ndani ya Dakika Moja mpaka Mbili ila Mkojo wenye povu hubaki mpaka hata Dakika kumi
Kwaiyo Dr ile foamy ya chini ya dk 2 au moja au 30 sec haina shida?
 
Protein Inahitajika Kuliwa Sana Tena usiache kabisa..
Maana Protein ndo hujenga mwili na Protein pia ndo hutengeneza Enzymes na Hormones kwenye Miili yetu hata Taarifa za Mifumo ya Mwili ni Protein..DNA ni protein na RnA hivyo hivyo..

Sasa protein Kuwa kwenye Mkojo humaanisha nini??

Kwenye Figo Kuna machujio Zaidi ya milions ambayo huitwa nephrons na hizo nephrons zina sehemu mbili ambazo huitwa glomerulus na tubule. Hizo nephrons hufanya kazi mbili kwa kutumia glomerulus inachuja damu yote Kupitia Mishipa ya damu ambayo hupelekwa hapo na kazi ya tubule ni kurudisha baadhi ya Substances ambazo zinahitajika na mwili kwenye damu na Kutoa uchafu tu kupitia Ureter then kibofu then urethra then unakojoa..

Sasa kukiwa na Hitilafu kwenye Figo inaamaa nephrone hazitafanya kazi vizuri na Glomerulus hazitachuja damu vizuri na hivyo kusababisha kupitisha baadhi ya substanse ikiwemo Protein na zingine kwenye kwenye Tubule na mwisho wa siku zitapita kwenye ureter.....na utazikojoa..

Kwahyo zikipita Moja kwa moja huko figo and Hence lazma utazikojoa..

Sijui kama umenielewa au nielezee vizuri zaidi..
Kwanini tunapenda Kuitumia Protein kama Kipimo kwa sababu ndyo Particle kubwa kuliko zingine..
So kama Imeweza Kupita Hiyo zingine pia zimeweza kupita

Hatujaja hapa kufundisha as to why proteins ikionekana kwenye figo inaishara figo kushindwa kufanya kazi, we all know filtration ya protein kwenye glomerular haitakiwi kupita due to its size, that is not our topic here you fake or else anzisha thread yako

Hapa tunajadili as to why huyo unaemuita mkuu wako wa taasisi anageneralize na kutoa conclusions kwenye vitu ambavyo ni risk factor sio causal

Bado tutaendelea ku question huo u proof

Tuwekee hapa education background yake , maana kwenye website ya MNH haipo clear

Rudia kusoma threads uanze ku comment upya usilete mambo ya kipuuz, you guys are too fake na mnamislead sana watanzania
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Usiongelee sana wazee wa Zamani, hao walikula vyakula tofauti na hivi vya "Kisayansi na technologia". Kutokana na sababu za kibiashara na ulafi wa makampuni makubwa, vyakula vimebadilishwa na sio salama tena. Mbolea, Madawa, Mbegu, GMO nk. Vyakula vyote, including mihogo na viazi vitamu, sio vile vya 80's tena. Duniani kote haya magonjwa yamestawi, na sababu zinajulikana. Mie naona Janabi ni kama anajaribu kumaintain celebrity status yake tu, na hana significant negative impact.
 
Sasa kaka Megalo Assume you have 56 pt female presented to you with a recently hx of foamy urine
Utafikiria nini kwanza kabisa?

Btw alcohol consumption in sufficient risk factor for Renal diseases

Hapo ndio manapofeli kusema sufficient factor ; shida ya elimu ya TZ ni lots of books than practical

How do you say Alcohol ni sufficient factor ? Mjomba duh

Nikikuletea watu 100 ambao ni drunkes , na tukawafanyia vipimo over follow up na tusiwakute na figo
Would you comment Alcohol kuwa ni sufficient factor ?

Bado kuna shida kubwa kwenye mfumo wa elimu TZ hasa kwenye medical

Na ndio maana mgonjwa anaenda muhimbili anakuwa recommended for surgery , akienda India au Germany , wanamwambia ungeruhusu wakufanyie upasuaji… usingedumu , mgonjwa anafanyiwa treatement ya kawaida na kurudi salama

Bado tunashida kwenye mfumo wa elimu , medical field haipaswi kuwa paper centered ;
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Watazania ukiwazuia kula sukari, unajitafutia matatizo. Tangu ninapata akili, sukari limekuwa ni tatizo la nchi sidhani kama limeahi kuisha. Sasa profesa akisema watu wasitumie sukari kwa afya ya figo zao, hapo kweli atakuwa anatafuta shida
 
Hapo ndio manapofeli kusema sufficient factor ; shida ya elimu ya TZ ni lots of books than practical

How do you say Alcohol ni sufficient factor ? Mjomba duh

Nikikuletea watu 100 ambao ni drunkes , na tukawafanyia vipimo over follow up na tusiwakute na figo
Would you comment Alcohol kuwa ni sufficient factor ?

Bado kuna shida kubwa kwenye mfumo wa elimu TZ hasa kwenye medical

Na ndio maana mgonjwa anaenda muhimbili anakuwa recommended for surgery , akienda India au Germany , wanamwambia ungeruhusu wakufanyie upasuaji… usingedumu , mgonjwa anafanyiwa treatement ya kawaida na kurudi salama

Bado tunashida kwenye mfumo wa elimu , medical field haipaswi kuwa paper centered ;
Ukisikia Sufficient risk factor na Sufficient factor unaelewaje?
 
Umewahi kufua Nguo??
Basi ukiweka foma au Sabuni ya Omo bhasi Kiasi cha mkojo huwa hivyo..
Sio Bubbles ambazo zinatokea Kulingana na Speed ya mkojo hapana..

Buble kama ukiweza kukojoa bhasi huwa zinapotea ndani ya Dakika Moja mpaka Mbili ila Mkojo wenye povu hubaki mpaka hata Dakika kumi

Wewe ni fake mzee wa makaratasi, stop what you are doing una mislead watu na symptomatic zako
Medicine ni maabara and surgery , Hayo unayofanya wewe ni uganga na utabiri

You need to stop and advise watu properly as per hippocratic oath ;

Mnafanya medical field iwe ni course ya kihuni kabisa
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Hakika wewe ni msomi. Janabi must be warned to stop giving scientific opinions based on his personal experiences anakera sana.
 
Wewe ni fake mzee wa makaratasi, stop what you are doing una mislead watu na symptomatic zako
Medicine ni maabara and surgery , Hayo unayofanya wewe ni uganga na utabiri

You need to stop and advise watu properly as per hippocratic oath ;

Mnafanya medical field iwe ni course ya kihuni kabisa
Hakuna Sehemu nimesema Watu wafanya Treatment kwa syndromic Approach nahisi Umeninukuu Vbaya..

Foamy Urine ni Alert ya Magonjwa ya Figo na ugonjwa wa Figo huwezi Kutoa matibabu Bila kufanya Vipimo..

As per Hippocratic Oath ilipaswa kama una njia Sahihi umeigundua ambayo ni Ya kugundua Ugonjwa Au kutibu ugonjwa Ulipaswa uishee Bila kukashifu Mwingine anayefanya field hiyo..

Hippocratic Oath haiencourage Defamation kwa Senior Doctors..

Utapimaje Mgonjwa bila Kumsikiliza Hx yake??
Mgonjwa amekuja kwako ana foamy Urine what is your First impression??

You need to learn About Symptomatic RX au Syndromic Approach na symptomatic Alert..
 
Huna cha kunifundisha na sina cha kujifunza kwako and probably huna cha kujifunza kwangu , then let’s talks fact and scientifically

Symptomatic treatment, is it a practical treatment ? I am doubting kama na wewe ni MD au ndio wale wakukaririshwa kwenye anatomy !

Niletee data za watu 200 ambao wamekojoa mkojo wa povu and had issue kwenye kidney ? Wapo watanzania wengi tu ambao wanakojoa povu , nenda kawapime na uniletee majibu,

I am still doubting kama upo kwenye medical industry ikiwa unashindwa kujua other factors ambazo healthy person anaweza kukojoa povu na asiwe na dalili yoyote ya figo ,
Nipo kwenye Medical industry huu mwaka wa 23 na miezi sita..
So Kama kuna hoja tofauti na hiyo karibu
Research za Alcohol zina onesha alcohol kama risk factor, stop being dumb , Alcohol isn’t causal relationship to kidney disease , leta hiyo research inayosema Alcohol inasababisha kidney disease. If that is the case , watanzania wote wangekuwa na figo
Asilimia 99% ya watanzania wanaoishi wote wana Figo unless wawe wamekufa..

Na kuhusu research nitakupa Nikitoka Nilipo kama masaa mawili hivi kutoka sasa Ikifika Saa Kumi na Mbili Jioni nitakupa..
 
Hakuna Sehemu nimesema Watu wafanya Treatment kwa syndromic Approach nahisi Umeninukuu Vbaya..

Foamy Urine ni Alert ya Magonjwa ya Figo na ugonjwa wa Figo huwezi Kutoa matibabu Bila kufanya Vipimo..

As per Hippocratic Oath ilipaswa kama una njia Sahihi umeigundua ambayo ni Ya kugundua Ugonjwa Au kutibu ugonjwa Ulipaswa uishee Bila kukashifu Mwingine anayefanya field hiyo..

Hippocratic Oath haiencourage Defamation kwa Senior Doctors..

Utapimaje Mgonjwa bila Kumsikiliza Hx yake??
Mgonjwa amekuja kwako ana foamy Urine what is your First impression??

You need to learn About Symptomatic RX au Syndromic Approach na symptomatic Alert..
Seems he got no clue achana naye
Man failed to understand sufficient risk factor
 
Bado unatakiwa kukaa chini na kusoma uzi na kuuelewa, kuna namna majibu yako umekurupuka na unatoka nje ya mada
 
Nipo kwenye Medical industry huu mwaka wa 23 na miezi sita..
So Kama kuna hoja tofauti na hiyo karibu

Asilimia 99% ya watanzania wanaoishi wote wana Figo unless wawe wamekufa..

Na kuhusu research nitakupa Nikitoka Nilipo kama masaa mawili hivi kutoka sasa Ikifika Saa Kumi na Mbili Jioni nitakupa..

Hapa pia unajibu kwa kukurupuka, focus kwenye thread
 
Seems he got no clue achana naye
Man failed to understand sufficient risk factor
Na mimi Naona, hawa Junior Dr wa siku hizi wa miaka ya 2000 Wana mambo mengi sana, Wanahisi wamajua kuliko Madaktari wote..

Sasa kulikuwa na Haja Gani ya Kifanya Defamation ya Proff Janabi ili akamilishe Wasilisho lake?

Kama alikuwa na Hoja angeiwasilisha bila Kejeli wala Kufuru kwa Janabi..
Critic inaruhusiwa ila sio Critic inayolenga Kudefame
 
Back
Top Bottom