Matatizo ya, figo yanasababishwa na unywaji wa pombe Kali sana. Gardiner amekufa kwa, sababu ya figo zilizosababishwa, na pombe Kali.
Bado huongei kisayansi, kwanini unachukua sample ya watu watatu na ku generalize ?
Hivi Tanzania mnakunywa pombe kali, ?nilishawahi kwenda Russia for training , Tanzania hakuna pombe kali kabisa
Unatoa mfano wa Gadner, unaconclude kuwa ni pombe ndio zimechosha figo, how did you know kuwa ni pombe na sio other factors au labda kuna confounders ambazo zime mask the truth ?
Na ninavoambiwa pia Gadner hakuwa na shida ya figo bali ni moyo , na huwezi kusema tatizo ni pombe kwa sababu kuna watu same age as Gadner and same extent ya alcohol consumption consumption na hawana shida yoyote , would you conclude the Same kuwa tatizo ni pombe ?
Nashauri pia usitumie neno zinasababisha , unafanya misleading sana . Huna data za kusema zinasababisha…..
mnatakiwa kuelewa what I have posted msilete mahaba ya elimu ya Tanzania ya kukimbizana na marks na GPA.
Ndio maana nasema Janabi should stop udaktari wa media anafanya misleading pia huwezi ku generalize kwa pathological characteristics za wagonjwa, kila mwili una Xtics tofauti.
MNH sio center ya Sayansi , ni sehemu ya matibabu tena kwa kufuatisha miongozo na guideline na SOP kwamba vipimo vikionesha una plasmodium idadi fulan unahitaji anti malaria, tunachungulia STG ya wizara apewe dawa gani.
Kila kitu ni muongozo Hadi upasuaji hutoi kitu kichwani kwako. Janabi should stop maneno yake ukila wali kila usiku utapata sukari hiyo sio kazi yake ni political fame
Wali na ugali ni main food in Tanzania , wangapi wanaumwa ?
Watu wale kipande cha muhogo, misleading mwili unahitaji proteins za kutosha, good fats za kutosha, cholesterol kwa ajili ya hormones production etc , Kula muhogo na maji ni tunataka jamii ya wanaume wa aina gani , ?
Ni mbaya sna na watu wanaweza kumchukulia serious kwa nafasi yake ndio maana nasema wizara imstopishe anachofanya maana anakuwa comedian