Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,524
Mjadala mpaka umefika page ya 13 na post zaidi ya 250.
Mpaka sasa atujapata hiyo elimu kwanini vyakula anavyosema Janabi ni vibaya au vizuri na tule kwa viwango gani. Sijaona tofauti ya madokta wa JF na Janabi mpaka sasa.
One expected a health education discussion kwa faida ya wasomaji tutoke hapa walau tunaelewa faida na madhara ya vyakula. Mfano we need fat kwa sababu reserves zake mwilini ndio zinazosaidia kuupa mwili nutrients pale ambapo mtu unafunga, madhara yake ikizidi inaweza clog arteries kadhaa.
We need sugar (glucose) kwa sababu ndio unaupa nwili nguvu, glucose inazungushwa mwilini na damu. Damu pia inabeba oxygen among other things. Glucose ikizidi kwenye damu inaifadhiwa wapi sehemu moja ni kwenye maini na cells. Kwa siku binadamu glucose level zinapungua na kupanda hasa kati ya miło, lakini mwili unahitaji kiasi kadhaa muda wote. Glucose ikupungua mwilini katika ya milo pancreas inauwezo wa kuachia ‘insulin hormones’ ambazo zinaenda ziambia ini na cells za zinazo hifadhi glucose na fatty acids kuachia spare mwili upate nguvu.
Blah blah blah mpaka glucose inavyoweza zidi reserves places aziwezi chukua tena kuacha damu ibebe hizo excess (pre-diabetic), early sign zake labda kukojoa sana etc na ukipima mkojo utakuta glucose nyingi.
Na mlolongo mwingine wa maelezo ya pathophysiology ya ugonjwa hadi ni vipi glucose inaenda sababisha type 2 diabetes na madhara mengine kama:
Neuropathy damages inayoenda kusababishwa kukatwa kidole gumba au mguu
Nephropathy damage, kupunguza uwezo wa kidney kuchuja uchafu ndani ya damu na kidney failure in the long run.
Cardiovascular disease hasa kutokana na upungufu wa Oxygen ndani ya damu kwa sababu ya uwingi wa glucose, namna unavyoweza pata blood pressure, namna mishipa ya moyo inavyoweza ziba kwa sababu ya uwingi wa glucose ndani ya damu.
Vipi glucose inavyosababisha skin damage
Retinopathy (blindness)
Kwanini rahisi kupata magonjwa mengine diabetes ikishaanza ku-damage mwili, role ya ‘cortisol hormones’ kwenye kudhoofisha mwili.
Na mambo mengine ya kuelewa madhara na faida ya vyakula, through pathophysiology ya magonjwa ambayo vyanzo vyake ni vyakula.
Sasa badala ya kutoa elimu naona tambo tu za papers sijui researches, kwa vitu ambavyo ni established knowledge already in medicine.
Binafsi namuamini Dorothy Gwajima tu kwenye afya, nina uhakika angekuwa na mkakati mzuri wa health education kuliko vitisho vya Janabi anaetaka watu washinde njaa as if sugar and fatty acids sio muhimu kwa mwili, wakati yeye anaishi kwa fat reserves ambazo anaelekea kuzimaliza kwa muonekano wa mwili wake.
Badala ya kuwaambia watu kuangalia BMI zao, kukwepa kuwa obese au kula only necessary amount za balanced diet yeye anawaambia washinde njaa just pathetic to think ndio Dkt wa raisi is beyond, personal id be very wary going under the knife with this surgeon after listening to him.
Unapata picha kwanini watu wanaamini kuna dawa za asili za magonjwa ya kisukari yote ni kukosa uelewa wa sayansi ya ugonjwa na sidhani kama huko mahospitalini wanapewa elimu sahihi za namna ya kuishi na hayo magonjwa au elimu ya huo ugonjwa kwa sababu survival ni management tu ya ugonjwa hakuna dawa ya kutibu.
Dorothy Gwajima arudishwe wizara ya afya.