Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Kwani Unatatizo lolote na janabi ambalo.tunapaswa kulijua??
Maana ni vema Tungejadili Hoja alizosema na sio Kumjadili Mtu ingekuwa Sawa zaidi mwanangu..

Kuhusu Kuwa Dogo Nafikiri Hapana.. kwa sasa Nina wajukuu Watatu

Siwezi kuwa na tatizo na Janabi, i have nothing to do with him , na ingekuwa ni personal basi ningezungumzia maisha yake na familia
my thread was merely scientific discussion na sio personal attack , but you came like a widow woman and you started mambo ya kusema personal attack

ni weee kwa uelewa wako ndio unatengeneza hayo mazingira , your first comment was overreacting and here you repeat the same thing

kwa kukosa maturity ndio maana nimekuita dogo and probably wewe ni Junior sana fresh from school: you don’t seem to have matured enough.
 
Nguvu nyingi kutaka kuwin attention..huna lolote mlevi wewe, itakuwa wizara ya vichaa if will peak such foolish theories you r putting here..mwache Profesa afanye kazi zake, wewe baki na ujinga wako..maandiko yote upuuzi mtupu ukiulizwa onyesha hizo facts unazoegemea huna, cite any reference za unachotetea huna..eeish, what kind of a person s this! Its peculiar..! Janabi, Janabi..what's wrong with your head..let Prof's work speak even more louder to save people's life rather than listen your foolish laments..! Mwache Profesa bwana, hizo ego na stress zako peleka kwa walevi wenzio! you r so foolish n disturbing! God forbid..

Sawa
 
[emoji1787]dah
Ndugu
Unaonekana ni mwandishi mzuri na mtu mwenye maarifa makubwa sana.......katikati ya maandishi yako kumejaa maarifa na fact......

Lakini kitu pekee kinachoharibu ni kushindwa kuzuia hisia zako dhidi ya Janabi.........muda mwingine unatumia maneno makali kana kwamba Una ugomvi binafsi na huyo ndugu.......
 
Noted, and thanks

Sisi tunaoishi America those words are common . However, thank you [emoji120]
 
Unajua maana ya Ukweli?
Ukweli kwamba kutembea hatua 10,000 kwa siku kunaimarisha sana afya.

Ukweli kwamba nyama haswa nyekundu ya ng'ombe inachangia sana kuleta cancer haswa kwa sisi tunaokulia mijini.

Prof Janabi simuangalii kwa udhaifu wa maudhui ya kazi yake natazama ujumbe wake mpana na muda sahihi unaopelekwa kwa jamii ya kisasa.

Mkuu kuna ulevi mwingi sana haswa miaka hii mitatu ya Samia, baada ya maduka mengi ya pombe kali kusambaa jiji lote la Dar, kuna hatari baada ya miaka mitatu au minne ijayo wagonjwa wa mafigo na moyo watafurika mahospitalini.

Pia pombe inaua sana mishipa ya fahamu, kutetemeka baada ya kutumia whiskey na konyagi kwa muda mrefu ni ushahidi wa madhara ya pombe kali.

Prof Janabi sio wa kumbeza kwa muda huu. Kwamba eti wamasai hawapati cancer za nyama sio kigezo cha watu wa Dar kutoteswa na magonjwa yatokanayo na ulaji mkubwa wa nyama.
 
Hakika ndugu tunapaswa kuwa makini na kumakinika lakini mimi binafsi nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa masomo ya huyu profesa Janabi.......

Mimi kwa mtazamo wangu.....sijaona ubaya anachokizungumza Janabi hasa ukizingatia yeye ndio anayepokea na kuwahudumia hao wagonjwa na uzoefu alioano kwenye uwanja huo......,

Lakini pia prof Janabi katika maongezi yake anasisitiza sana kufanya mazoezi...... anasisitiza sana kuufanyia mwili kazi.......anasema at least hata utembee hatua 1,000 Kwa siku na sio kujikalia huku ukiwa umeshiba..........

Anasema vyakula tunavyokula ni vyakula vya wanga ambavyo ni hatari lakini uhatari unaongezeka zaidi ikiwa intake yako haiendani na shughuli za mwili wako.........

Anasema kuwa kule kula kula hovyo pasi na kuufanyia kazi huo msosi ndio kunazaa unene uliopitiliza na kukaribisha maradhi mengine.......lakini kimsingi ni kuwa watu hawazingatii milo na kufanya mazoezi.......

Mimi kwa mtazamo wangu sioni ubaya wa Janabi kama kujikwaa ni kibinadamu tu...... lakini watu wameipokea kwa munkari mkubwa kana kwamba huyu bwana amewapangia maisha yao.........

Janabi hajamtisha mtu bali ameongea ukweli kutokana na hali zetu hayo mengi yasiyoambukiza tiba zake zina gharama kubwa Sana ambayo Sisi hatuimudu......sasa kwanini tusichukue tahadhari ili kuepukana nayo.......kwanini tusibadili mifumo ya maisha......

Nadhani namna ambavyo tumeipokea kwa fikra hasi ndio sababu ya malumbano haya tunayoyona mitandaoni.......

Lakini mwisho wa siku yeye kama mtaalamu ametoa ushauri tu....kuufuata ni khiyari ya mtu au kuacha pia khiyari ya mtu.......
Wabongo hatuupendi ukweli na ndio sababu wanamshambulia Profesa Janabi. Huwezi ukaendekeza maisha ya kila siku umekaa kwenye gari asubuhi mpaka jioni bila ya kufanya mazoezi ya aina yoyote halafu ukadumu kwa miaka mingi.

Mleta mada anatetea hizi hulka za kilevi za kivivu ambazo ni hatarri sana kwa wengi wenye umri wa kuzalisha mali muda huu.
 
Badala ya maneno meeeengi unayoandika ungeleta written reference unazozijua hata mbili tu za hayo unaongea ingeleta maana, medical is not futbal..Prof. hana maslahi yoyote anapoelimisha watu kufahamu vyanzo vya matatizo ya afya yanayowapata tofauti na kutaka kuona watu wanakuwa na siha njema pasina kuwa wagonjwa kwa kujitakia wenyewe.
Huyo mleta mada labda ana maduka ya kuuza pombe jijinii Dar au n mfanyabiashara wa kuleta nyama kutoka Dodoma anahisi biashara zake zinapungukiwa wateja wanaomsikiliza na kumuamini Profesa Janabi.

Ni ishara kuwa kisu kimefika kwenye mfupa wenyewe, jiwe limerushwa gizani na mhusika katoa kilio cha maumivu.
 
Ccm ninaowajua ikitengwa hela ya research ya moyo na figo watanza kununua v8 kabla ya kwenda field

Tumtafute tu namna ya kuachana nao
 
Siwezi kuwa na tatizo na Janabi, i have nothing to do with him , na ingekuwa ni personal basi ningezungumzia maisha yake na familia
my thread was merely scientific discussion na sio personal attack , but you came like a widow woman and you started mambo ya kusema personal attack

ni weee kwa uelewa wako ndio unatengeneza hayo mazingira , your first comment was overreacting and here you repeat the same thing

kwa kukosa maturity ndio maana nimekuita dogo and probably wewe ni Junior sana fresh from school: you don’t seem to have matured enough.
Huyu huenda anatetea dini, tuna tatizo nchi hii mtu wa dini yao akiwa challenged wanakuwa mbogo nadhani ni inferiority complex inachangia

Mada yako imeeleweka. Tufanya scientific research tusi conclude kwa sample ya wagonjwa 3 wa muhimbili

Kuna wagongwa wapo huko Guatemala nao wawe sample space
 
Ukweli kwamba kutembea hatua 10,000 kwa siku kunaimarisha sana afya.

Ukweli kwamba nyama haswa nyekundu ya ng'ombe inachangia sana kuleta cancer haswa kwa sisi tunaokulia mijini.

Prof Janabi simuangalii kwa udhaifu wa maudhui ya kazi yake natazama ujumbe wake mpana na muda sahihi unaopelekwa kwa jamii ya kisasa.

Mkuu kuna ulevi mwingi sana haswa miaka hii mitatu ya Samia, baada ya maduka mengi ya pombe kali kusambaa jiji lote la Dar, kuna hatari baada ya miaka mitatu au minne ijayo wagonjwa wa mafigo na moyo watafurika mahospitalini.

Pia pombe inaua sana mishipa ya fahamu, kutetemeka baada ya kutumia whiskey na konyagi kwa muda mrefu ni ushahidi wa madhara ya pombe kali.

Prof Janabi sio wa kumbeza kwa muda huu. Kwamba eti wamasai hawapati cancer za nyama sio kigezo cha watu wa Dar kutoteswa na magonjwa yatokanayo na ulaji mkubwa wa nyama.

Kwanin una conclude pombe inaenda kuua figo na moyo ; why are you putting conclusions.

Nakubaliana na wewe ulevi wa kupindukia ni hatari kwa Afya yako. Inawezekana usipate tatizo la figo wala moyo ukaenda kupata shida kwenye Ini

Inawezekana usipate tatizo la figo wala ini wala moyo ukaenda ku damage lungs I hope you understand kwanini mtu akinywa you can smell kuwa huyu kanywa

Inawezekana usipate figo wala moyo ukaenda ku damge brain cells na hata kupata stroke , do you understand?

Na Inawezekana usipate any of those

So alcohol is a risk in excess nashauri vijana wanywe kwa starehe na kupata stimu ya JIMAI na deep conversations with friends or partners

On the other hand , why only Alcohol ?

Unatambua pia unywaji maji uliokithiri can damage your heart na vital organs over recommended amount ikiwemo na kusababisha pressure kuwa kubwa hence ukaingia kwenye cardiovascular disease?

I am just disturbed na conclusion zenu just as I am disturbed na conclusion za janabi ; kwa wewe I can understand but not for him ambae yupo kwenye industry anawaambia watu wale kipande cha muogo how and why ?

Science is not a study of signs neither pathological history

It needs data evidence informed practice and which must be coherent, consistent, sufficient and experimental .

Umenisoma hapo mzee mwenzangu!
 
Nimeomba CV yake jamaa kakimbia , shida humu tunachat na wengi non medical ndio maana hatuelewani

Alete CV ya janabi, iliyoandikwa kwenye website ya MNH haijitoshelezi

He is cardiologist by fellowship ?

Atuambie MMED yake aliipigia wapi

Napenda kuona CV yake

Form
6 alimaliza wapi

First degree akapiga wapi
Au ndio Zile master za Urusi degree na master unaunganisha humu humo

Second degree yake was it master of medicine in Cardio au alipiga master of Science akaingia
Kwenye fellowship hili liwekwe wazi

PHD yake alikimbizana nayo wapi

Mimi
I don’t count huo u prof , ukishakuwa na PHD Uprof ni papers published na kama upo kwenye teaching , unaupata

Paper nyingi zinafanywa na wanafunzi , wao wanaboresha nakujipublishia as their work

CV ya Janabi kwenye website ya MNH haipo formal

MNH kuna vichwa na
Vijua na vingine vilishasepa kwenye masilahi

ambao walikuwa na elimu iliyonyooka km wembe na ni MaMEd konki hatua kwa hatua

Ambao hao kama nafasi ya U DG MNH ingekuwa inatangazwa na madokta kushindanishwa, Janabi asingetoboa hata first round ki uwezo na ki CV

huyo alipata popularity baada ya kuinuliwa na JK , na sio kwa uwezo wake

Hoja ya msingi ni matamshi yake ni intimidating na sio scintifically. Kama anatoa warning kwenye jamii kuna namna ya kupresent na sio kusema ukila muhogo kwa siku inatosha, ukikojoa povu figo just because he met cases kama hizo kwa watu 3

Science haipo hivo and it does not entertain hizo symptomatic issues ndio maana mmewekewa maabaara to prove your hypothesis kama unachowaza kupitia pathological history taken ni sahihi
Na huu ndio msingi halisi wa hii mada.
 
Hayo ni moja ya Majukumu Ya daktari yoyote kwa Mujibu wa Hippocratic Oath..
Kuelimisha watu kuhusu Kupambana na magonjwa
Huyo Janabi anaishi kwenye social economic bubble na kajificha kwenye ivory tower. Keshasahau mtu wa kawaida anaishi namna gani. Tanzania siyo Ulaya ambapo mwananchi wa kawaida huko anaweza kuchagua ale nini na asile nini. Lakini pia yeye mwenyewe hana sifa ya kujiita ana afya njema hata ukimwangalia. Labda sababu anaijipima full blood test kila siku maabara. Bia 2 kwa wiki na kila bia baaada ya saa moja? He's a big joke. Huyu ni mpumbavu hajui maisha ya uhalisia ya mtu wa kawaida ukilinganisha na theories zake za kwenye maabara. Kwanza anaoneka hana mvuto wala furaha. Ni mtu mmoja anayetumia vibaya authority kubwa aliyo nayo. Yeye kama Muuislamu wa swala 5 ataanzaje kuzungumzia tabia za unywaji pombe kwa Taifa zima? Huoni hapo haijakaa vizuri mkuu?
 
Hayo ni moja ya Majukumu Ya daktari yoyote kwa Mujibu wa Hippocratic Oath..
Kuelimisha watu kuhusu Kupambana na magonjwa

Ulisoma mwaka wa ngapi somo la chakula?

Usijivike vitu sio fani yako, suala la nutrition uliyonayo wewe ni very basics knowledge any layperson can have and access to

Na kama wewe ni general doctor then ndio useless kabisa

wewe ni social Media Doctor, na sioni kama unafuture kwenye career path yako. I don’t see even by reading your sms

Ni kama tu unakimbizana na mafile na pathological review na kupata pata terminology za kibiologia

ndio maana upo obsessed na Janabi seems una level na rank ndogo sana
 
Ok sawa!
 
Back
Top Bottom