Kuna muda unaeleweka, kuna muda una diverge kwenye msingi wa post.Yeah nimeeleza na kama Ukiangalia baadhi ya post zangu Nimesema hivyo ila Tatizo liko Moja kudefame mtu huwa sio mpenzi wa kufanya Hivyo..
Prof ni member wa Research Community ya USA, Tanzania na WHO unafikiri Hizo Data Hana??
Proff ni Mkurugenzi Mkuu wa MNH unafikiri Data za wagonjwa wa MNH hana?
Kuna Kipindi cha Nyuma niliwahi kushauri kuwa Anachofanya Kuhusu Kupata Nutritional Facts hafanyi sawa ni Bora kazi hiyi Angefanya Dr NTULI Kapologwe Ambaye Ndo Nutrionist wa Wizara ya Afya
Katika uongozi wa huyo daktari, ndipo yameibuka masuala ya kuongeza shape Kwa wanawake Kwa operation, mara kupandikiza uume nk nk,Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..
Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..
kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??
Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?
Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..
Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..
Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???
Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..
Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Anachofanya Ni kitafuta Njia ya Kumaximize Proffit 😂😂Katika uongozi wa huyo daktari, ndipo yameibuka masuala ya kuongeza shape Kwa wanawake Kwa operation, mara kupandikiza uume nk nk,
Kuna missing za kimagharibi tunaletewa kupitia watu Hawa,
Huyo haifai kuongoza hospitali yetu kuu.
TOKA AMEMJANABI MAGUFULI,NAONA KAMA KACHANGANYIKIWA.ASANTE MKUU KWA UFAFANUZI JANABA NI MPOTOSHAJI NA MCHOCHEZI
Mimi Si daktari,Janabi ni mgonjwa. Angalia uso wake, mwili umenyauka na uso umekata tamaa. Maradhi yake anayajua ndiyo maana anapiga vita wenye afya
viribatumbo na matakunyuma?? Haya ndiyo magonjwa gani?Ulaji mbovu ni tatizo kubwa sana karne kwa binadamu wengi hasa wa kipato cha chini, angalia mijini watu wenye viribatumbo na matakunyuma walivyojazana.
Hapati USINGIZI usiku huyo,70 years kisha bado ni mtumishi wa umma? Well mie nabyomwona uso wake haupo sawa na siyo kwaajili ya uzeeni, labda naona viba! Na kama ni diet yake basi mwili utakuwa pengine unekosa virutubisho vyakutosha hasa nyakazi hizi za umri wake, na yeye awe makini pia
Matatizo ya, figo yanasababishwa na unywaji wa pombe Kali sana. Gardiner amekufa kwa, sababu ya figo zilizosababishwa, na pombe Kali.Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.
Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.
Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.
The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!
Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .
Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?
kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc
Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.
Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.
Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!
Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .
Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.
It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.
Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?
Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.
Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Kuongeza profit Kwa kuruhusu watu wabadili maumbile Yao ya asili waiyoumbwa na Mungu?Anachofanya Ni kitafuta Njia ya Kumaximize Proffit 😂😂
Hebu jibu hoja hii. Kuna millions of people wanakunywa pombe Sanaa lakini wanazeeka bila magonjwa ya Figo Wala moyo. Wajapani wanaongoza kwa idadi ya wazee lakini wanakunywa pombe sana huku kwetu wanywaji wakasome, unaielezeaje hiyo.Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..
Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..
kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??
Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?
Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..
Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..
Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???
Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..
Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Nimeuliza hapo juu, Kuna millions ya watu wanakunywa pombe Sanaa lakini Hadi wanazeeka bila kuugua hizo Figo na moyo why?Matatizo ya, figo yanasababishwa na unywaji wa pombe Kali sana. Gardiner amekufa kwa, sababu ya figo zilizosababishwa, na pombe Kali.
Mwafrika anatutishaTatizo la mwafrika hasa mtanzania anataka kupewa ushauri na mzungu au mtu mweupe ndipo aone umekaa kitaalamu,
Ukitolewa na mtu mweusi anaona kama ushauri feki hivi....[emoji1]
We ndo huna akili. Anacho maanisha jamaa nikwamba , kwanini akina janabi wasiifanyie utafiti mizizi husika na kuuhabarisha umma kuhusu uganisi wake kuzuia NCD, kwa maana hiyo akina janabi et al (scientists) wanashindwa na wamasaiNa unaona umeandika Jambo la maana!?..muhimbili kazi yao ni ulaji wa nyama tu!?.. punguani wahed
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.