Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Huwezi kumuona mtu anakili wewe peke yako, jamii inayomzunguka ndio watasema huu mti una matunda bora au yasiyo bora.

Yaonyesha uko na maarifa mengi yahusuyo viumbe uliowasema ndio mana ukajiita... EL ...
 
Janabi Kamaliza MD Mwaka 1989 kutoka chuo cha kharkov Medical Institute..

Kafanya Internship mwaka 1990, Muhimbili Medical Center..

Liverpool School of Tropical Medicine Fazakeley Hospital UK Junior House Officer mwaka 1992 akachukua Post Graduate Diploma Ina Tropical Medicine..

Akasoma MMED, University of Queensland in Australia (MMED ya Internal medicine ) Mwaka 1995..

Fellowship Kafanya kutoka Fellow American College of Cardiology (FACC) mwaka 1995 mpaka 2000 na Akapata PhD ya Cardiology...

Post Doctorate Alizofanya ni..

Internal Medicine and Molecular Science, Graduated in School of Medicine Osaka University Hospital Osaka, Japan 2004 (Post Doctorate)

Bergen University Norway Cardiology Department
and Medical University of South Carolina-USA Clinical attachment ya mwaka 2005
Huyu JANABI mtu wa kuunga unga sana. Anatembea na nyota ya JK
 
Hizi credentials zina chumvi sana. Queensland alisoma Public Health siyo medicine. Serikali ya Australia ilikuwa inatoa scholarship za Vocational Training, Public Health, Engineering, Public Policy,na Science & Technology. South Calorina alikuwa visiting fellow, hakuwa practicing doctor na wala hakuwa professor; aliingia pale mwaka 2003 akachukuliwa na Kikwete Mwaka 2005. FACC hawatoi degree, hiyo ni association ya watu wanaotoa huduma zihusuzoa magonjwa ya moyo, siyo lazima awe cardiologist; hata mwalimu wa biochemistry anaweza kujiunga nayo iwapo biochemisty yake inahusiana na moyo. Hicho siyo chuo cha kutolea PhD; kusikia inaitwa college haina maana kuwa ni chuo ndiyo maana kuna Electroral College, College of Cardinals etc.

Kuna mambo mengi hapa yametiwa chumvi, nadhani aliyeandika siyo Janabi mwenywe bali ni chawa tu.
 
Siwezi kujua sana ila naamini kabisa, kuna mengi zaidi ya tunayoambiwa.
Je Prof Janabi, CV ni ndefu mpaka wapi?😂😂😂😂
 
Hizi credentials zina chumvi sana. Queensland alisoma Public Health siyo medicine. Serikali ya Australia ilikuwa inatoa scholarship za Vocational Training, Public Health, Engineering, Public Policy,na Science & Technology. South Calorina alikuwa visiting fellow, hakuwa practicing doctor na wala hakuwa professor; aliingia pale mwaka 2003 akachukuliwa na Kikwete Mwaka 2005. FACC hawatoi degree, hiyo ni association ya watu wanaotoa huduma zihusuzoa magonjwa ya moyo, siyo lazima awe cardiologist; hata mwalimu wa biochemistry anaweza kujiunga nayo iwapo biochemisty yake inahusiana na moyo. Hicho siyo chuo cha kutolea PhD; kusikia inaitwa college haina maana kuwa ni chuo ndiyo maana kuna Electroral College, College of Cardinals etc.

Kuna mambo mengi hapa yametiwa chumvi, nadhani aliyeandika siyo Janabi mwenywe bali ni chawa tu.
Mkuu Ukisikia Fellowship Unahisi Ni nini?
Ukisikia Mtaalmau wa medical anasema..
Baada ya Kumaliza MMED akaenda Fellowship anafanya Fellow kwa Miaka 3 au kwa miaka 5 Unahisi Huwa inamaana gani?

NB:Nimeuliza swali lik😵pen halija lenga chochote
 
Fellowship ina maana nyingi sana. Kwenye hiyo bio. fellow imetumika kwa maana mbili; mojawapo ni kuwa mwanajumuia wa association fulani, na maana nyingine ni kuwa na short term opportunity for professional development ikiwa ni juu ya internship kwa maana ya kuwa fellow hahitaji supervision ya karibu sana wakati intern anahitaji supervision ya karibu.
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Siasa za Tanzania lazima uahirishe kufikiri kwa nafsi, a.k.a kujizima data wanatumia unyumbu wa kisiasa ama tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo , (human herding in politics)
 
Protein Inahitajika Kuliwa Sana Tena usiache kabisa..
Maana Protein ndo hujenga mwili na Protein pia ndo hutengeneza Enzymes na Hormones kwenye Miili yetu hata Taarifa za Mifumo ya Mwili ni Protein..DNA ni protein na RnA hivyo hivyo..

Sasa protein Kuwa kwenye Mkojo humaanisha nini??

Kwenye Figo Kuna machujio Zaidi ya milions ambayo huitwa nephrons na hizo nephrons zina sehemu mbili ambazo huitwa glomerulus na tubule. Hizo nephrons hufanya kazi mbili kwa kutumia glomerulus inachuja damu yote Kupitia Mishipa ya damu ambayo hupelekwa hapo na kazi ya tubule ni kurudisha baadhi ya Substances ambazo zinahitajika na mwili kwenye damu na Kutoa uchafu tu kupitia Ureter then kibofu then urethra then unakojoa..

Sasa kukiwa na Hitilafu kwenye Figo inaamaa nephrone hazitafanya kazi vizuri na Glomerulus hazitachuja damu vizuri na hivyo kusababisha kupitisha baadhi ya substanse ikiwemo Protein na zingine kwenye kwenye Tubule na mwisho wa siku zitapita kwenye ureter.....na utazikojoa..

Kwahyo zikipita Moja kwa moja huko figo and Hence lazma utazikojoa..

Sijui kama umenielewa au nielezee vizuri zaidi..
Kwanini tunapenda Kuitumia Protein kama Kipimo kwa sababu ndyo Particle kubwa kuliko zingine..
So kama Imeweza Kupita Hiyo zingine pia zimeweza kupita
Asante sana mkuu umeeleweka vema, sasa ikiwa hizo Protein zitapita na kutoka na mkojo, vipi kuna matibabu yake, au ndio unashauriwa kuacha kul;a nyama nyekundu?
 
Pengine atatulia akibahatika kulamba hilo "shavu" la kimataifa.
 
Unajua maana ya Ukweli?
Ukweli ni vifo vinavyowakuta vijana wengi kwa sababu ya ubishi wa kijinga kila wanapokumbushwa juu ya madhara ya pombe na kula hovyo.

Viungo vya ndani ya mwili kila vinapopoteza uwezo wa kufanya kazi huwa haviwezi tena kurekebishika. Nina ndugu yangu kila wiki lazima afanyiwe dialysis, na ni zoezi linalokula pesa nyingi sana bahati yake ni mwajiriwa wa serikali.

Walimtoa nyumbani Ngara na sasa hivi anaishi Mwanza karibu na matibabu yake. ujanani aliona sifa kulewa pombe kali mbele ya macho ya watu.
 
Tatizo kuna elimu isiyo sahihi katika masuala ya afya tena imevishwa ngozi ya sayansi. Kuanzia masuala ya lishe, vyanzo vya maradhi n.k
Mkuu nadhani huyo mtu kasomea fani yake in deep tena kwa mpangilio.
Na nyadhifa alizopitia sio mchezo,na wala siyo mistali ya mwana sias
Kuna wajanja wengi wana PHD lakini ukiangalia degree yake ya pili ni tofauti kabisa ila kwa sababu wa wepesi anaikandamiza kuja kuchukuwa mstari mmoja wa somo kuu.
 
Hana takwimu zinazoungwa mkono na sayansi, hivyo anaendeshwa kwa mihemko tu. Ndiyo maana ktk kila hoja yake kuna maswali mengi sana.

Kama nyama ni hatari mbona ktk jamii za wala nyama Kuna wazee?

Kama kunywa pombe ni hatari mbona kule Rombo kunakosifika kwa ulevi kuna wazee?

Yeye mwenyewe janabi mbona ana afya mbovu sana ukilinganisha na watu wengine wa umri wake?

Mfano: Kikwete ni mkubwa kwa Janabi lkn Janabi amevhoka kuliko Kikwete
Cha muhimu ni ukweli kuhusu ujumbe wake, kiburi kilichoko katika majibu yako ni hulka zile zile za kitanzania.

Tunapoanza kuteseka katika vitanda vya hospitali ndio ujumbe halisi unakuwa umetufikia, wakati huo kila dawa imeshachelewa, too late.
 
Back
Top Bottom