Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Unajua definition ya Afya lakini? Health is state of well being ( physically and mentally).. kwa hiyo kuwa na mwili mkubwa na kwenda GYM ndiyo definition sahihi ya afya? Kama ndo hivyo basi watu wembamba wote duniani hawana afya na uandae chapisho lako.

Kwanza hao kwa kuwaangalia tu wanapishana sana kiumri sura tu zinaonyesha.

Prof Janabi anatimiza wajibu wake kama Mtaalamu.
Hujajibu swali
 
Bado hujaelewa concept ya thread ; hizo article unazoweka anyone can access kupitia journal mbalimbali na hakuna ambayo imesema it is a causal relationship. Nadhan hapa ndio msingi wa topic and you neee d to stick there or else utajaza link za article kwenye journal zote za academic kwenye hii thread. And I am doubting Kama unazisoma kwenye sehemu ya discussion na Results kwa ufahamu
Nimezisoma na Ndo maana Nikasema Zipitie na kuhusu Hizo tuache blah blah Tuargue scientifically
 
Umenena sahihi kabisa !
Dawa kunywa mara tatu kwa siku tulikuwa tunajua ni kila baada ya masaa manne tunatakiwa tunywe au tuwanyweshe watoto wetu !

Na ndivyo tulivyokuwa tukifanya miaka nenda rudi until recently !
Tumekumbuka shuka kumeshakucha !!
Kwani mara tatu kwa siku inatakiwa kuwaje? Hii elimu naona imenipita.
 
PRoff Janabi ni Mzee na anakaribia 70 unataka Aonekane na Muonekano wa Kijana??
Mkuu unapoteza muda wako kuwaelimisha wana nzengo..........

Mentality ya Mtanzania ni kuwa afya njema ni kuwa likitambi likubwa huku mishavu ikidondoka..........hiyo ndio tafsiri ya afya njema........

Kibaya zaidi jamii ya watu wenye akili hizi mgando hawako tayari kupokea mabadiliko ya fikra..........

Hili tatizo lipo kwenye jamii nyingi za watu weusi.......Mungu katubariki gene nzuri watu weusi lakini tunajiharibu wenyewe kwa lifestyle mbovu..........

Hata huko Marekani jamii ya watu weusi ndio inaongoza kwa obesity......hatuko care na afya zetu........

Najua una lengo zuri hawa watu hawatakuelewa.....kwa kuwa kukuelewa watatakiwa waachane na manyama choma na makitimoto.....watatakiwa waachane na bia.......

Janabi anakubalika kwa watu wanaojitambua na kutambua umuhimu wa siha njema maishani mwao.....lakini ni mwiba mchungu kwa wajuaji......
 
Kweli kabisa. !
 
Watu wa kula kula huwaambii kitu !
Jamaa mmoja aliambiwa na Daktari aache kula nyama ndio miguu itapona !
Yule jamaa akamjibu Daktari hata miguu ikikatika siwezi kuacha kula nyama 😅😅🙏🙏. !
Duh!!!

Kuna watu akili zao ni kisoda kweli........

Kaka yangu alisumbuliwa na ugonjwa fulani uliomtaka akae mbali bia kwa maana ya pombe......alivyo mjinga eti akawa anajiiba anakunywa kwa Siri........ imagine familia imechanga imempeleka mpaka India alafu yeye analeta upuuzi.....

Siku aliyozidiwa na kupiga makelele hakuna aliyemsogelea mpaka akafariki.........
 
Utaalamu haupimwi kwa kumpinga Mtu mwingi ila utaalamu unapimwa kwa kuingia field na Kutupa Namba Halisi ya Unachokihoji Dr Janabi is not only a Medical Doctor..

Usisahau Proffesot Janabi pia na yeye alisoma Molecular science and Nutrition study as a Post Doctrate mwaka 2004 Huko Japan Osaka University..

So Aliyeandika Mada he may be A Nutrionist but Janabi has The advantage most kwa sababu pia amesoma Post Doctrate Nutriotion degree Pia baada ya PhD ya Cardiology mwaka 1998
Yaani mtu na akili zako uache kumsikiliza prof Janabi aliyebobea kwenye hiyo field usikilize hawa clinical officers.....
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

......

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

The.....
....
. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of
Afya siku hizi ni suala la visababishi na sio sababu.

Visababishi - factors

Sababu - cause

Magonjwa yanayopatiwa cause ni magonjwa yanayosababishwa na vimelea. Unamtafuta mdudu unampata, unaitafuta sumu ya huyo mdudu. Ukimuua unaitangazia dunia kuwa dawa ya ugonjwa x ni hii.

Lakini sio leo, kwa haya magonjwa ya mtindo wa maisha.

Anachofanya Profesa Janabi ni kuutangazia umma uvitambue visababishi vya matatizo yao.

Unachokifanya wewe ni kuuambia umma kwamba wasijali kuhusu hivyo visababishi havina maana, labda wangemsikiliza kama angekuja na sababu.
Unawapatia mifano wanayoijua ati mbona babu wa fulani alikuwa na kisababishi x na hakupatwa na hali fulani hadi anakufa?

Bro, ukisubiria sababu hutakaa uipate kwa hali zisizoambukiza kamwe. Acha tu watu waendelee kuelimishwa kuhusu visababishi.

Na ni kweli kabisa kisababishi kimoja pekee hakina nguvu ya kuisababisha hali maana sio sababu. Mtu anapoambiwa aelezwe hilo na ajue
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Mtoa mada apuuzwe, kama yeye hataki ushauri wa prof atulie tu, binafsi namuelewa prof ingawa ni ngumu kufata anachosema
 
Mimi nataka mmje madaktari wote wa MNH tujadili findings na fact scientifically ili tuwe na jamii ambayo haiyumbishwi kama maneno ya tumia hii utaongeza nguvu za kiume

Vinginevyo tutageuka madaktari wa media na watu watavurugwa

Kama unakuja kubisha come with facts
Suala la findings za ugonjwa, sio la kuni
Unapotosha.

Mimi sijawahi kunywa hata mbege na inatengenezwa nyumbani

What I want is to debate scientifically tuache intimidation
Then, mm nakushauri tu kuwa kama unataka debate ambayo ni scientifically, hatuendi hivyo. Samahani, naomba nikupe utaratibu mzuri. Kwanza acha kuongea vitu bila ushahidi. Lete hapa JF, abstracts hata 10 tu kutoka kwenye Journal za medicine maarufu duniani ambazo, zinaongelea causes of kidney failure. Zipo Journal nyingi tu mfano:International Medicine Journal, New England Medicine Journal etc.
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Asante kwa ufafanuzi wako. Siku hizi sote tumekuwa madaktari hata kama hatujawahi kukamata ile kitu inaitwa 'stesoskop' au sijui nini vile.
 
Bado hujaelewa concept ya thread ; hizo article unazoweka anyone can access kupitia journal mbalimbali na hakuna ambayo imesema it is a causal relationship. Nadhan hapa ndio msingi wa topic and you neee d to stick there or else utajaza link za article kwenye journal zote za academic kwenye hii thread. And I am doubting Kama unazisoma kwenye sehemu ya discussion na Results kwa ufahamu
Tukizungumzia Causality Tutakesha maana Hata Mbu Sio cause Ya malaria..
Sijui Tunaelewana??
 
Maelekezo kutoka juu, ni mkakati kuokoa maisha na gharama, Mtanzania kuelewa mpaka utumie mifano na lugha yenye ukakasi.
 
Back
Top Bottom